Dar es Salaam • Tanzania

Orodha ya Biashara

Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam

Filter Biashara

Please sign in to add your business profile to this directory.
All Businesses Page 23 of 70
business man

biashara yangu ni ya uhakika na hisio kua na kikwazo chochote na kuhakikisha usalama wakutosha katika biashara yeyote tutakayofanya

Est. 2021 shabanabed48@gmail.com
Beg za Mtumba

Mabegi

Est. 2021 Mwenge
Iphone dealler

Dealing with sealing iphone

Est. 2020 Online bussiness ilala
Mongo classic furniture

furniture

Est. 2021 ubungo external
salu motors

tunauza magari pia tunafanya exchange ya magari

Est. 2021 mlimani city
Zahra shop

Vyote vinapatikana na best quality na ubora wa juu

Est. 2020 Leo street
BIDHAA MBALIMBALI

nemajose110@gmail.com

Est. 2020 nemajose110@gmail.com
Three Ace Motors

Karibu three ace motors in mwanza tanzania Karibu ujipatie gari kwa bei nafuu kabisa Kwa mawasiliano zaidi piga no +255763 333 333 au Website yetu Three_ace_motors

Est. 2021 Mwanza makongoro load
Viatu vya kike, kiume na Watoto.

Tunauza Viatu vya aina zote (kike, kiume na Watoto) Bei nafuu kwa jumla na Rejareja.

Est. 2020 Mkoani kwa Bonanza
Pata_kuku_wa_kienyeji

lucatumbo@gmail.com

Est. 2017 lucatumbo@gmail.com
Sofa_kali_furniture

Tuna uza na kutengeneza sofa za aina zote vitanda meza na tv show kesi

Est. 2015 Tegeta
Fruitzone

Fruitzone is a healthy services provider We sale various of fruits????? We sale Vegetables ??? We sale home and kitchen spices ???? We also provide healthy Tips Knowledge and care .........?????Fruitzone Millions benefit

Est. 2019 FRESH FRUITS ZONE
Cake

Uuzaji wa kekii aina zote,,na recipe mbalimbali

Est. 2021 keko duce
Husna Mangi

carpet gloBIDHAA NYINGINE NI CAPERT GLO.KAZI ZA CAPERT GLO1. Inasafisha sofa2. Inasafisha caperts 3 . Inasafisha seat za gari4. Inasafisha matress coverMATUMIZI YAKE * Unachanganya maji lita 5 na vifuniko vya capert glo 4 ambavyo havijawa changanywa na maji Kisha unapikicha hadi litoke povu na Kisha unapaka sehemu unayotakiwa kuosha

Est. 2020 Tanzanite Park
JAMENAK GENERAL COMPANY LTD

Tunatoa huduma za Usafi wa aina zote,Tunatoa huduma za chakula katika taasisi,mahesabu ya TRA kwa mashirika, makampuni,na watu binafsi, pia tunakusaidia kusajili kampuni Brela, tunaandaa tenda na kuwasilisha kwa mifumo yote. Karibu sana tukuhudumie.

Est. 2021 Kimara Mwisho
JAMENAK GENERAL COMPANY LTD

Tunatoa huduma za Usafi wa aina zote,Tunatoa huduma za chakula katika taasisi,mahesabu ya TRA kwa mashirika, makampuni,na watu binafsi, pia tunakusaidia kusajili kampuni Brela, tunaandaa tenda na kuwasilisha kwa mifumo yote. Karibu sana tukuhudumie.

Est. 2019 Kimara Mwisho
Magodoro

Magodoro Aina na size zote #spring #orthpedic #foam

Est. 2016 Kibo,karibu na kabisa la gwajima
Kilimo Cha vitunguu na masoko

Mimi Ni mkulima ambaye nafundisha watu kulima vitunguu maji na kufanya biashara ya vitunguu

Est. 2017 Tanzania
T-INFLUENCER

T-INFLUENCER is a freelance marketplace for services on demand. We have several categories,

freelance marketplace
UJENZI IMARA

imarabati@gmail.com

Est. 2010 imarabati@gmail.com
Aza Book Shop

Pata vitabu mbali mbali vya mitihani kuanzia shule za msingi na sekondari na kwa shule za Academy vinapatikana.

