Dar es Salaam · Tanzania
Matangazo ya Biashara
Taarifa na matangazo ya wafanyabiashara ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Feeds
Kwa mahitaj ya furniture za majumban na ofisini wasiliana nasi
Tunakupa kilicho bora kwaajili ya biashara yako. Tangaza biashara yako kwa kupata LOGO mpya, nzuri na yenye muonekano mzuri. Tunaprint/kudarizi kwenye Kofia/T-shirts/Shirts n.k kwaajili ya wafanyakaz/staffs. Tuite popote ulipo nasi tutakufikia popote ulipo. Call/whatsap. 0759190519/ 0677002867.
Mapazia mazuri kwajili ya kupendezesha nyumba yako
359 smart collection ni perfume yenye manukato mazuri na harufu nzuri inatumiwa na jinsia zote inapatikana sasa kwa Tsh. 40000/=tu. Karibu ujipatie perfume kali kutoka 0768554674. delivery ipo Dar na Mikoani pia tunatuma.
Je unahtaj pen iloprintiwa? Wasiliana nasi sadaa
Kwa huduma Bora ya Graphics Design & Printing #Karibu tukuhudumie
nguo za watoto Kali kama hii utapata kwetu kwa sh,25000 tu tunazo za mwaka 1-5 karibuni
Samsung Galaxy S9 Plus 64gb Brand New phone selead Warranty Mwaka mmoja 680000Tsh 0682029709 free Delivery Dar es saalm
Samsung S9 Brand New 64gb Warranty mwaka mmoja Karibu tupo mlimani City 550000Tsh 0682029709
Hiii nyumba ina sq 1000 Nyumb ina vyumba vitano Hii nyumba inq hati Nyumba ukija njoo full Wala hitaji longo longo Nyumba iko bahar beach Nyumba 400 mlioni Maongezi yapo ila Karibuni sana
Discovery 3 naiuza kwa milion 54 Gari bado imesimama hatari karibu sana
tunatengeza na ku-repair furniture za kisasa
Wadau wabet na maswala mazima ya mpira wakat niwako sasa> Unabet kila siku mkeka wako unachanika!!Usijali karibu ubet pamoja na sisi kwa Odds zauakika kila siku.. Tutext whts app 0762036958 utapatiwa taratibu kamili zakujoin kwenye Group letu..
Bei 135,000tzs ✅Haitumi Battery ✅Haiingi Maji ✅Warranty Mwaka 1 ?Call or WhatsApp 0626201815
Je, unahitaji LOGO nzuri na yenye mvuto kwaajili ya ku-brand biashara zako? Je, unahitaji huduma nzuri ya t-shirts/shirts printing & embroidery services (kudarizi)? karibu. Call/whatsap. 0759190519/ 0677002867.
Je, unahitaji LOGO nzuri na yenye mvuto kwaajili ya ku-brand biashara zako? Je, unahitaji huduma nzuri ya t-shirts/shirts printing & embroidery services (kudarizi)? karibu. Call/whatsap. 0759190519/ 0677002867.
Nauza magodoro Aina zote. Spring mattress. Authopedic Sponge mattress Pia vitanda vya chuma,sofa, pamoja na mbao Wasiliana ujipatie vitu bora ulale kwa starehe
Tanfoam arusha ..... magodoro yenye ubora WA juu zaidi tanzania Pia ukiwa Congo mbosa unapata godoro za tanfoam arusha Futi 5/6 6/6 4/6
SPORTS MASTER NUMBER 1. TUPO KARIAKOO MSIMBAZI NYUMA YA CLUB YA SIMBA MTAA WA MANYEMA
W26 /w6. W26+ smart watch Bei 60,000 Smart watch Rangi zote zinapatikana Bei rahisi WhatsApp/Calls +255777112924 Mikoani natuma TUPO KARIAKOO MSIMBAZI NYUMA YA CLUB YA SIMBA MTAA WA MANYEMA Tunauza jumla na reja reja
Price. 7000. Rangi zote zinapatikana Bei rahisi Whp /Cal +255777112924 Mikoani natuma TUPO KARIAKOO MSIMBAZI NYUMA YA CLUB YA SIMBA MTAA WA MANYEMA Tunauza jumla na reja reja
Dreamy party tunahusika na kuuza vitu na huduma ili sherehe yako niweze kukamilisha. Utajipatia Keki aina zote na bites,tunapamba na kuuza mapambo, tunafunga zawadi na kumsurprise umpendae pia tunauza nguo za watoto .
