Dar es Salaam · Tanzania
Matangazo ya Biashara
Taarifa na matangazo ya wafanyabiashara ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Feeds
fire branding and cuting
UMEWAHI KUJIULIZA NI MUHIMU KIASI GANI KUIMARISHA KINGA YA MWILI WAKO KATIKA KIPINDI HIKI? . Moja ya vitu muhimu ni afya zetu ambazo hazina mbadala wake, katika kipindi hiki cha mlipuko wa ugonjwa wa corona ni vema tukajilinda wenyewe na tukawalinda wenzetu pia. . Katika kuhakikisha tunaimarisha afya zetu kinga ya miili yetu ni bora zaidi kuliko tiba ni bora tuchukue tahadhali leo katika kuimarisha kingaya mwili kwa kutumia natural supplements (ALOE VERA GEL). . JE UNAZIJUA FAIDA ZA KUTUMIA ALOE VERA GEL, KWA MWILI WAKO? . 1. Ina Amino acids Zaidi ya 18, ambapo 7 kati ya hizo ni muhimu sana katika ukuwaji wa chembe chembe za uhai katika mwili wa binadamu... . 2. Inasaidia mwili wa mwanadamu kupambana na matatizo mbalimbali ndani ya mwili na nje ya mwili. . 3. Inarekebisha Matatizo ya mmengenyo wa chakula... . 4. Inarekebisha Acid kuzidi tumboni ambayo mara nyingi hupelekea vidonda vya tumbo. . 5. Inasaidia Kurutubisha ngozi, kwa kuondoa seli zilizokufa na kutengeneza mpya na kuwa na muonekano mzuri . 6. Kuondoa vimbe mbali mbali ndani na nje ya mwili. . 7. Inasaidia Kuongeza kinga ya mwili na kuupa mwili nguvu za kutosha kuweza kupambana na magonjwa mbalimbali. . 8. Kusafisha sumu zinazotokana na vyakula, madawa, pombe, sigara, msongo wa mawazo (stress) n.k. ambazo zinaharibu kinga za mwili . 9. Inasaidia sana katika upatikanaji wa choo kwa wenye tatizo la kupata choo au wanaopata choo kigumu. . 10. Huimarisha mzunguko wa damu, mishipa ya damu na kuyeyusha damu na mafuta yaliyoganda . 11. Ni lishe tosha katika mwili wa mwanadamu... . Inasaidia kuondokana na maradhi mwilini...kwasababu vijidudu vibaya viletavyo maradhi hupendelea mazingira yenye ACID Tindikali..katika mwili...na Aloe vera yenyewe ina leta hali ya u- ALKALINITY mwilini na kusababisha vimelea viharibifu visiweze kustawi na kusabisha maradhi... . Lakini pia tumia ALOE HANDSOAP KUOSHA mikono na kuwaogeshea watoto wako katika kipindi hiki cha corona . Mawasiliano 0752551222 . Piga simu/tuma ujumbe wa kawaida au WhatsApp . 0752551222
kwa bei poa sana
kwa bei poa sana tunatengeneza
phone stend kwa anae hitaji kwa bei
3D SIGN KWA BEI RAHISI SANA
coffee table kali kwa bei pow 0673039863
mabango kwa bei nafuu sana 3D sign
UNAHITAJI VIWANJA VYA MAKAZI KWA MILLION 1,800,000 VIPO CHANIKA NAMANGA DAR ES SALAAM UKUBWA WA ENEO MITA 15 KWA 14 PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI 0625433899/0710751576
ingreving dor sign iwe loage au kwenye hoteli kubwa tunatengeneza no za milango
NYUMBA KALI YA KISASA INAUZWA DAR ES SALAAM WILAYA YA ILALA CHANIKA +255625433899 KWA MILLION 50 TU UKUBWA WA ENEO SQM 500 NYUMBA BADO IPO PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI
INAUZWA CHANIKA MWISHO WILAYA YA ILALA DAR ES SALAAM TANZANIA <
NYUMBA INAUZWA DAR ES SALAAM WILAYA YA ILALA CHANIKA KWA MILLION 50 TU NYUMBA YA KISASA HUDUMA ZOTE ZIPO UKUBWA WA ENEO SQM 600 PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI 0625433899/0684230399
tunatengeza mabango yenye kuwaka taa usiku 3d sign
Tunatengeneza mabango ya aina zote
@kibokoyausafi wamekurahishia kufanya usafi MAJUMBANI,MAOFISINI NA MAHOTELINI kwa kukupa bidhaa matata sana zitakazoenda kubadili mwonekano wa nyumba yako!! ?kungarisha tiles na masink yalifubaa kabisa na kurudisha mwonekano wake ?kusafishishia makochi ya aina zote leather na kitambaa ?kusafishia kuta za nyumba zilizofubaa ?Kusafisha ma kapet, majiko, microwaves ?product za kufulia zinazofua zenywe na kurudisha mwonekano wa nguo zilizofubaa!! au zinazochuja rangi!! zinaokoa muda na gharama za kufua ?products za usafi wa jikoni pamoja na kuoshea vyombo kwa mahotelini na majumban KWA MAELEZO ZAIDI FOLLOW @kibokoyausafi @kibokoyausafi @kibokoya usafi Call/watsap 0677244966.
