Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar


You need to login to be able to create your business profile

VIRUTUBISHI
Bidhaa za afya
Est: 2019, SALASALA KONA YA MBOWE

BigoneBest
Convert your $1 into $500K Now! Bigonebest is the concept of matual profit gain. Your small amount become a part of a big fund which is managed by experts and generate profit for you. You can convert your small amount into a big amount.
Est: 2020, Worldwide

Jamix Kids Store
Tunauza nguo, viatu na vifaa vya watoto.
Est: 2018, Sinza Madukani

Dar_plumbers
Tunauza Nguo, Viatu na vifaa mbalimbali vya watoto.
Est: 2020, Dar_plumbers

Sure_bracelets
Tunatengeneza Bracelets za majina kwa rangi yeyote chaguzi yako
Est: 2020, Mr sure

JayTalas Aquaculture Services
Tunatoa elimu ya ufugaji wa samaki, tunasimamia miradi ya ufugaji wa samaki, tunauza na kusambaza vifaranga bora vya samaki, tunatengeneza na kusambaza chakula bora cha samaki na tunawatafutia wafugaji masoko ya samaki.
Est: 2017, Kunduchi, Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam

gy funiture
milango, kitchen cabinets, dining table, bedside,nk.
Est: 2006, godmalai19@gmail.com

CRAFTSHUB.TZ
Quality products GUARANTEED!! ONLINE based service where itll bring u all sorts of SUPPLIES for the CRAZY CRAFTERS being kids to adults. Yippee!!
Est: 2019, Based Online

Aiche Creations ltd
1. Tuna supply furniture za nyumbani na ofisini. 2.Tuna supply vifaaa vya maofisini 3. Tunapaka rangi na kukarabati nyumba na majengo ya ofisi. 4. Tunafanya kazi za printing Aina zote.
Est: 2019, Mivinjeni

Hand bags Mikoba
Tunauza hand bags za kina mama jumla na reja reja tupo kariakoo mtaa wa kongo na agrey..!!!!mawasiliano zaid 0659100 294/ 0621 2371 03 nyote mna karibishwa..!!!
Est: 2020, mtaa wa congo na agrey

dukalasimu
tunauza sim Mpyaaa za aina zote
Est: 2018, dukalasim@gmail.com

Viatu
Pata viatu na raba kali kwa bei poa! Nichek Whatsapp nipigie 0713196175 unaletewa popote ndani ya dar free delivery!
Est: 2007, NARUNGOMBE street

Suleyman
Viatu Vya Mtumba Kwa Bei Nafuu,.
Est: 2020, Suleyman

JOB HEADLIGHTS CLINIC
Job headlights clinic ni wataalamu wakusafisha taa za magari kwa technology mpya ya kisasa Tanzania inayo safisha na kuondoa UKUNGU na UNJANO na inafanya taa zako kua na mngao upya na kuziacha na kinga dhidi ya miale ya jua kwa WARRANT MWAKA MMOJA.
Est: 2018, Sinza kwa remi 20Mashori st. Kwa kibadeni

DISCOUNT MITUMBA CLASSIC
Tunauza mitumba first class High quality Grade A kuanzia nguo za watoto, kina dada hadi kina mama na mashuka mazuri ya mitumba.
Est: 2020, Karume- Mchikichini-Drimp

JAMAICANDREADLOCKSTZ
Hii ni salon mpya ya DREADS LOCKS Tanzania ipo BUGURUNI MALAPA na ARUSHA stendi ndogo tunatengeneza DREAD tuna suka kituko yote pia kuna huduma ya kucha, MASSAGE na kadhalika.
Est: 2018, JAMAICANDREADLOCKSTZ

The Monyos Biz
K&H Raw Honey
Est: 2019, Kinondoni

CCTV Camera Technicians
Ni mafundi mahili wa kufunga CCTV Camera majumbani, Pharmacy,Madukani, Viwandani, Godauni, Supermarkets, Hotelini na kadhalika, tunaunganisha kwenye simu pia popote ulipo unaona sehemu yako. Karibu Sana.
Est: 2018, Kariakoo/Livingston na Pemba street

mamdogo makeup salon
makeup artist na madarasa ya kujifunza UREMBO
Est: 2020, kimara mwisho

