Dar es Salaam · Tanzania

Matangazo ya Biashara

Taarifa na matangazo ya wafanyabiashara ndani ya jiji la Dar es Salaam

🔐
Please sign in to post updates about your business.

Filter Feeds

Latest Updates Page 122 of 164
Qali furnitures
Qali furnitures
Est. 2016 22 May 2020 · 07:52

Furnitures nzur za kisasa tufollow Instagram account@furnitures qali ,, jipatie punguzo la Bei sikukuu hii .piga namba 0744834159

Qali furnitures
Qali furnitures
Est. 2016 22 May 2020 · 07:52

Furnitures nzur za kisasa tufollow Instagram account@furnitures qali ,, jipatie punguzo la Bei sikukuu hii .piga namba 0744834159

Cellia_collection
Cellia_collection
Est. 2017 22 May 2020 · 06:29

Karibuni, Tunauza t-shirts logo tofauti size, rangi zote zinapatikana... tunazo t-shirts za watoto pia rangi zote na size kuanzia mwakammoja. BEI.. T-shirt za wakubwa 17,000/= T-shirt za watoto 15,000/= Plover 22,000/= Hood 30,000/= WIGI zote 25,000 WIVING 15,000 RASTA 1,300 REJAREJA RASTA JUMLA 1000 KUANZIA PC 50

Technology company
Technology company
Est. 2020 22 May 2020 · 01:30

laptop aina zote zinapatikana oficin kwetu hp, dell, asus, samsang.pia kwa mahitaji ya accessories mbalimbali zinapatikana vioo, ram, harddisk, keyboard, mother body, betri na vingine vingi vinapatikana t technology

Technology company
Technology company
Est. 2020 22 May 2020 · 01:19

hizi ni ram zinapatikana t technology

fredi Furniture
fredi Furniture
Est. 2020 22 May 2020 · 00:42

tv show cas kwa bei pow 0673039863

Ally Auto Garage spare part
Ally Auto Garage spare part
Est. 2010 22 May 2020 · 00:21

kwamaitaji ya fundi umeme piga 0746667199..0717035247 pare unapo muitaji atakuja mda muafaka

Ally Auto Garage spare part
Ally Auto Garage spare part
Est. 2010 22 May 2020 · 00:17

welcome mivinjen auto garage WhatsApp number 0717035247..car 0746667199.0717035247

F R SIGN
F R SIGN
Est. 2013 21 May 2020 · 21:58

T-shirt disine bure kuanzia PC 10 karibuni F R SIGN 0620449421

F R SIGN
F R SIGN
Est. 2013 21 May 2020 · 21:55

T-shirt za kijanja

F R SIGN
F R SIGN
Est. 2013 21 May 2020 · 21:54

T-shirt za kijanja karibuni F R SIGN 06449421

F R SIGN
F R SIGN
Est. 2013 21 May 2020 · 21:51

mzigo upo wa kutosha printing T-shirt desine bure kuanzia T-shirt 10 F R SING 06449421

NL Consultants
NL Consultants
Est. 2016 21 May 2020 · 21:50

Kupata huduna mzuri za research ngazo za Diploma, Bachelor na Masters 0757662630

F R SIGN
F R SIGN
Est. 2013 21 May 2020 · 21:47

Karibuni wenye kuhitaji bango za kisasa F R SIGN 0620449421

F R SIGN
F R SIGN
Est. 2013 21 May 2020 · 21:43

bango za shel za kisasa karibuni sana .F R SIGN 0620449421

F R SIGN
F R SIGN
Est. 2013 21 May 2020 · 21:41

T-shirt kali za kijanja karibuni sana F R SIGN 0620449421

F R SIGN
F R SIGN
Est. 2013 21 May 2020 · 21:36

tshir kali disign bure ukitoa oda kubwa kuanzia tshirt 10 na kuendelea

Ally Auto Garage spare part
Ally Auto Garage spare part
Est. 2010 21 May 2020 · 20:24

joo ujumuike nasi mivinjen auto garage Kama unataka kazi mzuri 0717035247::0746667199

Healthy Forever Living Product
Healthy Forever Living Product
Est. 1994 21 May 2020 · 18:44

