Dar es Salaam · Tanzania
Matangazo ya Biashara
Taarifa na matangazo ya wafanyabiashara ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Feeds
Tunauza vyombo vya nyumbani vya asili vinavyotokana na mti wa mpingo , imara salama, vinadumu vinavutia vikiwa mezani au kabatini pata:- + glass + majagi + mabirika + vinu vya kutwangia viungo + sahani + bakuli n.k
Je Upo busy na Majukumu ??? Je Umekosa Muda wa Kufanya Usafi wa Nyumba Yako kwa Sababu ya u busy wa Kazi usijari First Revolution ni Zaidi ya Suluhisho tunatoa Huduma ya Usafi wa Majumbani kwa kufua nguo Mashuka Mapazia Mazuria na Usafi wa Nyumba Yako kiujumla tutafute sasa Tunakufuata Popote Ulipo
karibu Tengeneza furniture kwaajuli ya mahitaji ya furniture mbalimbali.
TUNAUZA VIWANJA BEI NAFUU VIKINDU CALL OR WHATSAPP 0713616316 LAKINI PIA NAPENDA KUWAJUZA KUA MITA 20/20 NI 2.4M Sqm 200 ni 1.2M. Vikindu kama Shelaton Eco Village =%VIWANJA VIMEKWISHA PIMWA. =%BARABARA ZINAPITIKA MAJIRA YOTE. =%HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO KARIBU. =%NI KILOMETER 2 TU KUTOKA BARABARA KUU YA VIKINDU MWISHO. =%TUNAPOKEA MALIPO YA MKUPUO MMOJA NA PIA TUNAPOKEA KWA AWAMU. =%USAFIRI NI WA UHAKIKA KUTOKA MJINI HADI VIKINDU MWISHO. =%BAJAJI TSH 500 NA BODABODA TSH 1000 KUTOKA VIKINDU MWISHO HADI SHELATON. =%TUNATOA HATI BAADA YA KUKAMILISHA MALIPO. HIO NDIO SHELATON BUAANA KUONA NI BURE NA KUNUNUA NI HADI URIDHIKE.
Super store Dagaa nNi wauzaji wa Dagaa safi wa mafuta kutoka mwanza wenye muonekano mzuri na ladhaa mzur pia tunafny Delivered popote ulipo unaletewa wanapatikan kwa Bei jumla na reja reja mawasiliano Zaid 0621106504
PATA BATI YA MSOUTH KWA TSH 22,500 TOKA KIWANDANI NA USAFIRISHIWE BURE MPAKA MKOANI KWAKO KARIBU SANA TUNA AINA ZOTE ZA MABATI BORA IMARA NA YA KUDUM NA YENYE UBORA URIO PITISHWA NA TBS G30 -Tsh 22,500/=migongo mipana futi 10 G28 -Ni Tsh29,700/=migongo mipana na Mdogo bei Moja futi 10 G28 - Bati ya kigae Mita ni Tsh 11,000/= up 80 bati ni Tsh 33,000/=futi 10 G28 -Bati ya kigae Mita ni Tsh 12,000/=up 90 bati ni Tsh 36,000/=futi 10 G30-Bati ya kigae Mita ni Tsh 10,000/=up 80 bati ni Tsh 30,000/=futi 10 Simba dumu(nyeupe)ni Tsh 285000 bando bati 16 Kiboko (nyeupe) ni Tsh 295000 bando bati 16 Kiboko G30 ni tsh 320000 bati 16 NA MBAO ZIPO 4by2 NI TSH 7000 NA 2by2 NI TSH 3500 USAFIRI BURE KWA MAWASIRIANO ZAIDI PIGA SM 0652382751 or WhatsApp 0652382751 office 0715470730
PvTango.....#kaributukuhudumie
mbolea inayoyeyuka kwenye maji ni nzuri kipindi cha uchavushaji kutunza vikonyo kisipukutishe maua
karibuni hostel iko MANZESE BAKHRESA karibu na mwendokasi,bei ni elfu hamsini50 tunaanza kulipa miezi MIWILI , umeme Ni juu ya mwanafunzi, tunaruhusu Kila kitu ,kupika n.k ndani Kuna feni, tiles, vyoo ,maji ya DAWASCO,. 0742960740 au 0785166509. napatikana
Karibuni Sandals kwa bei ya shilingi 30,000/- size zipo kuanzia 37,38,39,40,41,42.
