Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar


You need to login to be able to create your business profile

welding fabrication
tuna tengeneza madilisha milango fremu gate fance gate slide gate vitanda na ferniture mbali mbali za chuma
Est: 2010, kiwangwa bagamoyo

Humbo
dawa zetu ni za uhakika na azina chemical na azitulizi bali zinatbu kabisa ...wote waliotumia wamepona kabisa
Est: 2017, mburahati

Coty Butchery Shop
Coty Butchery Shop, NI Bucha la Kisasa lililopo Mbezi Beach kwa Zena oppositena Amsterdam Bar. Pata bidhaa kwa bei ya Jumla na Reja Reja kama . Nyama (kuku, Mbuzi, Ngombe, Kondoo, Bata) .Samaki .Nafaka zote Nunua Dukani au kupitia Tovuti upate delivery
Est: 2014, Mbezi Beach kwa Zena

Cashew nuts
Nauza korosho grad one kabisa karibu ujipatie ninazo mbichi,rost na zakuoka ukitoa order usiwaze utaupataje nafanya pia delivery kwa bei ndogo kabisa
Est: 2020, Mbezi kibanda chamkaa

Biza bora tunauza jumla na reja reja
Bizaa bora Hand sanitizer zipo jumla na reja reja Mask zipo Jumla na reja rejaa na vitenge Aina ya Javaa vipo Jumla na reja reja Kwa maeleze zahid piga simu namba 0694046038 karibun nyotee
Est: 2019, kkoo

annex cosmetics
Kuuza vipondoz vya asili kama vile lotion,sabun, sanitizer
Est: 2020, morocco

CHAPUCHAPU DAR
NYUMBA, VIWANJA, MASHAMBA NA MAGARI
Est: 2000, CHANIKA

F R SIGN
DESIGNER,PRINTING TSHIT,BUNER,STIKA, CAR BRANDING. 3D SIGN PYLON SIGN,INGREVING AND CUTING .
Est: 2013, azizi ally round about

Hans__barber
KUNYOA NA KUPENDEZA,NANYOA NYWELE ZA ASILI KWA STYLE ZA AINA ZOTE IKIWEMO KUWEKA RANGI MBALIMBALI ZA NYWELE,WAV,CURL,RUFF DREAD BILA KUSAHAU FACIAL MBALI MBALI KAMA SCRUB,STIMA(MVUKE) SCRUB YA ASILI(ASALI,TANGO,LIMAO) NA REPAIR DREADLOCKS.
Est: 2003, Kimara Mwisho Karibu na Jengo la TRA.

USAFI
PRODUCT ZA USAFI
Est: 2020, MWENGE TOWER

Mr Wax_kitenge_Mikoba
Delears in women & men fashion shopping services vitenge original mikoba na viatu vya kike Ushonaji Karibuni wote kwa Kbm centre the home of fashion
Est: 2019, Mr#wax @kitenge

MACHUPI DELIVERY
CHUPI ZA KIKE ZA AINA ZOTE, UREMBO WA KIKE WA AINA ZOTE(HERENI, CHENI. N.K),JEANS ZA KIKE ZA MTUMBA ORIGINAL ..ZA AINA ZOTE . PIA TUNATOBOA PUA ,SIKIO, MDOMO,ULIMI N.K, KARIBUNI SANA...
Est: 2020, MWENGE STAND

Giftnice
Karibu ujipatie Bidhaa mbalimbali za kutumia majumbani kwa urahisi na uhakika kwa Bei nafuu. Kama vile Double sided Grill Pan, Multcooker, Blender Juicer 4in1 n.k
Est: 2019, Kariakoo

Queen_Rahma37
Watengenezaji wa keki na COOKIES pia tunapika vitafunwa aina zote kama vile maandaz,chapati,donuts,bagia,sambusa. Tunapika bites kwa ajili ya kula nyumbani,kwenye mikutano,birthday, vikao,harusi na tafrija yoyote ile. Get delicious and the BEST==
Est: 2015, KIMARA KOROGWE

Furniture
Karbuni sana bidhaa zetu nibora sana popote ulipo tunakufikia kwa haraka zaid bei zetu ni rafiki mnoo
Est: 2012, Suleymani

iphone_used_bongo
Tununua Simu Tununua Simu Pia Tunafanya Top Up Exhange Ya Simu Yoyote Ile Unayoitaji.. Karibu Tukuhudumue..
Est: 2020, Iphone_used_bongo

Tonies Cakes/Tonies baby shop
Tunajihusisha una uokaji wa keki aina mbalimbali kwa sherehe Aina zote Pia tunauza nguo za watoto wadodo umri kuanzia siku moja hadi miaka mitano (5)/
Est: 2018, Tonies Cakes

ususi
Kusuka nywele aina zote
Est: 2016, mwenge

Dstv
Uuzaji na utengenezaji wa madish ya dstv ndani ya mkoa wa Dar es salaam na pwani.
Est: 2013, Tabata bima - Nyantare bar

sitty_keki
keki, vitafunwa, chakula
Est: 2019, PUGU KAJIUNGENI

MTUMBA ONLINE SHOP
Nguo za mtumba grade A, T shirt, shat, track, jeans, Raba n. K
Est: 2020, nipo nyumbani

NJOMBE ELECTRONIC & SOLAR
Electronics
Est: 2020, K.koo

Love city fashion
Love city fashion ni wauzaji wa vitenge original kutoka congo na kigoma Bei zetu 22000 kwa bei ya jumla kuanzia pc 10 na rejareja 25000
Est: 2019, Mtaa wa mchikichi na nyamwezi karibu na wanyama hotel

