Dar es Salaam · Tanzania
Matangazo ya Biashara
Taarifa na matangazo ya wafanyabiashara ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Feeds
WOTE MNAKARIBISHWA NYUMBA INAUZWA DAR ES SALAAM =I LOCATION: ILALA - CHANIKA MWISHO =IPRICE TSH 50 ML =ISQM 500 =I WHATSAPP CALL+255625433899
OFA OFA KWA ML 50 TU UNAJIPATIA NYUMBA KALI KABISA =I LOCATION: DAR ES SALAAM-ILALA-CHANIKA =IPRICE: TSH 50 ML =I CALL ME +255625433899/+255710751576
KARIBUNI KWA MAHITAJI YAFUATAYO TUNASAFISHA VISIMA ,TUNACHIMBA VISIMA NA TUNAFANYA SERVICE YA PAMP TUCHEKI KWA NO 0657 485 084 ASANTEN AU FANYA KU FOLLOW @WASAFISHAJI_VISIMA
KARIBUNI KWA MAHITAJI YAFUATAYO TUNASAFISHA VISIMA ,TUNACHIMBA VISIMA NA TUNAFANYA SERVICE YA PAMP TUCHEKI KWA NO 0657 485 084 ASANTEN AU FANYA KU FOLLOW @WASAFISHAJI_VISIMA
Tunauza vifaa vya saloon ya Kiume. viko bora Vimetumika kwa muda wa miezi 2 tu. 0746395964
Karibu korosho nzuri kabisa naziandaa kwaubora wahali yajuu karibu ujipatie zipo mbichi,rost.Na zakuoka pia nafanya delivery kwa nauli ndogo kabisa kalibu sana 0657185800 kwa order
mabango ya kisasa zaidi kwa bei ya punguzo
3D AND 2D
logo
dor sign.
jiwe la msingi. kwa bei nzuri zaidi
pylon sign. kwa bei nzuri kwa wenye sheli na bidhaa mbalimbali
bango za maduka kwa bei nafuu kabisa
2d sign
car branding logo kwa 3000=/tzs
3D LETERS
3D LETERS
kiboko ya chunusi inaondoa chunus,makovu kwa ufanisi mzuri kwa Bei ya 2000 tupigie tukuletee chap 0769323266,
MDF LETERS. KARIBUNI SANA
sabun ya asili inatoa mba,muwasho,chunusi jipatie kwa Bei ya 1500 tunakuletea ulipo 0769323266 tupigie
bango za ndani na ukumbini
3D leters kwa mabango yanayowaka
pylon za sheli mabango ya sheli kwa bei poa
tunauza sabun za asili ambayo inatoa harara,muwasho na chunus,maulumu pia kwa wadada walioungua na cream inawasaindia Sana, tupigie tukuletee ulipo 1500 tu 0769323266
annex lotion Ni lotion ya asili kabisa ambayo haina chemicali yoyote ya kuchumbua ngoz yako,imetengenezwa kwa malighafi kama vile mawese,na Nazi.maaulumu kwa wenye ngoz ya mafuta na isiyo na mafuta,tupigie tukuletee ulipo namba 0769323266.lotion Ni 2000 tu 250mls.
Bizaa bora Hand sanitizer zipo jumla na reja reja Mask zipo Jumla na reja rejaa na vitenge Aina ya Javaa vipo Jumla na reja reja Kwa maeleze zahid piga simu namba 0694046038 karibun nyotee
annex sanitizer nzur inaua wadudu wa Corona na wengine kwa asilimia 99.9%tupigie tukuletee ulipo kwa Bei ya jumla na rejareja
INAUZWA CHANIKA MWISHO WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM KWA MILLION 55 SIMU +255625433899/+255684230399 ENEO SQM 500 WAHI SASA UJIPATIE HITAJI LA MOYO WAKO
MDF for cuting. kwa bei rahisi sana
INAUZWA CHANIKA MWISHO WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM KWA MILLION 38 PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI 0625433899/0684230399
KAMA WEWE NI MWANAMKE NA UNAPATA MAUMIVU WAKATI WA HEDHI AU SIKU ZAKO ZINAPISHANA PISHANA HII BIDHAA ITAKUSAIDIA KUTATUA TATIZO LAKO. . Soma Faida ya hiki Kirutubisho. . ROYAL JELLY. Ni chakula kizuri anacholishwa malkia wa nyuki ili aweze kutaga mayai zaidi ya 3000 siku na kuishi maisha marefu zaidi ya miaka sita. . Kirutubisho hiki cha nyuki kina vitamin A,,C,,D,,&E na huifadhi vitamin B complex. Pia kina vitamin B5 vitamin hivi husaidia kumengenya protein, mafuta na uwanga na huongeza vichocheo (homones) sababu endapo vitamin hivi vikakosekana husababisha uchovu, kichwa kuuma, matatizo ya upumuaji, insuline kupungua, kukosa unsingizi, kichefu chefu na matatizo ya mfumobwa fahamu.. . Royal Jelly pia ina Amino acid 8 muhimu na madini kama (calcium,copper, iron, phosphorous, potassium, sillicon na sulpher). Madini haya huboresha utendaji mzuri wa kazi za mwili, kuongeza nguvu, kuondoa machovu ya mwili, kuuwa bakteria na virusi na husaidia uponyaji wa vidonda.. Lakini pia husaidia katika kuzalisha seli mpya(cell regeneration) na kuboresha muonekano mzuri wa ngozi. . Royal Jelly inasaidia sana katika kuzuia msongo wa mawazo na kuondoa maumivu makali wakativwa hedhi. FAIDA ZAKE. 1. Husaidia kuondoa msongo wa mawazo, uchovu, kichwa kuuma, matatizo ya upumuaji n.k . 2. Maumivu wakati wa hedhi na kuboresha mzunguko mzuri wa damu. . 3. Kurekebisha homones (kuweke uwiano wa homones °homones imbalance°) . 4. Husaidia kukuza nywele na kuzuia kukatika katika. . 5. Husaidia kuondoa Chunusi na kuboresha ngozi na kupunguza kasi ya uzee. . 6. Kuongeza nguvu. . 7. Kuongeza idadi ya mayai kwenye mfuko wa uzazi wa mwanamke. . Mawasiliano 0752551222 .
disin and branding. kwa wenye maduka disin kwa 5000tzs.
UNAHITAJI NYUMBA HII INAUZWA DAR ES SALAAM WILAYA YA ILALA CHANIKA PIGA SIMU +255625433899 KWA MILLION 22 WAHI SASA BADO IPO MJINI
disine for cutingi .kwa bei poa
MDF FOR INGREVING. KWA BEI RAHISI SANA
bango za kisasa kabisa kwa bei nzuri ishi kisasa
NYUMBA INAUZWA CHANIKA MWISHO WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM TANZANIA
bango za kisasa kwa bei poa
bango for backlighty kwa bei poa kazi safi
dour sign. kwa bei poa karibuni