Matangazo mbalimbali ya wafanyabiashara wadogo na wakati Dar
You need to login to be able to post your things about your business
|
Aiche Creations ltd. Tunatengeneza Gazebo imara Kwa mbao unaweza weka nyumbani au sehemu ya biashara. tupigie 0686785485 / 0716771053
|
|
kitanda kizur kipo tayari utakipata kwa bei pow 0673039863
|
|
|
|
|
|
K. mous 32Gb ram 2 4G battery 3000 mAh price 200.000/= 0782101612 Whatsap Call 0678163913
|
|
K. mous 32Gb ram 2 4G battery 3000 mAh price 200.000/= Call 0678163913 whtsap 0782101612
|
|
|
Raba Nike Originally kwa bei nzuri Tsh 60’000 Whatapp +255 768 100812
|
|
Je unasumbuliwa na kitambi , Je unasumbuliwa na minyama uzembe Au una uzito uliozid Catherine tea bag ndio suluhisho lako ,piga au wsp 0688847443 follow @,brenbo98 kwa maelezo zaid
|
|
|
Kwa milango Bora ya mbao na imara tupigie tukuhudumie. 0686785485/0716771053.
|
|
Tunatengeneza vitanda Aina zote karibun tunapatikana keko dar pia mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa call 0658264085
|
|
Tunatengeneza na kuripea sofa Aina zote call 0658264085 popote tutakufikia
|
|
Tunatengeneza na kuripea sofa Aina zote call 0658264085
|
|
|
|
Karibu Janesha Electric Appliances Store ujipatie Electric Rice cooker brand ni WESTPOINT na LYONS. Lyons 1.8L kwa 55,000 Westpoint 1.8 L kwa 65,000 Westpoint 2.2 L kwa 85,000 Napatikana kimara Dar Delivery ipo kwa Dar Mikoani natuma kwa uaminifu 0755173413 whatsapp no Karibuni sana Ntafurahi kuwahudumia
|
|
Karibu Janesha Electric Appliances Store ujipatie Electric Rice cooker brand ni WESTPOINT na LYONS. Lyons 1.8L kwa 55,000 Westpoint 1.8 L kwa 65,000 Westpoint 2.2 L kwa 85,000 Napatikana kimara Dar Delivery ipo kwa Dar Mikoani natuma kwa uaminifu 0755173413 whatsapp no Karibuni sana Ntafurahi kuwahudumia
|
|
Redmi k30 128G ram 6 bei 900.000/= 0678163913 Tigo 0782101612 Airtel
|
|
TOYOTA BREVIS FOR SALE PRICE: 6.5 MILLION MWAKA: 2001 CC: 2490 FULL AC 0765090159 CALL WHATSAPP
|
|
TOYOTA NOAH NEW SHAPE PRICE: 7 MILLION TSH MWAKA: 2006 CC: 1990 FULL AC 0765090159 WHATSAPP/CALL
|
|
TOYOTA NOAH SR40 INAUZWA PRICE: 11 MILLION MWAKA: 1999 CC: 1990 FULL AC 2 OPEN ROOF 0765090159 CALL
|
|
Pata kioo kizuri cha ukutani na furniture za Aina mbali mbali Kwa bei Nafuu. Tupigie 0686785485/0716771053
|
|
unga wa Dona lishe kilo tano tsh 10,000/- huduma ya kuletewa ipo call 0788288588
|
|
unga wa lishe tsh 4,000/- tupo ubungo river side tunafanya delivery call 0788288589
|
|