Scovie fashion
Nauza vitu mixer
Est: 2014, Wazani street

fenicha
WATENGENEZAJI NA WAUZAJI WA SAMANI MBALI MBALI KAMA VILE SOFA SET VITANDA DIZAIN ZOTE MAKABATI DRESSING TABLE COFFEE TABLE DINNING TABLE TV STAND STEND ZA VIATU NK.
Est: 2020, Keko fenicha

JEFF_09_PHOTOGRAPHY
Tunatoa huduma za picha na video kwenye sherehe mbalimbali
Est: 2016, MLIMANI City

BRIGHT INSURANCE AGENCY
Biashara yangu inajishughulisha na uuzaji wa bima za magari kama vile comprehensive insurance na third party insurance ,bima za pikipiki,bajaji na bima za nyumba na bima ya ujenzi na uhandisi na bima za vyombo vya baharini na bima ya safari (travel insurance),huduma zetu za bima ni masaa 24 ,wasiliana nasi kupitia namba hii 0753157525
Est: 2006, njiapanda ya kwenda mbezi msakuzi

MasanjaArt
MasanjaArt ni watengenezaji wa michoro ya aina yote kama vile picha ya sura,michoro ya tattoos,house decorations,furnitures za mbao ngumu aina zote na vitu vyote vinavyohusiana na mbao. Tunatoa ushauri kuhusu nini ufanye kwenye biashara yako. Karibu sana??
Est: 2007, Samora Avenue

Archistudiotz
Uchoraji nyumba, Interior design, & Digital marketing
Est: 2018, Mikocheni B

paschal power point
Virutubisho
Est: 2020, Bagamoyo road

Gold tanzanite
Gold nauza mawe ya thamani kwa bei ya maelewano
Est: 2015, Adinasy

Phone and Accessories
IPhone And Samsung I sell Brand New Phone Full Box With One Year Warranty Simu Zetu Ni Mpya Kabisa Kutoka UK California We Do Make Free Delivery City Centre In Dar Es Salaam Mikoani Tunatuma Pia
Est: 2019, Kinondoni Studio

Afya_yakotz
Tunawasaidia watu mbalimbali kuweza kuponya changamoto mbalimbali kama vile nguvu za kiume, kupunguza uzito na unene, kisukari, presha, vidonda vya tumbo n.k kwa kutumia virutubisho vya asili kutoka forever living products na pia tunatoa ushauri bure kabi
Est: 1978, Makumbusho BARRICK TANHOUSE 2nd floor

PRECIOUS HEALTH CARE
TIBA MBADALA MAGONYWA MBALI MBALI YA UZAZI KWA WANAWAKE NA WANAUME, MAGONYWA YA WATOTO,MAGONYWA SUGU, KUONGEZA KINGA MWILINI,KUPUNGUZA UMENENE,KUTOA MICHIRIZI MWILINI
Est: 2020, shunga shunga

Upvc Baluster Aluminium
Fundi mzuri full dizaini mbalimambali bila malumbano mteja kwetu nimfalme
Est: 2016, Mikocheni

FEMICARE
FEMI CARE: Uhusisha Seli kwa madini kutoka maliasili pamoja na OKO-HITECH baharini kwa kutumia mbinu za uchimbaji wa kiikolojia , madini machache yanayopatikana kutoka Ziwa kubwa la Chumvi USA, na mafuta ya asili ya muhimu ni kutoka kwenye mimea pia ina vitamini nyingi, amino acid, and vegatable antioxidative element. Wataalamu wamethibitisha kuwa FemiCare ni Dawa nzuri na salama imeisha tumika tayari kwa miaka mia moja. INAHUSIKA: 1. Inasaidia Uke kupambana na maambukizi. 2. Inaondoa majimaji machafu, harufu na miwasho 3. Inakinga vijidudu vinavyo sababisha upele kwenye nywere hasa sehemu za siri, vidudu kwenye mirija kama utumbo, Vidudu vinavyo sambulia njia ya mkojo, Vidudu vya Fangasi na Vijidudu vingine hatari kwa sehemu za siri 4. Huweka uke safi na kuukinga na maambukizi 5. Husaidia kuhuisha Seli. Kwa kutibu na kukinga bacteria tumia mfurulizo siku 7. VIAMBATA: Feminine shafishio, ina aina tatu za viambata vikuu: Rejuvenating mineral elements kutoka kwenye vianzo vya asili
Est: 2010, kwakrypton

NYUMBA (Boma)
KUUZA NYUMBA , VIWANJA , NA FANICHA(FURNITURE)
Est: 2018, SAKU ILULU

PB ELECTRONICS
PB ELECTRONICS
Est: 2015, MWEMBECHAI

Mikopo
Tunahusika na utoaji wa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali.Mkopo unaanzia 500,000 Mpaka milioni 40,kwa Riba ya asilimia 11tu.Muda wa marejesho ni kuanzia miezi 6 mpaka miezi 96...karibuni wote...mkopo unahusika na watu wafuatao 1.walimu 2.Madaktari 3.Manesi 4.wanasheria wa serikalin. 5.watendaji wa vijiji na kata 6.wahandisi wa serikalini 7.Maafisa afya 8.wahadhiri wa vyuo mbali mbali 9.makatibu muhtas wa serikalini 10.Maafisa wa maji 11.Tanesco 12.Askari Police 13.Magereza na wote wanaofanana na hao.
Est: 2016, kariakoo

braga handbags
we wholesale and retail at affordable price
Est: 2017, congo bus stop