Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
Kipata Machinery
Bati za Kigae zinapatika kwa wingi na Zenye kudumu zaidi ya miaka 50 warranty bila kupauka wala kupata kutu.
Kuna aina tatu za Bati -:
1.) Made in China - bei yake 14,000/=
2.) Made in South Africa - bei yake 18,000/=
3.) Made in Switzerland - bei yake.
Est: 2009,
Swahili na Kipata
MyBusiness Web Application
Mfumo utakao kusudaia kurahisi majukumu ya Biashara yako na kutunza kumbukumbu, kukupa taarifa ya siku mwezi na mwaka
Est: 2019,
CoICT Bamaga
Pangodotcom
Kusaidia watu kufikia malengo yao juu ya kuuza,kununua, kupangisha vitu vifuatavyo viwanja,nyumba, godowns na Mashimba
Est: 2019,
Posta
kitchen_utensils_tz
Tunaoza vifaa vya keki na Vyombo kwa bei nafuu sana
Est: 2018,
machinga complex, Karume
Mini super market
A convenient store with low prices working 18hrs at mikocheni,senga road.
Est: 2020,
Kwa ridhwan
Ally Auto Garage spare part
Welcome for servicing and repairs original parts Auto electronics and diagnoss brakes repaint body worky full computers diagnoss a/c system.car 0717035247:0746667199
Est: 2010,
Auto Garage spare part
Real Estate
Upimaji wa Viwanja, kuuza Viwanja ,kununua nyumba na kuuza, kupangisha nyumba n.k
Est: 2010,
Kigamboni
Mzee baba store
We are dealing with phone & its accesories(Iphone & Samsung)
Such as
Original phone charger,phone cases,protector & other eletronics
Est: 2018,
Mwenge,Mpakan-mlalakua street
EPIC BR
Tunatoa huduma za utumishi na ajira. Mafunzo kwa wafanyakazi. Kutengeneza sera za utumishi kulingana na sheria as kazi nchini. Tutembelee www.epicbr.co.tz
Est: 2008,
Mwenge Tower
Juniortwin digital ltd
Sisi tunashughulika na eletronics yaani home applience kama vile tvs, hometheater, fridge, majiko stand na yamezani, wall bracket, AC n.k. Tupo kariakoo mtaa wa uhuru na sikukuui, karibuni sana
Est: 2010,
Old Zenufa
hilda_paperflowers_decor
Natengeneza paperflowers kwa ajili ya mapambo. Unaweza kupamba kwenye event mbalimbali Kama vile harusi, send-off, kitchen party, birthday, sitting room yako nk
Est: 2019,
Toangoma
Duka la Nguo
Hii ni biashara ya duka la nguo za watoto ni nguo Quality kutoka Uturukina na China.
Est: 2018,
Kitunda Matembere ya kwanza
Shedrack classic Beauty Salon
Tunausika na upambaji maharusi kutengeneza mitindo yote ya nywele pia yunaweka dawa kwenye nywele. pia tunauza Tait zakike kwabei poa kabisa. Tunasuka nywele mitindo yote
Est: 2015,
Biashara yangu inapatikana Tegeta Nyaishozi Machakani
sinta sona beauty soap
Hizi ni sabuni nzr sana kwa watu wenye chunusi,harara,wenye harufu kwapan inaondoa pia weusi kwapan na mapajan inaondoa weusi kwa walioungua na cream wenye mba pia hata watoto wenye vipele vya joto inawasaidia kwa akina kaka mapele ya ndevu pia inatoa
Est: 2020,
mbezi mwisho
health_weightconsultanttz
Health and beauty awareness
#am strong#am health#am looking good#handsome/beautiful#
Est: 2007,
Victoria
Bryna_bridal
We sell:-
Wedding dresses, send off dresses, flower girls dresses, formal and casual outfits, evening dresses, suits and from head to toe accessories.
Est: 2019,
Mwipopo road, Tegeta A
Barakoa / Mask
Tunauza Barakoa / Mask za vitambaa pure cotton, kwa bei ya Tsh. 2,500 - 3,000/=
Tunapatikana Kinondoni biafra.
Mawasiliano Simu/ Whatsup 0765599955
Est: 2020,
Kinondoni Biafra
FransTrendz jewelries collection
Urembo(jewelry) na VYOMBO vya ndani
0744577104.. kwa jumla na rejareja..
BEI NAFUU ZAIDI
Est: 2016,
kariakoo
Dagaa wa kukukaanga Toka mwanza
Pata Dagaa Safi waliokaangwa toka mwanza, ndoo kubwa 45000,ndogo 30000 na kisado 15000,,tupo buguruni Sheri,, no 0689595191
Est: 2017,
Buguruni Sheri
excellent beauty nails saloon
Tunatoa huduma ya usafi wa kucha na urembo kwa maharusi na watu mbali mbali pia unaweza kutupigia kupitia namba yetu kwaajili ya huduma ukiitaji popote ulipo ndani ya Dar tunakufikia
Est: 2019,
Mabibo Hostel
Teacher MCHOME the Legend WAKALA
TIGO Pesa
M-Pesa
AIRTEL Money &
HALO Pesa
Est: 2020,
Chanika-Mwisho Soko la Mihogo
Prince cleaning products
Wauzaji na wasambazaji wa vitakashio, kama sabuni za kufuria, chooni, jk, shampoo za nywele na sabuni za kusafishia mikono
Est: 2019,
Tuangoma
NASIA CONSULT LIMITED
Lets help you in -:
Asset Codification, Inventory Control, Fixed Asset Valuation, Asset Register Updating, Audit, Reconciliation
Est: 2007,
Kinondoni, Dar es Salaam
Kim online supplier
dealing with delivery of bites such as ubuyu, peanut butter
Est: 2020,
tabata road ,near by skyhall
Bf Suma Health
Health Consultants specialized in Dietary/nutritional Supplements.. We provide the best supplements available on the market..#jaliafya_ya_familia_yako
Est: 2015,
mikocheni
24hrs travel company
Tunatoa huduma za tiketi za ndege ndani na nje ya nchi kwa bei nafuu,urahisi zaidi na haraka zaidi.masaa 24.
Est: 2015,
Swahili Street
Olyshoppingtz
Online Shopping ! Tuna deal na Uuzaji wa Smartphone za Ulaya. America na Asia ..Bidhaa za Kudumu na Bora zenye uwezo wa kipeke.
Est: 2019,
Kariakoo Gerezan Somali Kipande
Uniquewelderstz
Sisi ni Mafundi tunatengeneza samani aina zote za chuma na mchanganyiko wa chuma na mbao
Est: 2016,
Kimara
Furniture
Mabingwa wa kuuza na kutengeneza furniture aina zote zinapatikana kwa odda usiache kututafuta whatsap no.0627516751
Est: 2020,
Keko furniture
Technology company
Computer mantainance & repair
sales laptop & all computer accessories
Est: 2020,
machinga complex
DAHAL FASHION
we sell all types of garments & cosmetics & shoes & handbags.
Est: 2003,
KARIAKOO (MTAA WA TANDAMTI)