All Businesses

Dar es Salaam • Business Profile

Coconut Furniture Mart

Est. 2016
2016
Established
0
Products
Tupo Kinondoni mkwajuni karibu kabisa na Mwongozo Primary Shool
Operating Zone
About This Business

Tunatengeneza furniture za mbao aina zote kwa gharama naafu zaidi njoo kwetu upate unachokipenda,


Tunatengeza furniture za aina zote kwakutumia mbao aina zote : Mkongo ,Mninga,Mnazi,podo, nk. Bidhaa kama Milango super ya mkongo/mninga pamoja na frame Zake ,makabati ya jikoni na yanguo,meza za chakula na za ofisin na meza za mikutano (conference table) vitanda ,makochi n.k huduma zetu ni bora sana karibuni sana tukuhudumie.

Office Zone Tupo Kinondoni mkwajuni karibu kabisa na Mwongozo Primary Shool
Address Kawawa Road Kinondoni Mkwajuni Dar es salaam
Listed Products 0 products

No Products Listed Yet

This business hasn't added anything to their catalog yet.

Tathmini za Wateja (Customer Reviews) 0 reviews
★ 0 / 5.0
Kutoka kwa wateja 0 waliotoa maoni

Kuwa wa kwanza kutoa tathmini kwa biashara hii!

Andika Tathmini Yako

Ili kutoa tathmini au maoni, tafadhali ingia kwenye akaunti yako kwanza.