Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
Chibu Pillowcase
Ni wauzaji wa mito ya sponge size na aina zote kwa bei ya jumla na rejareja
Est: 2017,
Karume machinga complx floor no 2
Furniture
Habarii ..jipatie bidhaa bora na imara kwa bei nafuu kabisa tunapatikana tabata barakuda na mteja unaletewa bidhaa popote ulipo ndani ya dar es salaam kwa mawasiliano zaidi piga 0782949410 au 0683716033
Est: 2020,
Barakuda
Nasfaa_mazda__fordsparepart
Niwauzaji wa vipuri vya magari aina ya Ford na Mazda aina zote bidhaa zetu ni mpya na used karibu tukuhudumie.
Est: 2015,
Mtaa wa Shaurimoyo Near EuroHotel
Byra Toilet Constructors
SULUHISHO LA SHIMO LA CHOO KUJAA MAJI TAKA. Byra toilet constructors tunahusika na uchimbaji na ujenzi wa shimo la choo cha kisasa lisilojaa maji taka wala kutema harufu.
Est: 2010,
Mbezi Beach Tankibovu
fundi Air condition friji 0718776977
tunatengeza Air condition friji aina zote pia tunafanya kwenye kila aina ya mjengo natunauza vifaa vya Air condition
Est: 2012,
MJ AIR CONDITION
MERCYONE ELECTRICS WORKS LTD
-wiring system (domestic & industry)
- A/C instillation & services
- security fance & CCTV camera instillation & services
- Generator instillation & services
- Electrical diagrams design Contractor
Est: 2016,
morroco terminal BRT
Meshack Classic Wear
Karibuni sana wateja wangu kwa mahitaji ya nguo aina zote ,viatu nk......call 0677293561
Est: 2019,
kariakoo
Man Cave Bondeni
Bar, Beer, Food, Lodge. Tunatoa huduma za vinywaji laini na vikali, chakula na huduma ya malazi, karibu upate huduma nzuri kutoka kwa wahudumu wetu wanaojali unachohitaji
Est: 2020,
Kibamba Chama (ccm)
Glorywakisaka
Ni wauzaji wa vyombo vya majumbani vizuri vya jumla na rejareja,bei zetu ni nzuri sana na huduma zetu ziko vizuri katika uaminifu wa hali ya juu,tunatimiza mahitaji kulingana na mteja anavyopendelea! Tunapatikana Kinondoni Biafra mkabala na Babu Ally
Est: 2020,
Biafra Kanisani
Stara_icon_Destination
Wauzaji wa mitandio na abbaya/hijjab
Tupo kariakoo
Tunafanya delivery popote pale
Whatsapp no 0765186567
Est: 2020,
Kariakoo
cheedrack scale
mizani za kisasa mashine zabuchani mizani ya mawe na digtal scale nk
Est: 2020,
kariakoo sokoni
Brand oil based perfumes
?Tuna uza perfumes bora kabisa ambzo ni original kutoka ufaransa na falme za kiarabu kama vile sauvage dior,invictus,Hugo Element,Lady million,sexy gravity n.k zenye ujazo wa kuanzia Mills100,mills50 na Mills30 ambazo hukaa kwenye nguo
Est: 2019,
Gongolamboto
New jay hot chilly
Tunatengeneza pilipil, mbilimbi picko, sabuni za usafi na unga wa lishe
Est: 2014,
Zakhiem
Emmy collectiontz
Emmy collectiontz. Tunauza nguo. Za kike. Abaya. Aina. Zote. Tunauza. Poch viatu. Raba. Za kike na za kiume top skin TUNAPATIKANA. Mwana nyamala. Komakoma. Duka lipo wazi kilasiku. ? 0762705086 .karibun.
Est: 2020,
Mwananyamala. Komakoma
Swahili Flavors Restaurant
Napika vitafunwa vya aina zote pamoja na chakula kwa oda kwa ajili ya majumbani na sherehe mbalimbali
Est: 2016,
Bunju kwa Jumbe
Innotech
Matengenezo na uuzaji wa bidhaa za apple (iphone, ipad, macbook) za aina zote
Est: 2019,
Victoria, makumbusho
Elite Senetor Suits
Making Women and Men Suits, Selling Men cadets, Tshirts, Shirts, Jeans
Est: 2018,
Behind Mlimani Tower