Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
Shariff mafinga building materials
mbao aina zote, mirunda aina zote. mabati aina zote, gypsum body, mchanga, kokoto .kwa Bei nzuri,. tunajali nakuthamin wateja wetu....
Est: 2015,
sharifuissa05@gmail.com
lea purity empire
Mafuta ya nywele(castor oil)
Bidhaa za usafi
Bidhaa za kilimo
Est: 2020,
mbagala, mgeni nani
Queenvitenge
Queenvitenge tunauza vitenge 100% cotton havichuji wala kupauka. Tunauza jumla 25,000 kuanzia vitenge 5 na rejareja 30,000. Mawasiliano 0714898481
Est: 2017,
B Complex makumbusho stendi
gy funiture mbezi beach
Milango, kitchen cabinets, dining table mbao mkongo na mninga
Est: 2009,
kwa komba
Anitha Best cakes & bites
Karibu ujipatie cakes za Aina mbalimbal na bites
????????????
Est: 2015,
Mbezi mwisho
OASIS FINANCIAL SERVICES LTD
Tunatoa mikopo kwa dhamana ya gari pia tunauza magari Aina zote na kufanya clearing and forwading.
Est: 2018,
kisutu
Eminza Food Products
Wazalishaji na wasambazaji wa bidhaa bora ya BINGO TROPICAL ICE CANDY katika ladha tofauti.
Est: 2019,
Mbezi Luis
KARAMELA PRODUCTS
Kimbilio general traders LTD ni kampuni inayotengeneza bidhaa tofauti ambazo ni karamela peanut butter,karamela Tea masala, Karamela Pilau Masala pamoja na karamela remover JIK karibuni Bei zetu ziko POA
Est: 2019,
Tegeta
Bin Issa Food Products
Bin Issa Food Products.. wauzaji wa jumla na reja reja kwa mahitaji ya Unga safi wa sembe, Dona, mahindi ya makande .. wasiliana nasi kwa simu no. 0714 333784
Est: 2018,
sheli
QONA PRODUCTS
sabuni za maji aina zote,shower jelly,multipurpose,disinifectant,hand wash,bleach au dawa ya madoa kwa nguo nyeupe,tiles cleaner maalum kwa masink,jakuzi n tiles ziizoubaa.
Mafuta mwali ya nazi kwa matumizi ya kupikia,kupaka mwilini na kichwani,kunywa nk.
Est: 2020,
Barakuda
RoLi & Gurus Consultants
Business Development Services - Business Plan, Proposal and Financial Analysis.
Est: 2019,
Uhuru Heights
Nasujaki collection
Online store: Tunauza Handbags,Viatu,Wallets,Frames za miwani,saa,sandals,heleni,cheni,Frames za picha
Est: 2019,
nasujaki712@gmail.com
Viwanja
viwanja vinapatikana makazi mapya Kiluvya madukani umeme maji yapo kuanzia million 1.7 nk
Est: 2020,
Kiluvya madukani
kilosa real estate agent
uzaji wa viwanja, nyumba,mashamba,kupangisha nyumba.godown,na yard
Est: 2020,
kibada
nuru mitumba grade 1
Nguo za mitumba za watoto wadada wamama na mashati ya kina kaka pamoja na mashuka mazuri na mapazia vyote vya mtumba grade one
Est: 2017,
tegeta
Garnite Company Limited
WE DEAL WITH:
IMPORT AND SALE OF CARS ? | ACCESSORIES| SPECIAL VEHICLES| EQUIPMENT& MACHINES|TECHNO.SOLUTIONS
PHONE | 0712908015 | 0738921539
Est: 2018,
Mwenge Tower opposite Mlimani City Mall
Zuu fashion
Niuzaji wa madera ya aina yote. Tunauza manukato ya kinadada na wababa. Nanguo za watoto za mtumba grade1 zipo kwa bei nzur kabisaa karibuni sana
Est: 2019,
Kiluvya kwa komba
Emhy entertainment
ushereheshaji (Mc)
upambaji wa kumbi za sherehe
music
Kukuandalia sherehe yako nzima
Est: 2020,
emdoubletv@gmail.com
BlackCultureFurnitures
Tunatengea na Kuuza viti vya Culture, Pia tunafanya repairs #Decorote your home with Us
Est: 1996,
blackculturefurniture@gmail.com
MM Products
Jipatie Unga wa Dona
Unga wa Lishe
Unga Wa Muhogo
Unga wa Mtama
Unga wa Mchele
Sabuni za Usafi
Sabuni Asili ya Uso
Bidhaa zetu ni Fresh wakati wote
Tunazingatia Usafi kwa usalama wa afya ya mlaji
Tunafanya delivery popote kwa bei nafuu sana
Simu: 0788288589
Est: 2019,
River Side
Gf food supply
Tunauza samaki fresh jumla n rejareja tunapatika mission kona y kuelekea kijichi
Karibun pia tunapokea order n tunafanya derivery....
Est: 2020,
Kijichi
Magari maua
ninauza magari namaanisha dalali kwa magari mazuri used na cheeses karibu
Est: 2016,
mlimani
ellie_accessories
Tunauza viatu, handbags na hereni.
Jumla na rejareja
Delivery ipo unaletewa popote ulipo kwa uaminifu.
Est: ,
Sinza A
Plugstore._
Plugstore._ tunafanya biashara ya mtandaoni (online) Tunauza Nguo Za kiume za aina mbalimbali na viatu mbalimbali Bei zetu ni Nafuu Pia tunakuletea mzigo wako popote ulipo (delivery) kwa bei nafuu kabisa Karibuni Sana Kwa huduma za Uwaminifu .
Est: 2020,
Online shop
haggy_outfiz_store
nauza nguo online kupitia Instagram .WhatsApp ( Instagram account name (, haggy_outfitz_store )WhatsApp no 0783143489 follow me Instagram or cheak me WhatsApp
Est: 2020,
online business