Dar es Salaam · Tanzania
Matangazo ya Biashara
Taarifa na matangazo ya wafanyabiashara ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Feeds
top bei pow kabisa karibun size :large
jumpsuit beipia zipo kuna maelewano pia
jipatie nguo za kike nzuri za kisasa kwa bei rahihi unafikishiwa popote ulipo kwa gharama za mteja karibuni
Kwanini ulie chakula kwenye meza ambayo huifurahii? sasa Sisi tunakupa ushauri JIPATIE dinning set ya ndoto yako. Tupigie 0716771053/0686785485
je unaitaji Mbao za kupaulia zenye dawa (TREATED) basi fika dukani kwetu Buguruni Chama na tukupatie Mbao zenye ubola wa uwakika pia tunakupa ofa ya usafili bule pamoja na misumali au piga simu 0789475430 & 0754663677 au WhatsApp 0652663077 kwa maelezo zaidi
Vyoo vya kukodisha kwajili ya mashuhuli, misiba, matamasha, bonanza, mihadhara na kila aina ya matukio mbalimbali.. Bei yake ni 200,000/= kwa kimoja 180,000/= kwanzia vitatu Usafiri ni bure kabisa bila kujali umbali uliopo.
=%Ipate Kwa Bei Punguzo A10s Samsung Imesimamia 300,000/= Kwa sasa. Karibu Katika Gulio Kwa Manunuzi Ya Simu Za #Samsung #iphone #Huawei #infinixmobile #Tecno #Oppo na #Redmi #simu #smartphone #simutanzania #twendegulioni #karibugulioni #simumpya Official Contact. Call / Whats app +255 769 441 045
Ipate Kwa Bei Punguzo Infinix Smart 5 Yenye 32GB na RAM 2GB Battery ni 5000mAh Ipo na Dual Camera with Triple - Flash Light =
Ofa ofa ofa ofa nunua Mbao za Dawa (TREATED) Za kupaulia na tukupatie usafili bule mpaka saiti kwako na tunakupa misumali bule Location Buguruni Chama au piga simu 0789475430& 0754663677 au WhatsApp 0652663077
IPhone 7plain Gb128 420k In a good condition ?
power belt mikanda ya kupunguza tumbo na minyama uzembe price 50000 free delivery kwa wakazi wa dar mikoani tunatuma kwa basi
Kwanini ukalie sebule ambayo haina mvuto Kwa simu moja Tu tunakupatia sebule ya ndoto zako. 0686785485/0716771053
brand new iphone 6plus 6 storage 64gb 470,000 16gb 380,000
OMEGA - 3 SALMON OIL PLUS Utafiti ulionyesha lishe ambayo ni pamoja na samaki matajiri katika washiriki wote 8 wa asidi ya omega -3fatty, pamoja na EPA (EICOSAPENTAENOIC ACID) na DHA (DOCOSAHEXANOIC ACID), hutoa tofauti ikiwa afya itafaidika. EPA na DHA zimeonyeshwa kusaidia kazi ya moyo na mishipa. Asidi ya mafuta ya Omega -3, haswa DHA, ni muhimu kwa maendeleo ya kuona na mishipa. Iliyotokana na mafuta kutoka kwa samaki baridi ya maji, Omega -3s inaweza kusaidia viwango vya damu vyenye cholesterol, triglycerides na lipoproteini za chini sana viwango vya kawaida vya kila haya yamehusishwa na afya ya moyo na mishipa.Plus, asidi ya mafuta ya Omega-3 inaweza kutoa faida zingine za kiafya, kama vile kupunguza uchochezi unaohusishwa na matumizi mabaya ya viungo.
