Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
MM MUSIC ACADEMY
MM MUSIC ACADEMY
Ni shule inayotoa mafunzo ya muziki kwa viwango vya kimataifa,vyeti hutolewa baada ya mwanafunzi kufaulu,Mafunzo hutolewa kwa kufuata mtaala kutoka LONDON uitwao ABRSM Tembelea =Iwww.abrsma.org
Tunafundisha
Piano <
Est: 2019,
Migombani
Africa1events
Kupiga picha na kuchukua short video kwenye location kwa aina yoyote ya tukio (for all types of events)
Est: 2017,
0752215932
Houseof_terries
♦️Tunauza acssesories zote za kiume na kike
♦️online based
♦️saa,wallet,mikanda, cadet etc
Est: 2017,
Mbezi inn
Khalid Fashion
Tunapatikana Kariakoo jengo congo tower nyuma ya msimbazi police tunauza online uaminifu kwa mteja ndiyo kipaumbele kwetu uaminifu ndiyo sababu ya sisi kuwepo kufanya biashara
1/ Tunauza nguo dizaini zote Za kike na kiume men/Women
2/ Delivers nchi zote
Est: 2018,
congo tower
sadyonline
Biashara yangu inajihusisha na vitu mbalimbali ambapo ni bidhaa za majumbani kama thamani,vyombo,neti za kisas na pia bidhaa za maofisini
Est: 2020,
Mchikichi/livingstone
Star nails salon
Tunatengeneza kucha
Kubandika kucha
Kupaka rangi za gel na za kawaida
Tunafanya scrub
Est: 2021,
Ubungo msewe kanisani
vaaupendeze na Afaah
nauza nguo viatu na mikoba ya kike ya duka na mtumba biashara yangu ni ya online
Est: 2021,
Tabata
ramani zamajengo
RAMANI ZAMAJENGO
STRUCTURAL DRAWINGS
MAKADILIO YA UJENZI
UJENZI NA USIMAMIZI
PIA TUNA TOA USHAURI
CALLS 0789334388
Est: 2016,
KINGONGO
EDEN SAMAKI
Tunauza samaki na dagaa watamu kutoka Mwanza. Tunauza SATO na SANGARA Fresh, waliokaangwa na waliokaushwa na kwa dagaa tunauza dagaa wa kukaushwa kwa jua na waliokaangwa kwa viungo kama tangawizi, vitunguu swaumu, pilipili manga, chumvi na limao.
Est: ,
GOSHEN SALASALA
AJIRA MPYA TANZANIA - NEWSLINETZ
Ajira Mpya Tanzania - NewslineTz: Latest Education updates, Tanzania Jobs, Ajira Portal Tanzania, Aplication ,University Admission, Private and Government Jobs, Ajira Mpya, Nafasi za Kazi, Utumishi Portal, Scholarships, Mikopo, HESLB Loan status, TCU
Est: 2018,
NEWSLINETZ
Platinum credit ltd-ARUSHA
Mikopo ya kwa dhamana ya kadi ya gari wasiliana nasi 0689558959
Est: 2005,
Summit centre Arusha
Emmaxity Real Estate
Tunajihusisha na Usimamizi wa Ujenzi, Usimamizi wa majengo na uthamini wa majengo
Est: 2017,
Sinza
Design decoration house
Design decoration house VenanceElia@gmail.com
Est: 2011,
VenanceElia@gmail.com
Tabrias_makeup
Unahahitaji kupata huduma ya bihaturi wako mtarajiwa kwa Makeup ilio bomba yenye muonekano mzuri tena kwa gharama na fuu kabisa
Wasiliana nasi kupitia sim no 0777871107
Tupo zanzibar
Est: 2018,
Zanzibar
Karshub car accessories
tunauza mapambo ya magari ,music system ,alarm system , tinted ,seat cover aina zote ,betry za magari na full decoration
Est: 2020,
kisiwani kwa steven
Vintage Intimates
Tunauza bra na chupi zenye quality nzuri sana, kwa nei nafuu zaidi
Est: 2021,
Kimara
Msoka decoration
Ni kampuni inayojihusisha na maswala ya upambaji kwenye sherehe mbali mbali events za aina yoyote pia ukihitaji kuna mcs na mziki
Est: 2011,
Kinondoni studio
Perving brock
(1)Tunatengeneza Perving brock.
(2)tunasawazisha eneo.
(3)tunajenga perving brock.
(4)tunakodisha machine yakushindilia.
(5)tunadizain garden.
Est: 2014,
kwa Msuguri
yolo scents
Our oil bassed brand perfume are all that you need, a few spritz and you are good to go the whole day or more.
Est: 2020,
mtaa wa arusha
HATIKUKU
Habari,karibuni sana wateja tunajiusisha na uuzaji wa kuku,vifaranga va chotara na hata broiler pia tuna jenga mabanda ya kisasa ambayo unaweza kufuga kuku wengi katika eneo dogo karibuni sana.
Est: 2019,
Kwa msangi
plumbing service
MIFUMO BORA YA MAJI SAFI PAMOJA NA MAJI TAKA KWENYE JENGO LAKO
Est: 2015,
ukonga markaz