Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
Vipodozi
Ninauza vipodozi vizur vya kungarisha ngozi nakukupa mwonekano wa kisasa
Est: 2017,
Kibamba ccm
usafi na afya bora
Biashara yangu ina husika na bidhaa za usafi pamoja na bidhaa za afya
Est: 2020,
kawe mji mpya
wcollection2020
Tunauza pochi na nguo za kisasa na zenye ubora wa kimataifa ?? kwa bei nafuu kabisa. Pia Tunafanya delivery Dar es salaam na mikoani call & WhatsApp 0764535319 or 0656452266
Est: 2019,
Online business
Fundi electric security fence
Maelezo
ELECTRIC FENCE
Hii ni fence ya umeme yenye kupiga shoti, pindi mtu yeyote atakapojaribu kukatiza fence kuingia au kutoka nje ya kampound kupitia either juu ya ukuta au mahali ilipofungwa fence, pia kingora kitalia na taa ya strobe kutoa taarifa
Est: 2016,
Boko kwa Mpemba
LOSE TO WIN
NAMNA BORA YA KUPUNGUZA UZITO KUANZIA KILO 10 HADI 16 NDANI YA SIKU 30.
Est: 2020,
edmarker24@gmail.com
SIENA SUPER SEMBE
Zifuatazo ndio huduma zetu:
1. Kusaga na Kukoboa nafaka zote
2. Kutengenza na Kupack Unga wa Semba na Dona.
3. Kuuza Pumba za mahindi kwa ajili ya chakula cha mifugo.
Est: 2020,
Kidole(Kwa Jongo).
Modern_storetz
#Modern_stortz Tunauza Hadbags OG Kila aina ya hadbag tunayo Susen,Prada,Chanel,Dior,Na kadhalika Midium zote tunazo Hadbag ni kwaliti zote Kutoka China Na uturuki
Est: 2015,
Msimbazi Bigbon
Nassor Abdallah
tunauza tyre used zenye ubora tunatoa dubai bei zetu ninafuu sana nawaranti tunatoa aina yoyote unayo hitaj zipo no 0659 150243 bei zetu 65000 kwa pcs 1
Est: 2020,
nassorabdallah085@gmail.com
Kidemi_arrays
Kidemi arrays ni wauzaji wa nguo za kike za mtumba grade A.Tunafanya delivery Tanzania nzima kwa uaminifu mkubwa...Biashara yetu ya nguo ni online business.Tunafungua mzigo mpya kila wiki.
Est: 2020,
KUKU WAMCHESHO NA WAKUCHOMA WAZIMA
tunauza kuku wa kuchoma toa ODA uletewe bei 6500 tu kuku wakubwa kuanzia 1kg na kuendelea
Est: 2019,
Mbagala Zakhem sokoni
Liam online shop
Wauzaji wa saa za kiume,kike na saa za watoto,pia wauzaji wa wallet za kike na kiume na tufanya engraving/uandishi wa maneno atakayo mteja kwenye saa au wallet
Est: 2020,
Makumbusho
Nashtyner classic
Nguo za kike na zakiume,viatu vya kike na vya kiume, pochi, mikoba.
Est: 2020,
Airport stand
#Smart_Home_Technology
#Smart_Camera_bulb = 80,000
.
#Rotatable_security_camera = 100,000
Est: 2019,
Mbezi beach
UPENDO RANGI
Tunafanya kazi za Ufundi wa Kupaka Rangi Majengo/Nyumba kwa Hali zote, kuanzia Hatua ya Kwanza mpaka ya mwisho.
Miundo na urembo ikitegemea uhitaji wa mwenye nyumba.
#Sisi ni familia (mme na mke).
Ndg, Rafiki na Jamaa, karibu tukuhudumie.
Est: 2003,
Mapinga Kiharaka
Uwakala
Kusajili line za sim vodacom,Tigo,Airtel
Kuludisha line zilizo potea au kuhalibika
Huduma ya special namba kwa vodacom na tigo n.k
Est: 2019,
K/koo
Cosmetic
Tunawasaidia wanawake wanaosumbuliwa na ngozi zao zinakua na chunusi, makovu, ngozi kuwasha nk.
Est: 2019,
Nunu Natural Skin Care
Ufundi wa Gardeni na perving brock
Kupiga perving brock na kupanga pia kupiga capstone na kujengea lakin pia kutengeneza garden na kupanda maua.
Est: 2014,
Ukonga banana/ Gongo la mboto
Burudani
Tunatoa huduma ya kuburudisha katika sherehe yeyote tunafanya live performance, dancing kwenye harusi, sendoff, birthday party, promotion, n.k.
Est: 2019,
talentedgeneration_01
Curry Bien restaurant
Mgahawa wa kuuza chakula Fresh kwa order tu, na Vinywaji mbali mbali Vya kilevi na soft Drinks. pia tunatoa huduma ya catering services kwa events kama sherehe za harusi, party aina zote na event planning services. karibuni kwa chakula cha aina zote. follow us Instagram @curry bien na Google pia.
Est: 2020,
Mbezi logde, chai Bora, corner Bar