Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
Baraka Online shopping
Tunauza urembo wandani kama pazia, carpet maua ,saa, mashuka, neti taulo tunapokea oda za guest House nk
Est: 2019,
Malamba mawili msikitini
Raja Collection
Wauzaji wa nguo za ndani za wanaume, wanawake na watoto, nguo za kulalia, Brazia, Nguo, Vitu vya urembo n.k
Est: 2020,
Kimara Baruti
MWISE SHOES DESIGN
Tunatengeneza na kuuza viatu vya kike na kiume
Est: 2020,
mwiseshoesdesign@gmail.com
Maria newhope & sweet product
Karibuni wote,tunaagiza mizigo mbalimbali kutoka china kuja Tanzania mikoa yote,tunatumia usafiri wa Meli na ndege kusafirisha mizigo kupitia kampuni za uhakika.utaratibu ni tunachangia order zote mbalimbali ikitimia order tunafanya manunuzi na kutuma bongo...usafiri wa meli unatumia siku 30-35 kufika TZ,usafiri wa ndege unatumia siku 10-14 wanacharge U$13 kwa Kg 1 kufika TZ,lakini kutokana na gharama za usafiri wa ndege na ukosefu wa ndege za mara kwa mara kwa sababu ya janga la korona wengi tunawashauri kutumia meli.ukiwa na order yako full tunakuagizia moja kwa moja bila kusubiri order zingine, tunapatikana kimara mwisho karibuni sana =O. bonyeza ikupeleke WhatsApp Bei sawa na bure kabisa sio sawa na kariakoo https://chat.whatsapp.com/GLQJd1MdzgD3700qEcfmWK
Est: 2020,
milly
Multipurpose items
phone accessories
Celltone lotion
Mashati na Masweta ya kiume
Perfumes
Viatu
Handbags
Lingeries
Est: 2020,
kimara mwisho
Lee lingerie and accessories
Chupi za kike aina zote
Necklace
Bracelets
Earlings
Mikanda(belts)
Etc
Est: 2020,
Gongo la mboto
Insects and pest with airfresh supply
Uuzajii wa bidhaa mbalimbali za kuwaua wadudu mbalimbali warukaoo pamoja na wanaotambaa najumbanii,maofisini,pamoja na madukani piaa tunauza na bidhaa za airfresh za chooni pamoja na mabafuni.
Est: 2019,
Mtaa wa kamata karikoo
UANDISHI WA RESEARCH, PROJECTS NA ASSIGNMENTS ZA CHUO
Karibu tukusaidie kuandika research, kukusanya data, kuchakata (analysis), kutafsiri na kuhariri(proofread) kazi yako. Pia tuna andika projects, CV, na assignments mbalimbali.
Est: 2016,
CHINA PLAZA
BUYUNI BEES
Asali
Nta
Chavua
Gundi ya nyuki
Sumu ya nyuki
Uchavushaji wa mazao
Ushuri na utaalamu kuhusu mradi wa nyuki.
Est: 2017,
Kibamba
palmvillage mikocheni
Palm village of dream waterfront located at the prime beachside of this area. In addition to an easy access to the stunning white sand beach, in Mikocheni you can easily find convenient shops, numerous restaurants and excellent also affrordable prices!
Est: 2015,
Palm village shopping mall
MAPOSH AUTO SPARE PARTS
Tunauza spea za magari yote madogo ya Japan na Ulaya
Est: 2019,
Machinga COMPLEX
JJ__WONDERS
Tunauza vitu vya aina zotee vinavohusu wanawake kama pochi, perfume,wallets,underwears, jewells na vingine vingi na kwa wanaume tuna perfume zote za kiume.
Est: 2020,
Mbezi mwisho
pochi,viatu mtumba grade one(A) kwa bei nafuu kabisa
Kwa handbags na viatu vizuri vya mtumba high quality (grade one(A))karibu sana wasiliana nami kwa namba 0718676962......au tembelea page yangu nyingine ya instagram kwa maelezo na picha zaidi @___alicia_trends
Est: 2020,
tungi
NEMU ELECTRONIC,SERVICES & GENERAL SUPPLIES
-Kuuza vifaa vya umeme aina zote
-Kuweka mfumo wa umeme majumbani na viwandani.
-Ukarabati wa mfumo wa umeme .
-Kutoa ushauri wa bure kuhusu mfumo wa umeme majumbani na viwandani.
Est: 2017,
Kisukuru
JBRY DESIGNERS
Graphics design: logo, posters, billboard, flyers, brochures, cards, calendar, books, notebooks, T-shirt printing etc
Est: 2017,
JBRY DESIGNERS
Kitchen Deals TZ
Wauzaji wa vyombo vya jikoni kwa bei nafuu sana. We sell all types of kitchenware at very affordable prices
Est: 2020,
Makumbusho
Hassan Maalim
Tunauza simu original na vifaa vya simu charger earphone headphone vyote original karibuni sana. uaminifu kwetu ndo nyumbani...
Est: 2014,
china plaza
Palace property limited
TUNAUZA NA KUKOPESHA MASHAMBA NA VIWANJA VILIVYOPIMWA
Est: 2020,
sirilashirima97@gmail.com
Plutnumz Furniture
Kutengeneza Nakuuza Furniture Mbali Mbali
Kama Makabati, Vitanda, TV stend Yani showcase, Masofa, Showrack, Kitchen cabinets N. k
Est: 2020,
Mwembeni
JAYDEN COLLECTION
PAZIA,SHUKA,NETI,MIKOBA,VITENGE,VIATU,ULEMBO WA NDANI
Est: 2017,
joycesamwel065@gmail.com
PNR WATER DRILLING COMPANY
water survey (kupima)
well drilling (kuchimba)
flashing (kusafisha)
pump installation(kufunga pump)
Est: 2007,
waterdrilling23@gmail.com
Madiba aluminium&glass
Tunatengeneza
?Madirisha ya aluminium
?Milango
?Partition
?Makabati
?Balcony
?Vioo vya saloon
Wasiliana nasi?0765110431
Est: 2000,
Tegeta kwandevu
UNGA WA MBEGU ZA MABOGA
Tunafanya delivery ndani ya mkoa wa Dar , kwa bei nafuu kabisa grm 500 , sh 4,000/= kwa pact moja unatoa order kuanzia teno ili uletewe ulipo..
Ni unga safi uliochekechwa vizuri, ni bora na haujachanganywa na kitu.
Est: 2020,
Free delivery
Chia seeds(mbegu za chia)
Wauzaji wa mbegu za chia safi zisizo na mchanga,tunauza mbegu za chia kwa bei nafuu 10,000 kwa 1kg
Est: 2020,
Mbezi msigani malamba mawili
URIO CAR CLINIC
Clinic ya magari, tunafanya service, repair na adjustment za magari.
Tunabei nzuri na ubora wetu ni wa hali ya juu.
Tupo kimara Bucha - kuelekea serikali ya mtaa.
Est: 2017,
Bucha karibu na Kamwala
Fahari champion
*XPRESS FIL*
*Wekeza na EXPRESS fil* *ni kimbilio letu watanzania* *tsh 5000* *kiingilio* *kinachokuwezesha* *kupata mafunzo ya ujasirimali na biashara yanayofanyika kwa mtandao na ana kwa ana usajili utafanyika kwa njia ya mtandao.*
????????
*Ma
Est: 2018,
Magomeni