POWER BELT MIKANDA YA KUPUNGUZA TUMBO NA MINYAMA UZEMBE, SH 50000 KWA WATEJA WA DAR TUNAFANYA FREE DELIVERY MIKOANI TUNATUMA KWA BASI
RESISTANCEBANDS zinapatikana kwa sh 35000 zinakaa pc 5 kwa wateja wetu wa dar tunafanya free delivery mikoani tunatuma kwa basi
REVOFLEX ni kifaa ambacho kitaweza kukusaidia kufanya mazoezi zaidi ya 50 kwa kutumia kifaa hiki kina patikana kwa sh 45000 tu kwa wateja wa dar tunafanya free delivery mikoani tunatuma kwa basi
POWER BELT ni mkanda wa kupunguza tumbo na minyama uzembe, napia inasaidia kina mama walio toka kujifungua inapatikana kwa sh 50000 tu
Jumatatu free delivery kwa dar
jipatie sturi Safi kwa bei ya tsh 25,000
1700 kwa 1600kg
1700 hadi 1600Kg promotion
wauzaji wa mavazi ya kiume yenye ubora tunafanya delivery mikoa yote
gypsum decoration
NGOSHA BIODIGESTER SOLUTION usisumbuke na kero la Maji Taka kamwe! Tuna mfumo bora wa kisasa wa choo usiojaa (BIODIGESTERS) ambao ni mfumo badala wa Mashimo ya kawaida ya choo! (septics and soakpits) Mfumo huu wa kisasa una sifa zifuatazo :- 1. haujai kamwe 2. hakivutwi - hakiitaji kunyonywa na motokaa (boza) 3. hakina harufu 4. Kinatumia eneo ndogo (small space) 4. Vina guarantee na vinafanywa na wataalam 5. Vinafanya vyema hata kwenye chemi chemi 6. Vina muonekano mzuri (vinapendeza kweli) 7. Unafanya vyema hata kwa manyumba makubwa yenye idadi kubwa ya watu. Bei ni maelewano Tunatoa huduma kwa kila mtanzania kokote uliko tunakufikia karibuni pigasimu namba zifuatazo +255788937233 +255689936779 Kalibuni sana nyumba nichoo
NGOSHA BIODIGESTER SOLUTION usisumbuke na kero la Maji Taka kamwe! Tuna mfumo bora wa kisasa wa choo usiojaa (BIODIGESTERS) ambao ni mfumo badala wa Mashimo ya kawaida ya choo! (septics and soakpits) Mfumo huu wa kisasa una sifa zifuatazo :- 1. haujai kamwe 2. hakivutwi - hakiitaji kunyonywa na motokaa (boza) 3. hakina harufu 4. Kinatumia eneo ndogo (small space) 4. Vina guarantee na vinafanywa na wataalam 5. Vinafanya vyema hata kwenye chemi chemi 6. Vina muonekano mzuri (vinapendeza kweli) 7. Unafanya vyema hata kwa manyumba makubwa yenye idadi kubwa ya watu. Bei ni maelewano Tunatoa huduma kwa kila mtanzania kokote uliko tunakufikia karibuni pigasimu namba zifuatazo +255788937233 +255689936779 Kalibuni sana nyumba nichoo
NGOSHA BIODIGESTER SOLUTION usisumbuke na kero la Maji Taka kamwe! Tuna mfumo bora wa kisasa wa choo usiojaa (BIODIGESTERS) ambao ni mfumo badala wa Mashimo ya kawaida ya choo! (septics and soakpits) Mfumo huu wa kisasa una sifa zifuatazo :- 1. haujai kamwe 2. hakivutwi - hakiitaji kunyonywa na motokaa (boza) 3. hakina harufu 4. Kinatumia eneo ndogo (small space) 4. Vina guarantee na vinafanywa na wataalam 5. Vinafanya vyema hata kwenye chemi chemi 6. Vina muonekano mzuri (vinapendeza kweli) 7. Unafanya vyema hata kwa manyumba makubwa yenye idadi kubwa ya watu. Bei ni maelewano Tunatoa huduma kwa kila mtanzania kokote uliko tunakufikia karibuni pigasimu namba zifuatazo +255788937233 +255689936779 Kalibuni sana nyumba nichoo
Tunauza na kukopesha viwanja vilivyopimwa kigamboni Ungindoni sqm1=40,000/=ila bei inazungimzika.call 0657326842. Viwanja vipo jirani kabisa na Barabara kubwa ya lami iendayo fery kigamboni au Tuongoma,Mita50 ukitokea Barabara kubwa ya lami.kilomita 9 ukitokea ferry kilomita12 ukitokea daraja jipya la Mwalimu Nyerere kigamboni. Vimepimwa kuanzia sqm 245,sqm300,sqm400,sqm500,sqm600,sqm700,sqm1000.BEI kuanzia milioni9,milioni10,milioni15na kuendelea. Uzuri wa viwanja hivi,vipo jirani na Barabara ya lami na huduma muhimu zote zipo,umeme,shule,hosipitali na Nyumba za ibada. kwa maelezo zaidi piga /whatsap 0657326842.