PVC mlango yenye bodi special ambayo ni nzuri na imara karibu Sana whattsap 0652773977
health_weightconsultanttz inakumbusha mafundisho kwa njia ya mitandao kwa wote wanaotumia program za kupunza uzito, kumantain uzito, kuongeza uzito. Kama unatamani na wewe ufaidike na mafundisho hayo tafadhali consultant us kwa maelekezo program maalum kwa Maharusi( wakike/ wakiume) wakati wa maandalizi ya harusi~andaa size ya shelaa/ size ya suti tembelea health_weightconsultanttz au piga/sms/WhatsApp 0748318008
health_weightconsultanttz inakumbusha mafundisho kwa njia ya mitandao kwa wote wanaotumia program za kupunza uzito, kumantain uzito, kuongeza uzito. Kama unatamani na wewe ufaidike na mafundisho hayo tafadhali consultant us kwa maelekezo program maalum kwa wanandoa/wenza/wapendanao. tembelea health_weightconsultanttz au piga/sms/WhatsApp 0748318008
tv show cas kwa bei pow sna kutupata 0673039863
shelf nzur bei powa 0673039863
JE UNAZIJUA FAIDA ZA KUTUMIA ALOE VERA GEL, KWA MWILI WAKO? . 1. Ina Amino acids Zaidi ya 18, ambapo 7 kati ya hizo ni muhimu sana katika ukuwaji wa chembe chembe za uhai katika mwili wa binadamu... . 2. Inasaidia mwili wa mwanadamu kupambana na matatizo mbalimbali ndani ya mwili na nje ya mwili. . 3. Inarekebisha Matatizo ya mmengenyo wa chakula... . 4. Inarekebisha Acid kuzidi tumboni ambayo mara nyingi hupelekea vidonda vya tumbo. . 5. Inasaidia Kurutubisha ngozi, kwa kuondoa seli zilizokufa na kutengeneza mpya na kuwa na muonekano mzuri . 6. Kuondoa vimbe mbali mbali ndani na nje ya mwili. . 7. Inasaidia Kuongeza kinga ya mwili na kuupa mwili nguvu za kutosha . 8. Kusafisha sumu zinazotokana na vyakula, madawa, pombe, sigara, msongo wa mawazo (stress) n.k. . 9. Inasaidia sana katika upatikanaji wa choo kwa wenye tatizo la kupata choo au wanaopata choo kigumu. . 10. Huimarisha mzunguko wa damu, mishipa ya damu na kuyeyusha damu na mafuta yaliyoganda . 11. Ni lishe tosha katika mwili wa mwanadamu... . Inasaidia kuondokana na maradhi mwilini...kwasababu vijidudu vibaya viletavyo maradhi hupendelea mazingira yenye ACID Tindikali..katika mwili...na Aloe vera yenyewe ina leta hali ya u- ALKALINITY mwilini na kusababisha vimelea viharibifu visiweze kustawi na kusabisha maradhi... . Mawasiliano 0752551222
4 IN 1 MODERN JUICER. BEI YA OFA: TZS 165000. NAMBA YA SIMU: 0654731446 OfaOfaOfa Mfungo wa Ramadhan, Its a Newdeal ndio tunaelekea mwisho wa ofa.Hii sio ya kukosa kabisa hakikisha haupitwi na hili ni four in one juicer blender ambayo inauwezo wa kutengeneza fresh juice inachuja yenyewe. Pia waweza kuitumia kama blenda yakawaida Inasaga vitu mbalimbali kama vile ,kahawa, karanga, dagaaa, mdarasini,nyanya, tangawizi, na hiliki. Bei yake halisi ni sh 200000.Lakini Bei ya ofa ni sh 165000tu tukaribun sana Tuwasiliane kwa 0654731446 Free derivery kwa walioko Dar es salam watapelekewa hadi majumban au maofisin bila gharama ya usafiri .Tunapatikana kariakoo. Mwisho wa ofa ni tarehe 15/05/2020 karibuni sanaa