SKINOFT Aloe vera ni sabuni ya asili isiyo na kemikali ni sabuni inayokupa mngaro bila kuathiri ngozi yako . Pia inasaidia kwa wenye ngozi za mafuta usoni inaondoa uchafu wote kwenye ngozi yako , Vilevile kwa wenye matatizo kama Chunusi,Vipele,Ukurutu,Mba,Muwasho,Fangasi,Weusi chini ya macho,Kwapani na Mapajani. Sabuni ya Skinoft anaogea mtu yoyote. *INAPATIKANA KWA BEI YA TSH 3,000/-* Call +255 788 288 589
|
|
|
|
tunatengeneza vitanda vizur kutupata WhatsApp 0673039863 mbez beach
|
|
|
karibu king_d_furniture pata furniture bora kwa uwa kika na za kisasa kabisa tuna jari mda na uwaminifu wahali ya juu karibuni saana king d furniture
|
|
PLEDGE ENHANCING POLISH CLEANER, hii ni dawa ya kupulizia inayo angamiza wadudu wote wanaotambaa na kuruka BEI YAKE NI: 10,400 TSH 0678678678 PIGA SIMU TUPO POSTA MTAA WA ZANAKI
|
|
PANTENE CLASSIC CLEAN CONDITIONER, Hii ni shampoo kwaajili ya kuoshea nywele zako inakuza, inanenepesha na Ina ngarisha pia BEI YAKE NI: 31,200 TSH TU 0678678678 PIGA SIMU TUNAPATIKANA POSTA MTAA WA ZANAKI
|
|
CHARM SPRAY STARCH, Hii ni pafyumu kwaajili ya wanaume itakufanya kuwa mtanashati na kunukia masaa 24hrs BEI NI: 9,100 TSH TU PIA ZINAPATIKANA KWA BEI YA JUMLA 0678678678 TUPO POSTA MTAA WA ZANAKI
|
|
VASELINE INTENSIVE LOTION, Hii ni lotion kwaajili ya ngozi yako IMETENGENEZWA NCHINI UINGEREZA BEI: 15,600 TSH PIA INAPATIKANA KWA BEI YA JUMLA 0678678678 PIGA SIMU TUPO POSTA MTAA WA ZANAKI
|
|
JIPATIE SUBWOOFER BUSTA YAKO YA GARI BAJAJI NA NYUMBANI PIA INA MZIKI MKUBWA WA KUTOSHA LAKINI WA KAWAIDA KIKI YAKE NI YA KAWAIDA NIPIGIE SASA 0685427233 INAUZWA 50000
|
|
Hiki kifaa kinakusaidia kuhamisha nyimbo kwenye simu yako kwa njia ya Flash. Badala ya kwendwa kwenye computer kuhamisha movie zako kutoka kwenye simu zikae kwenye flash sasa shughuli hii unaweza ukafanya mwenyewe bila usumbufu.. Bei ni 5,000 piece 1, 3,000 ikiwa unachukuwa piece 5. Karibun 0627770517
|
|
NGOSHA BIODIGESTER SOLUTION >Niwatalam wakujenga mifumo ya kisasa usiojaa kwa matumidhi yako yote (Biodigester) ambao ni mfumo badala wa mashimo ya kawainda ya choo (Septic tank and soakway) Mfumo huu wa kisasa unafaida zifatazo . 1) haujai kamwe kwa matumidhi yako yote 2)Hakivutwi wala hakiitaji kunyonywa 3)Hakina harufu 4)Kinatumia eneo ndogo sana katika kiwanja chako 5)Kina guarantee na vinatengenezwa na watalam 6) Vinafanya kazi vizur hata sehemu yenye chemichemi >Tunatengeneza kulingana na wing wa watumiaji mfano mashulen , makanisani , viwandani na kwenye makazi ya nyumba za kawainda >Bei zetu ninafu kabisa kwa wakazi wa dar ni Sh 2,000,000/= Kwa maongez zaidi piga simu namba +255788937233 Whatsapp namba +255689936779 Karibuni sana ndugu jamaa na marafiki tuwapatie huduma iliyo bora kabisa kwa matumidhi ya choo . >Tunapatikana Dar wilaya ya kigamboni mtaa wa mji mwema Karibuni sana nyumba nichoo.
|