Dar es Salaam • Business Profile
JAYS LISHE
Ni watengenezaji na wauzaji wa unga bora wa lishe kwa watoto, wajawazito, wamama wanaonyonyesha, wazee, wasio na hamu ya kula n.k, unga huu ni mchanganyiko wa mahindi lishe, viazi lishe, mchicha, karoti, mbegu za maboga, na ngano upo wa ladha mbili tofauti. ladha ya vanilla na ladha ya iriki. karibu
Ni watengenezaji na wauzaji wa unga bora wa lishe kwa watoto, wajawazito, wamama wanaonyonyesha, wazee, wasio na hamu ya kula n.k, unga huu ni mchanganyiko wa mahindi lishe, viazi lishe, mchicha, karoti, mbegu za maboga, na ngano upo wa ladha mbili tofauti. ladha ya vanilla na ladha ya iriki. karibu sana tupo mbezi beach, samaki
No Products Listed Yet
This business hasn't added anything to their catalog yet.
Kuwa wa kwanza kutoa tathmini kwa biashara hii!
Andika Tathmini Yako
Ili kutoa tathmini au maoni, tafadhali ingia kwenye akaunti yako kwanza.