All Businesses

Dar es Salaam • Business Profile

A&M solution

Est. 2016
2016
Established
0
Products
at survey near mlimani city mall
Operating Zone
About This Business

A&M solution inakusaidia kukufikishia huduma mbali mbali ulipo yaan nguo ,vyakula,pia huduma ya kusherehesha katika sherehe karibu kwa maelezo 0753235933


tunauza nguo zakiume na zakike ,raba na viatu vya maofisini kwa wanawake na wanaume pia tunayoa huduma ya vyakula dagaa,mchele,maharage ,na fresh juice kuanzia lt5 pia tuna huduma ya ma Mc (mshehereshaji)mc mamu huduma hii tunatoa katika vikao,sherehe za maofisini,birthday,sendoff,kitchenpart,harusi,pia makongamano 0753235933

Office Zone at survey near mlimani city mall
Address kinondoni kawe changanyiken mbuyuni dar es salaam
Listed Products 0 products

No Products Listed Yet

This business hasn't added anything to their catalog yet.

Tathmini za Wateja (Customer Reviews) 0 reviews
★ 0 / 5.0
Kutoka kwa wateja 0 waliotoa maoni

Kuwa wa kwanza kutoa tathmini kwa biashara hii!

Andika Tathmini Yako

Ili kutoa tathmini au maoni, tafadhali ingia kwenye akaunti yako kwanza.