Karibuni viatu original kabisa Chambuu OG size 37,38,39,40,41. Vinapatikana kwa jumla na Rejareja kwa bei nafuu kabisa ya shilingi 35,000/-
Karibu viatu jumla na Rejareja kwa bei nafuu sana ya shilingi 35,000/- tu ni chambuu OG kabisa Karibuni sana
GATE MOTOR. Epuka adha ya kushuka kwenye gari na kwenda kufungua geti hasa wakati wa mvua na usiku.? Huna haja kupiga honi , mtu wa getini , kufuli Kwa rimoti yako tu (single touch) Tuna gate motor CENTURION imara zenye waranty ya miaka miwili. Kwa Tsh 1.1M Tu . TUPO Mbezi beach-Maonde 0756 330 743
Je unahitaji cctv camera na vifaa vyake ? Royal security solution tupo kwaajili yako - Tunauza na kusambaza vifaa vyote vya cctv Camera system Bei zetu ni nafuu kabisa , bei ya jumla Vifaa tulivyo navyo ni pamoja na :- ?Analog camera ? IP camera ?DVR ?NVR ?POE switch ?Cable cat 6 coaxial ?Power supply ?Network cabinet ?Display, Tv & Monitor ?Hard disk ?Balun &bnc ? Network router ?Network cabinet ?Doungle modem Dar tunafanya delivery mkoani unatumiwa kwa uaminifu mkubwa . 0756 330 743
? ELECTRIC FENCE. ?Kwa huduma nzuri za kuwekewa ELECTRIC FENCE kwenye eneo lako ROYAL SECURITY SOLUTIONS ndiyo tutakaokufanikishia hii huduma. ?Tunajitahidi kadri ya uwezo wetu ku design fensi yenye muonekano mzuri ?Fence hizi ni imara na na bora kwa usalama wako , familia yako na mali zako , ?Imarisha ulinzi wa eneo lako sasa ?Usikubali tukio likutokee ndio ujutie kwann ulichelewa kufunga fensi ya umeme. ? pia usiruhusu tena vibaka wakusumbue . ?Lala usingizi mnono kabisa ukiwa umeshajihakikishia usalama wako na mali zako ?Gharama ya fence hii ni Tsh. 22,000/= tu kwa mita moja, ambapo itajumlisha gharama ya vifaa na ufundi. Gharama pia zitapungua baada ya kutembelea site na kuona uhalisia wa kazi ?Pia unaweza ukaweka na CCTV cameras ili kudhibiti kabisa uhalifu wa aina yoyote ile na kupata uangalizi wa eneo lako ukiwa popote ➡️KARIBU SANA KWA KAZI BORA NA YENYE UFANISI TUPO DAR ES SALAAM MBEZI BEACH NA ARUSHA SAKINA 0756 330 743
KABATI LA VYOMBO BEI 450000/= Free delivery kwa Dar Tupo mwananyamala A
KABATI LA NGUO BEI 450000/= Free delivery kwa Dar Tupo mwananyamala A 0659928350 0694232061
TUNAUZA VIWANJA BEI NAFUU VIKINDU CALL OR WHATSAPP 0713616316 LAKINI PIA NAPENDA KUWAJUZA KUA MITA 20/20 NI 2.4M Sqm 200 ni 1.2M. Vikindu kama Shelaton Eco Village =%VIWANJA VIMEKWISHA PIMWA. =%BARABARA ZINAPITIKA MAJIRA YOTE. =%HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO KARIBU. =%NI KILOMETER 2 TU KUTOKA BARABARA KUU YA VIKINDU MWISHO. =%TUNAPOKEA MALIPO YA MKUPUO MMOJA NA PIA TUNAPOKEA KWA AWAMU. =%USAFIRI NI WA UHAKIKA KUTOKA MJINI HADI VIKINDU MWISHO. =%BAJAJI TSH 500 NA BODABODA TSH 1000 KUTOKA VIKINDU MWISHO HADI SHELATON. =%TUNATOA HATI BAADA YA KUKAMILISHA MALIPO. HIO NDIO SHELATON BUAANA KUONA NI BURE NA KUNUNUA NI HADI URIDHIKE.
