Dar es Salaam • Business Profile
Healthy lifestyle Neolife Tanzania
Tuna deal na bidhaa za: - Afya kwa wote watoto, wanawake, wanaume - Usafi (eco friendly products) - Kilimo
Tuna deal na products za afya zenye kuboresha mfumo mzima wa afya kwa watu wote na kuondokana na changamoto zote za magonjwa zinazotokana na mfumo wa sasa wa maisha
Kwa watoto tuna products zinazosaidia ku boost appetite ya mtoto kwa wale watoto wanaosumbua kula, hivyo kusaidia kubalance uzito wa mtoto kwa wale wanaosumbuka na underweight or overweight kwa watoto. Pia zinasaidia kuongeza immunity kwa mtoto hivyo kumkinga na magonjwa mbalimbali kama bacteria infections ambayo ni common sana kwa watoto
No Products Listed Yet
This business hasn't added anything to their catalog yet.
Kuwa wa kwanza kutoa tathmini kwa biashara hii!
Andika Tathmini Yako
Ili kutoa tathmini au maoni, tafadhali ingia kwenye akaunti yako kwanza.