Dar es Salaam • Business Profile
EcoAct Tanzania
Tunazalisha na kuuza mbao/nguzo za plastiki, haziozi, haziliwi na wadudu na zinadumu muda mrefu. Mbao/nguzo zitokanazo na taka za plastiki (100% recycled) zipo katika size tofauti. Zinafaa sana kutengeneza thamani, kuweka uzio, kujenga camp za watalii
Mbao/nguzo zitokanazo na taka za plastiki (100% recycled) zinauzwa katika size tofauti. Zinafaa sana kutengeneza thamani, kuweka uzio, kujenga camp za watalii n.k HAZILIWI NA WADUDU, HAZIOZI,   ZINADUMU MUDA MREFU SANA. Piga simu kwa maelezo zaidi.
No Products Listed Yet
This business hasn't added anything to their catalog yet.
Kuwa wa kwanza kutoa tathmini kwa biashara hii!
Andika Tathmini Yako
Ili kutoa tathmini au maoni, tafadhali ingia kwenye akaunti yako kwanza.