Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
Kariakooo kwa faza
njooo kariakoo ujipatie viatu vya kike bei poa kwa jumla tuu
Est: 2020,
tupo DDC _35
KOKI
Nauza KOKI kwa bei ya jumla Tsh 2700
Mzgo upo wa kutosha...mikoani natuma
Est: 2010,
Mnaz mmoja
Northern Breeze Hotel
Northern Breeze Hotel inayopatikana Tabata Madukani tunatoa huduma za vyakula vinywaji na malazi... vyumba vyetu vinaanzia 40,50 & 60 ni bed and breakfast pia ni free Wi-Fi
Usalama ni mkubwa na pia tuna CCTV camera, huduma za kuoshewa magari (car wash) na parking zinapatikana nk....
Est: 2013,
Tabata Bima kituo Cha Dukani
Efraine fumigation
We are doing fumigation and pest control with affordable price. Visit us on instagram as efraine fumigation for more photo and video.
Est: 2016,
Mwenge road
SIMU
Tunauza simu na vifaa vya simu kwa bei nafuu jumla na rejareja....mikoani tunatuma pia
Karibuni sana bei zetu ni nafuu mno
Pia simu na vifaa vyetu ni original
Est: 2010,
Jengo la Infinix
ARAMARK ENTERPRISES
Fundi Wa Photocopy & printer na wauzaji wa machine za photocopy machine na printer pamoja na Spear parts zake
Est: 2020,
kijitonyama mabatini
Faharikisima_waterwelldrilling
Tunachimba visima vya maji safi na salama kwa matumizi ya nyumbani shambani nk
water for life drill now
Est: 2016,
faharikisima_waterwelldrilling
Classyperfumes2020
Wauzaji wa perfumes ndogo na kubwa kuanzia ujazo wa miligramu 25. Kuanzia 15,000 na spray kwa bei nafuu zaidi. Kwa Dsm na nchi nzima tunatuma mizigo.
Est: 2020,
Mbezi beach
Furniture mbezi beach
Jipatie milango imara mbao mninga mkongo , kitchen cabinets, dinning table,tv showcase, coffee table.nk.tupo mbezi beach kwa komba mkabala na radi service.0652467412/0788954057..
Est: 2004,
Kwa komba.
G.L mangamila
Sabuni,shampoo,mafuta,jiki,hand wash,sanitizer,dish wash,martpapas
Est: 2020,
segerea bonyokwa
KingFighter Electronics
vifaa vya umeme. charger za simu. water meter .Bulb.extansion socket etc.
Est: 2019,
alliyothman07@gmail.com
Lucy_Organic_Juice
Lucy Organic Juice tunatengeneza Juice fresh za matunda asili kabisa kutoka shambani pasipo kuchanganya chemical ya aina yoyote kila kitu ni fresh kwani Juice zetu tunatengeneza kwa asali badala ya sukari. na pia swooths na milkshakes zinapatikana kwetu
Est: 2020,
Mwenge mpakani
Allmac Tanzania Ltd
Ni wauzaji wa bidhaa mbalambali za kutengenezea gypsum cornice
Est: 2020,
Kariakoo
Aryan-apple-phone
Nauza iphone na sumsung used pamoja na mpya pia kwa bei raisi kabisa
Est: 2019,
Makumbusho
G-HAULE super Agent
uuzaji wa magari, pikipiki, Tv, Bajaj, fridges,viwanja,nyumba,e.t.c
Est: 2020,
Mbezi mwisho
Kitimoto
Tunatengeneza kitimoto saf yenyeutamu waaina yake kwaubor waahali ya juu,,Pia utapata Rost kavu nzur,,Makange n bila kusahau Rost mchicha...Karbun san
Est: 2019,
Tegeta Nyeshoz
Fresh yogurt
ASSALAM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATUH,,,,,*
Natumai ni mzima wa afya
Natangaza biashara yangu ya *YOGURT*
*HAMIS YOGURT* ni product nzuri sana kwa binaadamu
*YOGURT* ni product inayotokana na maziwa halisi ya ngombe.
*FAIDA ZA YOGURT
Est: 2020,
Kwa mwinyi hamis
MUSIC EQUIPMENTS POINT
vifaa vya muziki Aina mbalimbali ie. gitaa,keyboards etc
Est: 2020,
MOMENT PARK
fredy decoration
Tunapamba kumbi za harusi,tuna tengeneza cake,tunakodisha mziki,,video shooting na still pictur
Est: 2010,
kwalulenge na captown mnarani
Mr laptop tz
Huduma za computer :-
Mauzo ya Laptop
Mauzo ya Desktop
Mauzo ya vifaa vya Laptop
Mauzo ya vifaa vya Desktop
Matengenezo ya Laptop
Matengenezo ya Desktop
kuweka software mbalimbali
Est: 2018,
ubungo njiapanda ya chuo kikuu
Magufuli Scholars Forum (MSF)
Tshirts zinazotengenezwa na MSF Kwa Nia ya Kutangaza jukwaa letu linalomuunga mkono Mh Rais.
Est: 2019,
CBE
Ramani na ujenzi wa nyumba
Uchoraji nyumba
Vibali vya ujenzi
Ushauri
Ujenzi
Designing ya ndani
Finishing
Mafundi na watalamu wapo
Est: 2020,
bunju
chupi_nzuri_center
Tunauza aina zote za chupi za kike/kiume/watoto brazia night dreva tait nk bei ya jumla na reja reja usafiri kwa watu wa dar ni bure mikoa pia tuna tuma mzigo
Est: 2018,
Msimbazi
Chupicotton_store
Tunauza Boxer, Body shaper, Pants Za Aina Zote Less, seamless, thongs, And Cotton, and lastic underwear..Kwa Bei ya jumla na Reja Reja , Mikoani Tunatuma Pia For more info Call us or Text Whatsap 0685 639009
Est: 2018,
Chupicotton_Store Tupo MAKUMBUSHO BUS STAND
@fantasy_beauty_parlour
Tunafanya makeup ,,tunafundisha wanafunzi wanao itaji kujifunza kufanya makeup,,, tunauza vifaa vya makeup,, tunauza mafuta ya LONGRI BODY CREAM ,,LONGRI SERUM NA LONGRI SABUNI
Est: 2020,
mabibo mwisho