All Businesses

Dar es Salaam • Business Profile

Oriflame Beauty Products

0
Products
About This Business

Jipatie vipodozi vilivyotengenezwa Sweden kwa kutumia vitu asili kama vile matunda mimea miti n.k Havichubui vinaipa ngozi yako ungavu.


1. Tuna bidhaa za ngozi 2. Tuna make up 3. Manukato 4. Bidhaa binafsi na za nywele. Pia kwa ngozi ya usoni iliyopata athari ya kemikali tuna bidhaa za kutoa hiyo sumu kwenye ngozi yako ya usoni na kukurudisha kwenye ngozi yako asilia. Karibu nikuhudumie

Address Dar es salaam
Listed Products 0 products

No Products Listed Yet

This business hasn't added anything to their catalog yet.

Tathmini za Wateja (Customer Reviews) 0 reviews
★ 0 / 5.0
Kutoka kwa wateja 0 waliotoa maoni

Kuwa wa kwanza kutoa tathmini kwa biashara hii!

Andika Tathmini Yako

Ili kutoa tathmini au maoni, tafadhali ingia kwenye akaunti yako kwanza.