All Businesses

Dar es Salaam • Business Profile

Paulo Matelephone

Est. 2019
2019
Established
0
Products
Mtaa wa uhuru
Operating Zone
About This Business

Tunauza simu za aina zote jumla na rejareja ,na Pia tunatengeneza simu pamoja na computer


Tunahusika na kuuza simu za aina zote ,kama Tecno ,samsungu ,itel ,Iphone Infinix ,Oppo ,Redm na pia tunao mabingwa wanajua kutengeneza simu kwa kiwangobcha hali ya juu ,mafundi wetu wanauwezo wakubadilisha Tachi Ic za Iphone na za simu nyinginezo zinazowashinda mafundi wengine karibuni sana

Office Zone Mtaa wa uhuru
Listed Products 0 products

No Products Listed Yet

This business hasn't added anything to their catalog yet.

Tathmini za Wateja (Customer Reviews) 0 reviews
★ 0 / 5.0
Kutoka kwa wateja 0 waliotoa maoni

Kuwa wa kwanza kutoa tathmini kwa biashara hii!

Andika Tathmini Yako

Ili kutoa tathmini au maoni, tafadhali ingia kwenye akaunti yako kwanza.