#SIFA ZAKE Ni ndogo yakuweza kuiweka popote. Ina uwezo wa kuzunguka (rotate) ukaona pande zote za eneo lako, yaani hakuna haja ya kuweka camera nyingi eneo moja hii itamulika pande zote. Ina uwezo wa ku record matukio na baadae uka replay matukio Yote. Inakuwezesha kuangalia moja kwa moja picha/video popote ulipo uone KINACHOENDELEA live ukiwa sehemu yoyote hata nje ya nchi. Haitumii umeme mwingi, inaweza kutumia umeme wa kawaida, Solar au hata power bank inaweza kuiwasha. Uwezo wa kuona hata kwenye giza taa zikiwa zimezimwa. Hii Camera ina VOICE FUNCTION ambayo itakusaidia kuwasiliana na mtu aliyepo karibu na Camera na mkasikilizana vizuri kabisa. Hii camera inauwezo wa MOTION DETECTION FUNCTION ina uwezo wa kuhisi mtu akipita na utapata ujumbe/alarm kwenye simu yako mara moja. Inatumia waya wa USB kama power supply. Unaweza kufunga juu kwenye ukuta au roof, Easy installation (ni rahisi kuifunga haitaji fundi kufunga) Tunapatikana Dsm Mbezi beach Africana. KARIBUN SANA.
30000/= Karibun sana guys
jipatie nguo kali za kike kutoka Rosie_onlinecollection kwa bei nafuu 0687 737 195
T-shirts original sport zenye ubora wa hali ya juu kwaajili ya printing & embroidery service. Zina patika rangi tofauti na aina mbalimbali. call/whatsap. 0759190519/ 0677002867
Je, unahitaji LOGO nzuri na yenye mvuto kwaajili ya ku-brand biashara zako? Je, unahitaji huduma nzuri ya t-shirts/shirts printing & embroidery services (kudarizi)? karibu. Call/whatsap. 0759190519/ 0677002867. #kudarizi#embroidery.
Tunatoa huduma za kinywa na meno tu.kama vile kuziba meno, kunyoosha meno yalioteana vibaya(orthodontic), kusafisha, meno bandia aina zote, kungoa , ushaur n.k
Tambua oil filter ambayo inafaa kufungwa kwenye gari yako... ukiiingia sokoni kwa sasa Kuna oil filter nyingi sana.. lakini ni ngumu sana kutambua oil filter original na ambayo ni sahihi kwa gari yako... nimejitolea buree kukusaidia kujua oil filter ambayo ni sahihi kwa gari yako... nipigie =0717696504 =0622260402 au bonyeza link hapo chini https://chat.whatsapp.com/EGnQQgLXfbLCiqbo33BqdQ
Tunauza chupi za cotton nzuri sana jumla 3500 rejareja 4000 tucheki 0689667884
Agiza nami moja kwa moja kutoka China.. Handbags kwa bei nafuu..
committed to excellence
Ni Ofisi ya MAWAKILI inayotoa huduma za kisheria kama vile Kuandaa mikataba, kusajili makampuni, viapo, kusajili biashara, kuwezesha upatikanaji wa vibali mbali mbali, kusimamia kesi mahakamani na shunghuli nyingine za kisheria.
Je, unahitaji LOGO nzuri na yenye mvuto kwaajili ya ku-brand biashara zako? Je, unahitaji huduma nzuri ya t-shirts/shirts printing & embroidery services (kudarizi)? karibu. Call/whatsap. 0759190519/ 0677002867
Kwa tatizo lolote la TV mfano Kutokuwaka, Kuwa na mistari Kutokua na sauti Kupoteza rangi Na mengine mengi wasiliana nami kwa ushauli na matengenezo kwa namba 0652816716 au gusa link hii https://wa.me/message/B62YNOUKBH63G1 kuchat nami whatsapp pia Ushauli natoa bure kabisa
Karibu ujipatie iPhone 7 Plus 32Gb 750,000Tshs Brand new full boxed sealed Gold,Rose Gold&Black
Samsung Galaxy S7 Edge Brand new full boxed 32Gb Gold&Black 400,000
karibu ujipatie mitandio kwa jumla na reja reja kuanzia 6000 Napatikana dar, bugurun 0713038188
KITANDA 350000 Bei IPO fixed delivery free in dar cantact 0693669413
Nokia 105 Dual & Single sim available. price 38,000/= Delivery available.