Vikoi vizuri nicheki 0714492946

Healthy Forever Living Product
Healthy Forever Living Product
Est. 1994 21 May 2020 · 18:43

Vikoi vizuri nicheki 0714492946

Faharikisima_waterwelldrilling
Faharikisima_waterwelldrilling
Est. 2016 21 May 2020 · 17:27

faharikisima_waterwelldrilling Ni kampuni ya uchimbaji wa visima vya maji safi na salama, kalibu tukuchimbie kisima kwa bei nafuu sana kwa maelezo zaidi piga 0656266008/0688156986 Water for life drill now

Health_weightconsultanttz
Health_weightconsultanttz
Est. 2007 21 May 2020 · 10:52

the kind of the results we are looking for. lets go together# start together# enjoy together# celebrate together#

BFSUMA
BFSUMA
Est. 2013 21 May 2020 · 10:50

WATOTO NI ZAWADI KUTOKA KWA MUNGU LAKINI KUNA SABABU NYINGI ZINAZOPELEKEA MWANAMKE ASISHIKE UJAUZITO{MIMBA} AMBAZO NI:- - P.I.D sugu -Mvurugiko wa hedhi (hormone imbalance) -Uvimbe (Fibroids and ovarian cyst) -Endometriosis -Mirija kujaa maji au kuziba. TUNA SULUHISHO LA UZAZI KWA WANAWAKE NA WANAUME Pia tuna suluhisho la matatizo ya:- -Kutokwa harufu mbaya ukeni -Fungus sugu(Miwasho Ukeni) -U.T.I sugu -kukosa ute wa mimba (ovulation) -kukosa hamu ya tendo la ndoa -Ukavu ukeni -Maumivu wakati wa tendo la ndoa -Maumivu wakati wa hedhi KWA WANAUME TUNA SULUHISHO LA:- -Low sperm count -uume kukosa nguvu/kusinyaa wakati wa tendo la ndoa -Kushindwa kusababisha mimba -Maumivu ya korodani -Madhara ya kujichua -Kukosa hamu ya tendo la ndoa

@fantasy_beauty_parlour
@fantasy_beauty_parlour
Est. 2020 21 May 2020 · 10:42

OFFER OFFER OFFER OFFER............. @FANTASY_BEAUTY_PARLOUR @fantasy_beauty_parlour tunakupa bonge moja la offer msimu huu wa sikukuu ya Eid @Fantasy_beauty_parlour tutakufanyia SIMPLE MAKEUP kwa shilingi elfu kumi tu 10000// FULL MAKEUP Kwa shulingi elfu ishirini na tano tu 25000// Apa utapata na kope original kabisa 3D ambazo unaweza kubandika zaidi ya mara tano nabado zikabaki katika hali nzuri For all makeup bookings. Bridal, graduation, sendoff, kitchenparty Kidetii = and even BAE day= Plus a special package =

@fantasy_beauty_parlour
@fantasy_beauty_parlour
Est. 2020 21 May 2020 · 10:42

OFFER OFFER OFFER OFFER............. @FANTASY_BEAUTY_PARLOUR @fantasy_beauty_parlour tunakupa bonge moja la offer msimu huu wa sikukuu ya Eid @Fantasy_beauty_parlour tutakufanyia SIMPLE MAKEUP kwa shilingi elfu kumi tu 10000// FULL MAKEUP Kwa shulingi elfu ishirini na tano tu 25000// Apa utapata na kope original kabisa 3D ambazo unaweza kubandika zaidi ya mara tano nabado zikabaki katika hali nzuri For all makeup bookings. Bridal, graduation, sendoff, kitchenparty Kidetii ? and even BAE day? Plus a special package ? unapata. Makeup +professional photographer as well. Phone Numbers ? 0744066965 (Voda) ? 0718037429 (Tigo) TUNAPATIKANA MABIBO MWISHO