LAKINI PIA NAPENDA KUWAJUZA KUA MITA 20/20 NI 2.4M Vikindu kama Shelaton Eco Village =%VIWANJA VIMEKWISHA PIMWA. =%BARABARA ZINAPITIKA MAJIRA YOTE. =%HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO KARIBU. =%NI KILOMETER 2 TU KUTOKA BARABARA KUU YA VIKINDU MWISHO. =%TUNAPOKEA MALIPO YA MKUPUO MMOJA NA PIA TUNAPOKEA KWA AWAMU. =%USAFIRI NI WA UHAKIKA KUTOKA MJINI HADI VIKINDU MWISHO. =%BAJAJI TSH 500 NA BODABODA TSH 1000 KUTOKA VIKINDU MWISHO HADI SHELATON. =%TUNATOA HATI BAADA YA KUKAMILISHA MALIPO. HIO NDIO SHELATON BUAANA KUONA NI BURE NA KUNUNUA NI HADI URIDHIKE.
*Wale Mnaotaka kiwanja chenye ukubwa wa 20 kwa 20 bei ni* =
*Wale Mnaotaka kiwanja chenye ukubwa wa 20 kwa 20 bei ni* =
Samsung Galaxy BRAND NEW.A02s Ram 3gb Storage 32gb
Tunauza na kusuply cup cake katika supermakets na maduka madogo dogo na tuna aina tatu(3) za package
karibu uagize sahani China kwa bei poa kabisa box 1 lina sahani 60 kwa elfu 60000 agiza kuanzia sahani 30 kwa shilingi 1000 kila moja na chini ya 30 ni shilingi 1200 karibu sana ndo zipo kwenye oda sasa https://chat.whatsapp.com/HFTtZxBQfmCDVl3jDUuScE WhatsApp no 0746697012
karibu uagize sahani China kwa bei poa kabisa box 1 lina sahani 60 kwa elfu 60000 agiza kuanzia sahani 30 kwa shilingi 1000 kila moja na chini ya 30 ni shilingi 1200 karibu sana ndo zipo kwenye oda sasa https://chat.whatsapp.com/HFTtZxBQfmCDVl3jDUuScE WhatsApp no 0746697012
karibu uagize sahani China kwa bei poa kabisa box 1 lina sahani 60 kwa elfu 60000 agiza kuanzia sahani 30 kwa shilingi 1000 kila moja na chini ya 30 ni shilingi 1200 karibu sana ndo zipo kwenye oda sasa https://chat.whatsapp.com/HFTtZxBQfmCDVl3jDUuScE WhatsApp no 0746697012
karibu uagize sahani China kwa bei poa kabisa box 1 lina sahani 60 kwa elfu 60000 agiza kuanzia sahani 30 kwa shilingi 1000 kila moja na chini ya 30 ni shilingi 1200 karibu sana ndo zipo kwenye oda sasa https://chat.whatsapp.com/HFTtZxBQfmCDVl3jDUuScE WhatsApp no 0746697012
Wakati unaweka tangazo lako usisahau kuweka maelezo ya bidhaa kwa ufupi, namba yako ya simu na bei hii itawarahisishia wanunuzi kufanya maamuzi
maziwa fresh lita 2000/= Tsh maziwa ya mtindi lita 2500/= Tsh karibuni sana
Nyumba inapangishwa inavyumba 3 vyote master sebule dinning jiko choo cha public inajitegemea kwenye fence bei laki 5 kwa mwezi malipo miezi 6 ipo Ununio kwenda kuona nyumba ukipenda nyumba ukalipa utamlipa hela ya mwezi mmoja kwa maongezi 0712943877
-GARI -INAUZWA -MILIONI MBILI NA LAKI SABA TUH ( 2,700,000/= ) -INA FULL ICEEE -INA FULL DOCUMENTS -HAINA TATIZO LOLOTE LILE -NIPIGIEE 0787734417 OR 0658332307
