Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
Shinwa industry
Tunahusika na ku Design nguo za harusi na send of suit kiume na zakike pia tunapokea tenda
Est: 2018,
Ubungo Liv said
Automobile carwash
Door to door car care, tunamfata mteja popote halipo kumfanyia huduma zetu za Car wash kwa bei nzuri na salama
Est: 2020,
kunduchi mtongani
Agroservices
Tuna tengeneza mabwawa ya samaki ya kila size, kuuza fiah pond liner, vifaranga wa samaki, kuku kroiler na mayai, water solar pumps na kuchimbiwa visima kisasa
Est: 2016,
Pugu Kwa mustapha
Longrich bamboo soap
Ni sabuni nzuri kwa ajili ya kutunza ngozi iwe na muonekano mzuri.. inatibu miwasho, chunusi,mabaka, pumu ya ngozi, harufu mbaya ya mwili aliyeungua na cream inarudsha muonekano wenye kuvutia.ni sabuni iliyotengenezwa na mimea asilia
Est: 2019,
Mwananyamala shule
fundi umeme & ujasiliamali mdogo
Tunatengeneza wiring za majumbani zenye viwango bora kabisa, pia tunauza bidhaa ndogo ndogo kama sabuni ambazo ni bora kufulia unaweka ktk maji na kuweka nguo ikijifua yenyewe
Est: 2015,
keko machungwa
home appliances
Friji, deep freezer, majiko ya umeme na gas,Ac , rice cooker etc
Est: 2020,
mnazi mmoja
MAFUNDI BODy RANGI NA KUNYOOSHA GARl NA MAFUNDI UMEME diagnosis NA AC N.K.
Yule mtaamu wa Mercedes Benz/Bmw//vw//Range Rover//posh ukiwa unashida ya gari yako au spares za gari yeyote ya Europe nakazarika telephones number 0746667199:0717035247 tunapatika dar es salaam ilala na kurasini mivinjen
Est: 2015,
allymohamedmtoraallymohamedmto@gmail.com
Mariamu electronics zanzibar
Dealing with electronics items /wholesale and retail
Est: 2012,
chakechake pemba
prinsess mary
jipatie pochi kwa bei rahisi poch kwa bei rahisi joini group kujionea bidhaa nzururi nilizonazo
Est: 2018,
six pub
MasanjaArt
Get your portrait for a rock bottom price ,wood turning vases,bowls ,furniture hardwoods and Architectures. Tunachora Picha za aina zote pia tunatoa ushauri na shule kuhusu Sanaa.
Est: 2005,
Samora Avenue
KING OF VIJORA
VIJORA OG vya MOMBASA ,MISOMALI,BATIKI na VIATU.nauza jumla na reja reja kwa bei nafuu.
mikoani tunatuma✈️
Delivery ipo ?
Est: 2019,
Yombo dovya
Sabrapaperflowers
Sabrapaperflowers ni aina ya mapambo ya maua ambayo natengeneza kupitia karatas za manila.aina hii ya mapambo pia natengeneza kama mapambo ya kuninginiza ukutan yaan (wallhangingpaperflowers) ni nzuri sana na yanafaa sehemu zote majumban na maofisin...
Est: 2019,
Biashara yangu nafanyia nyumban (airport)
Dawa za miti shamba
Ni Dawa za Asili zenye uwezo wa kutibu maradhi ya kibinadamu
Est: 2010,
ofisi yangu ipo nyumban eneo(airport karakata)
MAGNETIC MUFINDI TIMBER
Wauzaji wa mbao toka Mufindi kwenda mikoa yote na nchi jirani
Est: 2019,
Mufindi Magnetic Timber
Maos_collection
Maos collection ni wauzaji wa Mavazi ya kike kwa ujumla na Mavazi ya kiume pamoja na handbags.
Est: 2018,
Tabata liwiti karibu na Tanesco
Noble real estate
kuuza viwanja na mashamba
kununua viwanja na mashamba vilivyopimwa.
Est: 2020,
Goba mnadani
mco lingerie store
uuzaji w nguo za ndani kwa wanawake...wanaume na watoto...brazia chupi boxer swimming custome soksi na kadharika kwa bei nafuu sana
Est: 2020,
segerea
Business Management
Ninahusika na uuzaji wa nyumba viwanja mashamba kwa wenye shida navo ??
Est: 2020,
Sehemu Mali mbali
Altraniq Group
We provide innovative repair services for cell phones, tablets, laptops, Installing Networks and CCTV Cameras at the Offices and Home.
Est: 2012,
Altraniq Group
Msusi amimu
Karibuni watejawangu wakusuka nasuka nitindoyote pia nauza lasta aina zote
Est: 2011,
Bky
Mashuka
Shuka aina mbali mbali.
Zenye pazia zake na zisizo na pazia.
Net,saa za ukutani,kabati za zipu na mapazia.
Est: 2018,
Kariakoo
OB - Ads & Media
Tunafanya matangazo ya biashara mtandaoni kwa bei nafuu sana
Est: 2020,
Mtaa Wa Arusha
BWAJODE CARS
TUNAAGIZA MAGARI TOKA JAPAN/UK/DUBAI
TUNAAGIZA RIM/WHEEL ZA MAGARI AINA MBALIMBALI
Est: 2019,
MAKUMBUSHO
. Technician
Ufundi wa photocopy, printer pia tuna supply toner aina zote
Est: 2015,
kiungani na congo
The smart group #sg
Tuna uza mawe aina ya Tangastones aina zote.. lakini pia tunahusika na ujenzi wa mawe ya tangastones na tiles.
Est: 2013,
goba
Nice Home accessories
Tunauza vifaa vya majumbani kwanzia mashuka, blankets,duvet, capets, wallpapers nzuri, fridge,mashine za kufulia Original Tv za kisasa kwa Bei ndogo mnooooo.pia Kuna group la watsup.
Est: 2018,
shule ya msingi
Dts logistics company limited
I wanted to introduce you to our DTS logistics company limited.
We sell high-quality spare parts with reasonable and competitive prices
We are working hard to earn your trusts and confidence by making sure that you are completely satisfied with the se
Est: 2019,
tra