Greentop
Jipatie dustbin/ waste bins katika size mbalimbali (9L - 1100L) pamoja na mifuko ya kuhifadhia taka (garbage bags) kwa matumizi ya kuwekea taka za nyumbani, ofisini na kiwandani. Greentop ni trademark ya bidhaa za usafi ya kampuni Simplesan Limited.
Est: 2015, Makumbusho

style_byliva
wauzaji wa Vitenge Original kutoka CONGO na NIGERIA. Jumla na Rejareja
Est: 2019, livabahame@gmail.com

Techno Net Scientific LTD
Techno Net Scientific LTD are supplier and distributors of laboratory equipments, Instruments and stocklist of a wide range of chemicals, culture media and glasswares.
Est: 1987, technonetscientific180@gmail.com

Jb classc Design
tunatengeneza nguo za kisasa suts n.k
Est: 2020, msewe

Furniture_nzuri_tz
Tunatengeneza furniture za kisasa kabisa kwa gharama nafuu pia tunafanya repair furniture aina zote kwa Bei nafuu kabisa WhatsApp 0688047880.
Est: 2019, keko furniture

ORBIT PHOTO STUDIO
Karibu @orbit_studio_tz KIGAMBONI kwa mahitaji ya picha na video kwa ajili ya shughuli yeyote! @orbit_studio_tz
Est: 2018, KIGAMBONI FERRY

Vee_collections_tz
Nauza mashat ya kiume, tshirt za kiume pia nauza blazer za kike,
Est: 2018, Bunju b

Fundi simu
kutengeneza simu na kuuza vifaa vyake.
Est: 2013, MTONGANI

3 apartment for sale near mbezi luis bus stand
3 apartment for sale locatet at mbezi Luis near bus station. 200m from the road .price 45 million negotiable. Its fens gate apartment.for inquiry call or text 0620206714
Est: 2000, Kijitonyama

House broker
Selling, renting both houses and apartment
Est: 2000, Kijitonyama

Simu_nafuutz
Tunauza simu original Aina ya Samsung ,iPhone ,INFINIX,Tecno TUNAPATIKANA mtaa LIKOMA na AGREY kwa mawasiliano piga namba zifuatazo 0657415623
Est: 2018, Agrey

PAWNS_ALLUMINIUM_PROJECT
Tunahusika na utengenezaji wa madirisha na milango ya alluminium. Pia tunao wataalamu wa kutengeneza balcony za kisasa kabisa zile za kuchomelea na kufunga kutoka uturuki. Kwale wanaohitaji madirisha ya P. V. C iwe ni double glass au single glass.
Est: 2020, PAWNS_ALLUMINIUM_PROJECT

JM BROKER
Uuzaji wa Nyumba, masahamba, Yard na viwanja
Est: 2020, Mbagala

fundisimu_online
tunatengeneza simu za aina zote kwa gharama nafuu sana na kwa kuzingatia muda wako
Est: 2020, sinza

SUNLIGHT HD SOUND
Tunakodisha muziki kwe sherehe mbali mbali na vyombo vya live band tunarekodi nyimbo.video shuting pia tunauza spea za magari aina tofauti scania land love range Rover toyota.nisan vyote ivyo ni kutoka UK
Est: 2020, Kigamboni

sampaull_outfit
Viatu na nguo
Est: 2020, samwelmarcus1995@gmail.com

Viwanja Kisemvule
OBEY NEW VILLAGE inakuletea OFFER Kabambe ya viwanja vya makazi kwa bei nafuu, Wahi mapema,
Est: 2014, Kisemvule

Top Choice
Camera
Est: 2020, Malapa

online shoes selling
Najihusisha na kuuza viatu quality vya mtumba na bidhaa mbalimbali za kike na kiume kwa bei nafuu kabisa.
Est: 2020, tabata kisiwani

NGEMBA WELDING & FABRICATION
TUNATENGENEZA _Grill _Main Gate (mageti ya mirangoni) _Slide Gate (mageti ya kisasa) _Dressing Table _Henga za mabegi,nguo na viatu _N.k
Est: 2018, westigermtumbuka@gmail.com

GENEVIEVE COSMETICS
Karibuni sanaa Genevieve cosmetics .Kuna bidhaa zote kama CREME,MAFUTA MAZURI YA PURE CASTOR OIL,BODYSPLASH,PERFUMES ,BODYSPRAY,SABUNI,BODY LOTION .Na bidhaa nyingine
Est: 2016, GENEVIEVE COSMETICS