Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar


You need to login to be able to create your business profile

Tibalishe Aimglobal
Uelimishaji na usambazaji wa viritubisholishe
Est: 2018, Feza nursery(Darajani)

aifola_collection
Nguo za wanawake na Urembo
Est: 2020, Mwanamboka

UB FASHION
Tunahusika na uuzaji wa nguo za kiume pamoja na saa na urembo mbali mbali
Est: 2018, Narungombe

Eiman Food Point
Waandaajii na wauzaji wa bidhaa mbalimbali za vyakula. kama vile ONION HOT CHILLI.. pilipili pendwa ya kitunguu PUMPKIN SEEDS FLOUR... unga wa mbegu za maboga wenye mchanganyiko wa pilipili mtama MIXED NUTS FLOUR... unga wa mbegu. ambazo ni korosho, almond na pistachio EIMANS LISHE... unga wa uji wa watoto, wajawazito ,wamama wanaonyonyesha na watu woote. wenye mchanganyiko wa mtama mwekundu, viazi lishe, korosho na iriki ALMOND FLOUR. unga mzuri wa almond kwa ajili yako na mtoto wako. NUTS.. zotee kama almond ,pistachio korosho, mbegu za maboga, walnuts, brazilian nuts n.k
Est: 2020, Tabata Kimanga

Malaika Kitchen Empire
Ni wauzaji wa vyombo vya nyumbani, Mtumba na vipya imara kabisa.
Est: 2020, Kinondoni Muslim

evelyne stitches
mabingwa wa kushona nguo za kike
Est: 2020, hildajoel166@gmail.com

Sina products
Tunauza asali mbichi na korosho, tunapatika Chamazi,Dar es Salaam
Est: 2018, Mbande

BEN PAVEMENT ENTERPRISES LTD
DEALERS OF RIVERSAND, AGGREGATE,SOIL, STONES, PAVING LOCKS AND TILES
Est: 2000, ubungo

AMAIZING CARS
MAGARI MAPYA NA USED
Est: 2020, MBEZI BEACH

Savannah Beauty Spa
Salon ya kisasa. Tunatengeneza Nywele aina zote,kusuka na kutengeneza mawig, kucha (manicure pedicure) gel na kawaida, massage, makeup simple na bridal, waxing,facial. Kwa wanaume na wanawake.
Est: , Sinza Lion Hotel

Nguo za aina tofauti tofauti
Nauza nguo kwa jumla na rejareja ni nguo za aina tofauti tofauti ambazo ni za watoto wadogo kuanzia mwezi 1 mpaka miaka 3 na nguo za ndani kwa wasicaha a wavulana mfano chupi,boxer,brasier,singlend,taiti nk. biashara yangu nafanyia maeneo ya kariakoo.
Est: 2016, hakuna

International Business
Food Supplements such healthy coffee and Chocolate drinks special for gain weight & brain developments for kids
Est: 2016, Mikochen A,besides Fezza nursary Opposite KFC Restaurant

Nassor sheikh
Mazulia original na yaki sasa kutoka turkey ?? Kwa dar tunafanya delivery ?
Est: 2019, Kona ya madafu

NGOSHA BIODIGESTER SOLUTION
Ujenzi wa vyoo vya kisasa
Est: 2017, ungindon

Gnc Environment
Bidhaa zetu zina ubora wa hali ya juu
Est: 2020, Katoro

Abby Lishe
food processor
Est: 2018, kimanga stendi

DAR EAST FIRM INVESTMENT
Wauzaji Wa Mifugo, Ngombe, Mbuzi,Sungura, Kuku,Bata ...Wausambazaji Wa Mbegu Zote Asili,Wauzaji Wa Mchele, Unga Sembe Na Dona,Mafuta Ya Alizeti
Est: 2016, Mtoni Kijichi (Main Kisarawe)


Batibomba
Karibuni wateja wetu kujipatia bati lmara ambazo niimara hazipauki pia kuna ofa nyingi san ufikapo kiwandani epuka matali tupo mbozi rod maeneo yasoka ulipo popote nasi tupo
Est: 2018, Mbozi rod geti no 24