*Garlic Allium Complex* Ni mkusanyiko wa aina zaidi ya tano za vitunguu ambao umewekwa kwenye mfumo wa vidonge. Inasaidia kukabiliana na *fungus* na *UTI sugu*. Pia inaboresha afya ya moyo na kupunguza cholesterol. *GARLIC ALLIUM* ni kirutubisho kilichotokana na jamii ya vitunguu ambayo kwa kitaalamu huitwa _Allium Sativum._ Jamii hii ilianza kutumika katika Mabara mbalimbali duniani hususani Asia, Afrika na Ulaya takribani miaka 6000 iliyopita. Matumizi makuu nyakati hizo yakiwa ni *Viungo* katika mboga na *Tiba.* GARLIC ALLIUM HUTIBU/HUKINGA MAGONJWA Haya ni baadhi ya magonjwa yaliyothibitika kutibika na yanatibika au kukingika *GARLIC ALLIUM* -Inatibu U.TI sugu na fungus sugu ikishirikiana na virutubisho vingine kama Zinc na Vitamin E -Huondoa sumu mwilini -Husafisha tumbo -Huyeyusha mafuta mwilini (kolestro) -Hutibu amoeba, minyoo na Bakteria wengine -Huzuia kuhara damu (Dysentery) -Huondoa Gesi tumboni -Hutibu msokoto wa tumbo -Hutibu Typhoid -Huondoa mabaka mabaka kwenye ngozi -Hutibu mafua na malaria -Hutibu kifua kikuu (ukitumia kitunguu swaumu kesho yake unaweza kutokwa na makohozi mengi tu ambayo ni ishara kwamba kweli kinatibu kifua kikuu (TB) -Hutibu kipindupindu -Hutibu upele ikishirikiana na virutubisho vingine kama Nafaka kamili ya Soya, brown rice, Ngano, Dona n.k -Huvunjavunja mawe katika figo (Kidney stones) -Hutibu mba kichwani -Huimarisha utendaji kazi wa ubongo. -Huzuia meno kungooka na kutuliza maumivu -Huongeza SANA nguvu za kiume pia hutibu uanithi (kushindwa kusimama kabisa uume) kwa kushirikiana na virutubisho vingine vya kubalansi homon -Hutibu maumivu ya kichwa na kizunguzungu. -Hutibu shinikizo la juu la damu na kuzuia saratani/kansa kwa kushirikiana na virutubisho vingine pia -Husaidia kutibu kisukari ikishirikiana na virutubisho vingine -Husaidia kutibu tatizo la kukosa usingizi (ni kweli, na ni moja ya kazi nyingine ya kitunguu swaumu iliyonishangaza zaidi) pia kinaondoa msongo wa mawazo/stress na kukufanya uishi miaka mingi Huongeza SANA kinga ya mwili na kwa muda mfupi ikishirikiana na virutubisho vingine vinavyotokana na mboga mboga na matunda...
Njoo upendeze na Mimi kwa Bei rahisi Sana tunapatikana mbagala kizuyani
BMW for Sale.