Ofa ofa ofa ofa ofa ofa. Hii inaitwa double sided grill pan Bei ya ofa ni sh 85000/= Mawasiliano: 0654731446 FREE DELIVERY kwa waliopo Dar es salaam. Inauwezo wa kuoka nyama kwa dakika 20 Ngombe Kuku dakika 20 Viazi na magimbi dakika 10 Mboga za majani dakika 3 tu Pia inaoka keki mbalimbali NB haihitaji kuweka mafuta Inatumia jiko la gesi au laumeme NB IMETENGENEZWA ITALY Warranty Miaka 10 Bei ya ofa sh 85000 tu Mwisho wa Ofa yetu ni tarehe 15/05/2020
0677371469
0677371469
karibu tukupe wallpaper za kijanja kutoka kwetu 0677371469 @agripina_decor on instagram
OFA! OFA! OFA! kwa kipindi hiki kuelekea msimu wa sikukuu ya idd jipatie..... Vanilla au Chocolate cake kg1 Butter cookies nusu kilo Chocolate cookies nusu kilo Visheti nusu kilo Vyote hivi utapata kwa 50,000/ tu Ofa hii ni ya sikukuu tu call/whtsp 0699346214 KARIBUNI SANA.
Tumeanza kupokea oder za idd kwa keki na COOKIES aina zote bei ni kuanzia elf10 tu kwa contena....karibuni sana.
bagamoyo kerege beach plots sqm 11000 cash mkopo 15000 makazi yapo, maji na umeme vipo 0655600424
sasa unaweza kulipa flat rate kuanza na laki 3 kwaa miez 24 mwisho 15/5 0655600424
karibu nguo za watoto. tuna punguzo la Bei kwa kipindi hiki tunachopitia. 0717232030 kwa huduma za nguo tunapatika Tabata changombe Bei zinaanzia 15000 na kuendelea.
Ofa ya keki kwa ajili ya Eid karibuni Sana tunapatika Tabata changombe Karibu tukuhudumie kwa keki tamu na zenye ladha. 0754332950
karibun jaman mpendezeshwe. unasukwa kwa Bei poa kabisa
NIKE SHOES Sizes 41,42,43,44,45 Price: 43,500/= Contacts +255683625140 Kariakoo-DSM
KARIBUNI KWA MAHITAJI YAFUATAYO TUNASAFISHA VISIMA ,TUNACHIMBA VISIMA NA TUNAFANYA SERVICE YA PAMP TUCHEKI KWA NO 0657 485 084 ASANTEN AU FANYA KU FOLLOW @WASAFISHAJI_VISIMA
siku zote ukiwa unafanya kazi mzuri ujionesha na uwafanyiao ufurai na kukuamini Kama mivinjen auto garage tumavyoamniwa na mabosi wetu.na njoo ujione pg 0717035247:0746667199 popote tunakuja kazi kwako
welcome mivinjen auto garage kazi mzuri ujionesha joo ufurai nasi mivinjen auto garage no 0717035247:0746667199
Usimwache mwanao apoteze mda bila kujifunza na ku refresh mind , kupitia dstv kwenye channel zetu pendwa za watoto mwanao atajifunza akiwa nyumbani katika kipindi hiki champito lakini pia ataweza kufurahi na kuvhangamsha ubongo pia . Jipatie decoder yetu ya hd6 kwa gharama ya 99,000/= tu ili mwanao aweze kufurahia yote haya kutoka dstv piga 0655746639 nasi tutakufikia popote ndani ya Dsm kwa gharama hyo hyo . NB Gharama za ufundi ni 20,000/= . Dstv pamoja nawe kwa kila hali !!!!
Jipatie full set ya dstv ya decoder ya zappa hd6 kwa shilingi 99,000/=.Ufurahie mwezi mzima wa kifurushi cha family bila malipo ya ziada kwa mahitaji piga 0655746639 nasi tutakufikia popote ulipo kwa gharama hyo hyo . NB Gharama za kufungiwa ni shilingi 20,000/= . usipitwe na ofa hii kali!!!!