Est. 2011 Mbagala Rangi tatu
Kitchen Slayers

Kitchen Slayers tunatoa huduma ya chakula tunapatikana Masaki barabara ya Haile Selassie pembeni ya George & Dragon ndani ya Grandbazaar kiosi ya kijani

Est. 2021 Masaki katikati ya new didiz na george & dragon
chid decoration desgner

chiddabest39@gmail.com

Est. 2019 chiddabest39@gmail.com
Events Transportation Services

E.T.S tunatoa full package ya huduma ya usafiri kwa ajili ya harusi,Send off nk.Pia tunatoa huduma ya usafiri wa Coaster kwa wale wanaotoka dar kwenda mikoan kwa ajili ya shughuli mbali mbali.

Est. 2021 SURVEY
Bright sport wear

Tunauza sandals raba viatu slippers aina zote

Est. 2009 Narungombe
BF SUMA PRODUCT

Tunatoa tiba kwa magonjwa mbalimbali, tunazo dawa mbalimbali zilizotengenezwa kiasili kutoka kampuni ya bf suma ya kimalekani

Est. 2013 Mabwawani
patricia_products_supply

kuuza handbags,nguo,vyombo na vipodozi

Est. 2019 kipunguni
jojo food catering &deliveries

Tunapokea oder za vyakula na bites kila siku jumatatu -jumamosi pia tunapokea tenda za kupeleka vyakula maofisini na sherehe mbali mbali kama harusi,kipaimara,kitchen party, babyshower na nyingine nyingi ......

Est. 2021 irenepamphil1@gmail.com
21SmartStore

Tunauza simu aina zote kwa bei nafuu kabisa

Est. 2021 mbande
FedEx Express Tanzania

FedEx Express Tanzania tunasafirisha mizigo ndani na nje ya nchi popote dunian. Tunafanya pickup na express door to door deliveries pia tunafanya customs clearance. Bei zetu ni nafuu na za uhakika. Karibuni sana.

Est. 2018 Mikocheni, Chato Street
agrochemical

KILIMO

Est. 2021 Kkoo
Happy Times Beauty Affairs

Tunasuka nywele mitindo yote, tuna fanya make Up pamoja na kutengeneza kucha. Tuna pamba maharusi na sherehe za aina zote. Tupo Makumbusho Kituo cha ma bus. 0754455955

Est. 2020 Makumbusho bus stand
mitumba bei chee

delize234@gmail.com

Est. 2021 delize234@gmail.com
mmarekani _ shop

stanleygodfrey44@gmail.com

Est. 2021 stanleygodfrey44@gmail.com
IZZOBOY2FASHION

NIWAUZAJI NGUO ZA KIKE JUMLA NA REJAREJA

Est. 2010 izzofashion
VITANDA VYA CHUMA

karibuni Sana kwa huduma za furnitures za chuma, Kama vile vitanda vya chuma, mageti, madirisha, milango, na bidhaa zote zinazohusiana na chuma. tuwasiliane, 0653 155056 nipo kinondoni manyanya jirani na kinondoni Muslim.

Est. 2017 robertmoshi93@gmail.com
Livian990

Cosmetics

Est. 2020 Kariakoo
Joe Fragrance collection

Wauzaji wa perfume za kupima aina zote kwa wanaume na wanawake

Est. 2021 Joe fragrance collection
Tyson Samson

biashara yangu Ni paving block and decoration, garden.

Est. 1994 Tegeta dar es salaam
Ree_classic_store

Tunafanya manunuzi ya bizaa mbalimbali ndani na nje ya nchi kutoka kwa wholesalers yani viwandani kwa garama na guy.

Est. 2019 Temeke