Karibu Janesha Electric Appliances Store ujipatie Smoothie Blender kwa 35,000 tuu. Napatikana Kimara Dar Delivery ipo kwa Dar Mikoani natuma kwa uaminifu Karibuni sana Ntafurahi kuwahudumia 0755173413 whatsapp
S.T.A VITAMIN E SERUM #NI MAFUTA YA MAJI MAALUMU KWA AJILI YA NGOZI# 1.Yanalainisha ngozi na kuondoa mikunjo 2.Yanaondoa #Madoa, #Magaga miguuni, #Weusi wa makwapani, #Weusi mapaja, #Makovu ya chunusi #Sugu zinazosababishwa na matumizi ya baadhi ya vipodozi vikali 3.Yanatakatisha ngozi bila kuchubua hivyo kufanya ngozi yako kuwa na rangi moja mwili mzima. #BEI YAKE NI TSH 8,000 TU DELIVERY IPO KULINGANA NA SEHEMU ULIPO VITAMIN E SERUM NDIO HABARI YA MJINI. WASILIANA KWA Namba 0713145135 WhatsApp 0684901331 NI MWENDO WA KUDAMSHI TU=
Chupi ni 62,000 dozen!!!ni highwest na zina material mazuri saaana....zinabana tumbo.
STEAMING KUTOKA S.T.I NATURAL PRODUCT HUU NI MCHANGANYIKO WA KITUNGUU, MBEGU ZA MNYONYO NA MZAITUNI FAIDA ZAKE
RED ONION SHAMPOO ( hair shampoo) FAIDA BAADA YA KUTUMIA =INywele zitalainika na kungaa =INywele zitajaa =IKuzuia nywele kukatika hovyo =IInaimarisha nywele na kufungua vitundu vya ngozi (hair pores ) ili ziweze kukua vizuri. =IKuondoa miwasho na mba kichwani. <:<:<:<:<:<:<: UNAJIPATIA KWA SH.7,000 TU DELIVERY IPO KULINGANA NA SEHEMU ULIPO TUPIGIE SIMU NO.0713145135 WHATSAPP NO.0684901331
JIPATIE SABUNI YA KAHAWA KUTOKA S.T.I NATURAL PRODUCTS Inaondoa chunusi Inaondoa Madoa Usoni Inasafisha Ngozi Inaondoa Ngozi Iliyokufa (Dead Skin) Inarutubisha Ngozi Iliyoungua Na Jua Inalainisha Ngozi Inapunguza mafuta usoni KARIBU UHUDUMIWE KWA SH.6,000 TU DELIVERY IPO KULINGANA NA SEHEMU ULIPO TUPIGIE SIMU NO.0713145135 WHATSAPP NO.0684901331
COFFEE FACE & BODY SCRUB........... KUTOKA S.T.I NATURAL PRODUCT Ni Scrub ya asili kabisa iliyotengenezwa kwa vitu asilia vyenye uwezo wa kuondoa matatizo ya ngozi bila kujali aina ya ngozi. FAIDA ZA SCRUB YA KAHAWA Hutakatisha sehemu zilizojificha kama vile kwapa, mapajani na shingoni Huondoa michirizi Huondoa seli zilizokufa Husaidia ngozi kupumua vizuri Hungarisha na kukufanya uteleze (haichubui) Huondoa mikunjo kwenye ngozi Hupunguza mafuta na kukuacha murua Huondoa sugu kwenye magoti na vidoleni Humsaidia alieathirika na vipodozi vikali Huondoa vipele vilivyo kwenye makalio MATUMIZI Fanya scrub angalau kwa wiki mara 2 kwa kuchukua kiasi kidogo na kupaka sehemu utakayo kisha fanya massage kaa dakika 20-30 osha kwa maji Vuguvugu =
Tupigie 0686785485/0716771053 furniture Kali na imara Kwa bei Nafuu.
tunatengeneza mapambo ya mauwa kwa bei pow 0673039863