Health_weightconsultanttz
Health_weightconsultanttz
Est. 2007 21 May 2020 · 09:48

hello! kwa wateja wangu wote, kupitia media platforms kumekua na maombi ya kufanya challenge ya pamoja kwenywe zoezi la kupungua uzito. challenge accepted na tutakua tunaanza tarehe 28th may na kutakua na offer kabambe. usiachwe nyuma, huu ndo mda wa kufanya program pamoja. weight loss challenge itakua kwa watu wote. Anza kutoa taarifa mapema kabla ya tarehe 28 may . offer itakua kuregister kama VIP customer na kupata punguzo la Bei asilimia 15% badala ya kichukua program kwa Tshs. 320000/= utachukua kwa Tshs. 270000/= offer hii mwisho ni tarehe 25th kuregister. fanya mapema ili na wewe ufurahie offer hii kabambe lkn pia ufurahie weight loss challenge ya pamoja. karibu sana! mawasiliano ni kwa 0748318008/ 0755324799

Health_weightconsultanttz
Health_weightconsultanttz
Est. 2007 21 May 2020 · 09:46

Est. 2007 21 May 2020 · 09:45

KOKI
KOKI
Est. 2010 21 May 2020 · 09:38

KOKI KOKI KOKI nauza KOKI kwa bei ya jumla Tshs 2700 kwa kila moja ...mikoani natuma Kwa wakazi wa darasa mzigo unaletewa popote ulipo... Simu 0657-929921

Efraine fumigation
Efraine fumigation
Est. 2016 21 May 2020 · 09:27

je unasumbuliwa na mende wadogo jikon kwako na umeshafanya sana fumigation na bado wanakisumbua au hawaishi kabisa?

dalali Francis kigamboni
dalali Francis kigamboni
Est. 2020 21 May 2020 · 09:23

nyumba inauzwa ipokigamboni mwongozo kiwanja ikijapimwa bei 23 milioni kwamaelezo tupigie 0783660772

Efraine fumigation
Efraine fumigation
Est. 2016 21 May 2020 · 09:22

Panya kwetu tunawadhibiti kwa urahisi kabisa na kukuacha na amani kabisa kwenye boma lako na hawatoi harufu kabisa.

dalali Francis kigamboni
dalali Francis kigamboni
Est. 2020 21 May 2020 · 09:20

tunauza viwanja vilivopimwa navisivo pimwa pia mashamba tupigie 0783660772

Northern Breeze Hotel
Northern Breeze Hotel
Est. 2013 21 May 2020 · 09:20

Northern Breeze Hotel inayopatikana Tabata Bima kituo Cha Dukani tunatoa huduma za vyakula vinywaji na malazi....Bei za vyumba ni 40,50 & 60 ni Bed and Breakfast pia ni free Wi-Fi usalama ni mkubwa pia tuna CCTV camera, Huduma za kuoshewa magari (car wash) na Parking zipo nk... karibu sana 0715693677

Efraine fumigation
Efraine fumigation
Est. 2016 21 May 2020 · 09:19

wadudu wote warukao na wanaotambaa tunawadhibiti kwa urahisi kabisa tena kwa gharama nzuri kabisa pamoja na kukupatia muda wa uhangalizi wa miez miwili.

dalali Francis kigamboni
dalali Francis kigamboni
Est. 2020 21 May 2020 · 09:15

nyumba inauzwa ipo kigamboni mwongozo bei 80 milioni kwamaelezo zaidi piga 0783660772

dalali Francis kigamboni
dalali Francis kigamboni
Est. 2020 21 May 2020 · 09:09

nyumba inauzwa ipo kigamboni mjimwema bei 75 milioni kwamaelezo zaidi piga 0783660772

dalali Francis kigamboni
dalali Francis kigamboni
Est. 2020 21 May 2020 · 09:06

nyumba inauzwa ipo kigamboni gezaulole kiwanja kimepimwa kinaofa hakijafikia kwenyehati bei 85 milioni kwamaelezo zaidi piga 0783660772

Efraine fumigation
Efraine fumigation
Est. 2016 21 May 2020 · 09:04

Tunatoa huduma ya fumigation majumban,mashulen,maofisin,godaun,na kila sehemu ambayo ina wadudu warukao na wataambaao. Tunakupa kilicho bora kabisa kwa uhakika na dhaman ya pesa yako.