VIKINDU MPYA SHELATON ECO VILLAGE.. MRADI BORA ZAIDI WA VIWANJA VYA MAKAZI. VIWANJA VIPO VIKINDU (MKURANGA PWANI). KILOMITA 2 KUTOKA BARABARA KUU. VIKINDU KAMA VIKINDU Maji Safi na salama yapo kwenye viwanja, Umeme upo Jirani sana na Viwanja, Shule ya serikali na private zipo jirani na mradi, Soko, kituo cha afya n.k Watu wamesha anza kujenga wapo majirani kwenye Eneo la viwanja Njia kubwa inapitika kipindi chote. Viwanja ni tambarale kabisa. Viwanja VIMESHAPIMWA ki mtaa mtaa na barabara za mitaa zimesha chongwa. UKUBWA NA BEI =
OFA OFA VIWANJA KWAAJILI YA MAKAZI.(VIKINDU NA KISEMVULE) 0713616316. MPENZI MTEJA WANGU NITAFURAHI KUKUHUDUMIA NA NAAHIDI KUKUPELEKA NA KUKURUDISHA BURE KUTOKA STENDI HADI SAITI SIKU YA KUJA KUONA NA SIKU YA KUJA KUFANYA MALIPO. TUNAUZA VIWANJA KWAAJILI YA MAKAZI MAENEO NI VIKINDU NA KISEMVULE, VIWANJA VYETU VIMESHAPIMWA, HUDUMA ZA KIJAMII ZINAPATIKANA LAKINI PIA UTAKAPOMALIZA MALIPO UTAPATIWA HATI YAKO PAPO HAPO. KWA VIPIMO ???????? ?SHELATONI ECO VILLAGE (VIKINDU) KILOMITA 2 KUTOKA BARABARA KUU. ?FUTI 50/40 (MITA 15/12) SQM 200 NI 1,200,000/= ? OBEY NEW VILLAGE (KISEMVULE) KILOMITA 3 KUTOKA BARABARA KUU. ?FUTI 50/40 (MITA 15/12) SQM 200 NI 1,300,000/= ? MPERA ONE (KISEMVULE) KILOMITA 3 KUTOKA BARABARA KUU. ?FUTI 50/40 (MITA 15/12) SQM 200 NI 1,400,000/= PIA TUNAPOKEA MALIPO YA AWAMU BILA RIBA WALA DHAMANA. (UTALIPA NUSU BEI YA MAKUBALIANO (50%) NA UTAPEWA MIEZI 3 YA KUKAMILISHA DENI LAKO). KUMBUKA KUJA KUONA VIWANJA VYETU NI BUREEEE NA KUNUNUA NI HADI URIDHIKE MWENYEWE.
Karibuni wateja wote wenye kuhitaji mahitaji yote ya nyumbani, tupo kwa ajili ya kuwahudumia, mchele, sukari , ngano na naharage yanapatikana kwa jumla na rejareja kwa bei nafuu zaidi
Karibu kwenye kampuni yetu tukupatie huduma bora, nafuu na kwa haraka. Huduma zetu zinajmuisha shughuli zote za IT na umeme kwa ujumla na pia tunamfuata mteja alipo kumpatia huduma yenye weledi wa hali juu.
Kubwa kuliko tunafanya delivery popote ndani ya dar
Nauza Offsholder tops kwa shilingi 6000 Tu. Mkoani nafanya delivery kwa gharama nafuu za mteja.
hakikisha engine inapata joto la kutosha kabra ya kuaza kuendesha gari lako. Kama unazima gari lako kwa muda baada ya kuliwasha ili engine ipate joto ra kutosha na kufanya vimiminika vyote katika gari kutawanyika na kufika katika maeneo husika na katka kiwango stahiki. italifanya gari lako lidumu muda mrefu na itakupunguzia garama ya kufanya marekebisho ya Mara kwa Mara. tupigie call 0746667199. 0717035247
Karibu handbag za kijanja na imara kutoka uturuki
Karibu handbag za kijanja na imara kutoka uturuki