Amani welding and metal fabrication
Welding & metal fabrication |DESIGN|FRABRICATING|
Est: 2012, kwa Awadhi

Gl super rice
Muuzaji wa mchele,mafuta,maharage na unga wa sembe na dona
Est: 2020, Sinza makaburini

Yummy We Go
1.Mafuta ya nazi (virgin na kawaida) 2.Mchele safi kabisa grade A 3.Juice kwa order 4.Mayai (kienyeji na kizungu) 5.kuku (kienyeji na kizungu) 6.vegies kwa order karibuni sana aaa
Est: 2019, white-inn

Per.fumepalace
Wauzaje wa perfumes aina zote na body splash jumla na rejareja,delivery tunafanya na mikoani tutatumia
Est: 2019, Sinza lion

ALS welding machine
Tunatengeneza machine aina zote za kuchomea vyuma (1,2,na 3phase) ,step up na step down machine pamoja na kuuza mpyA zilizosukwa kwa ubora wa Hali ya juu.
Est: 1988, Ubungo maziwa

Side boy official quality
Niwauzaji wa nguo za kiume zenye ubora na zakisasa
Est: 2020, mtaa wa mchikichi na manyema jengo tailand complex undeglound

Triphonia Dental Clinic
Afya ya kinywa na meno
Est: 2019, Luhanga festini

vitenge by mkigi
Tunauza VITENGE ORIGINAL vya aina zote.... VITENGE kutoka CONGO | GHANA.... Price/Bei REJA REJA 25,000/= Bei ya jumla 22,000/= LOCATION MWENGE | KARIAKOO
Est: 2017, MWENGE SOKONI

dalali
uzaji wa nyumba mashamba uzaji magli kupangisha nyumba frem za biashala
Est: 2013, bongedalalimpya@gmail.com

my daily choice
bithaa za tiba lishe na urembo
Est: 2020, kibo complx

Chilolo Magari Sokoni Pata Gari la ndoto yako
Uuzaji wa Magari na Ununuzi wa Magari
Est: 2020, Mwanamboka

Mussa profesional painter
Karibu mussa profesional painter Susi niwataalam wa Rangi za nyumba tuna patikana Dar es salaam magomeni ila tuna weza kufanya Kazi mkoa wowote hapa Tanzania Shughuli zetu ni kama :- House painting sikiming to finishing House decoration , Kufunga body
Est: 2012, Magomeni

hellena product
utengenezaji wa pilipili
Est: 2020, mbezi

CENTRAL LONDON
ALUMINIUM & PVC GLASS WORK Watengenezaji wa milango na madirisha ya aluminium. WELDING FIRE WORK Milango, madirisha, mageti, vitanda, balccony za magrill. BALUSTERS GLASS WORK Balcony aluminium za kituruki/china CURTAIN WALL GLASS WORK
Est: 2015, Goba Matosa Uzunguni

allie_clothingtz
Tunashona nguo aina zote... wedding dress, sendoff, kitcheparty pamoja na suit za kike na kiume,
Est: 2017, Sinza madukani

Fundi majiko ya gesi
Kutengeneza na kutoa ushauri juu ya matumizi sahihi ya gesi na uhifadhi wake
Est: 2019, mteja namfuata alipo

Afya na urembo
Tunauza product za afya na urembo kwa wale wanaohitaji kupunguza uzito bila stress na diet hapa ndo mahali pake, product zetu zimepitishwa na TFDA hivo ziko salama kwa matumizi,kwa wenye presha,sukari,kukosa usingizi tuko hapa kukusaidia. Pia heshima ya n
Est: 2019, Mydailychoice

maratu hair dressing salon
vifaa vyote vya kusukia na kupambia maharusi
Est: 2009, kongowe kanisa katoliki

MOVIES
MOVIES&sSERIES
Est: 2020, kivule

pazia bei nafuu
jipatie mazia .bomba .kamba za pazia .foronya za mito
Est: 2019, mtaa wa mchikichi na swahili

AQUA MANIAC
Exporter of live aquarium fish and seafood
Est: 2013, Mbezi