Dar es Salaam • Tanzania
Orodha ya Biashara
Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Biashara
Ni wauzaji wa matunda ya Strawberry, Raspberry, Blackberry, Blueberry, Gooseberry na Zabibu kwa bei ya jumla na rejareja. Tunapatikana Tabata Posta
PALACE PROPERTY LIMITED
Tunachanganya rangi za magari,ferniture greel e.t.c Pamoja na matirio zote za kufanyia finishing gari yako na pia tunauza milango ya kichina na kutengeneza milango hiyo karibun sana
Forever living has the highest quality aloe vera product is recognized as the world leading multi-level marketing
viwanja ofisi mashamba
BizyCiti is an African Business Directory, established in East Africa, Tanzania to help business owners in African do business beyond borders.
PUNGUZA UZITO / KITAMBI/NYAMA UZEMBE KWA SIKU 9 TUU!!!! Sio dawa?? ni virutubisho vilivyo tengenezwa ili kukusaidia kutoa takamwili/sumu mwilini na kupunguza uzito/ kitambi ndani ya siku 9 .. Kwa maelezo zaidi piga /WhatsApp +255714313711 au follow @
SELLING PHONE, ACCESSORIES,REPAIR
wauzaji wa vitambaa tunapatikana kariakoo mtaa wa Narungombe na Agrey karibuni sana whatssap No. 0673686719
Natengeneza madirisha ya pvc milango pamoja na ballucone za kwenye ngazi au vibalazani
Tuna print na ku design PROMOTION MATERIALS: Flyers | Brochures | Folders |Business cards | Id’s | Posters | Company Profiles | T shirts | Na vingine vingi Kwa Gharama Nafuu Nipigie or Whatsapp #0659487874
Tuna uza Vingaamuzi vya Dstv. Tuna fanya installation/ufundi/ kufunga Dish za Dstv pia tuna Fanya Marekebisho kama Dishi lako lina Sumbua eidha lina katakata/scrutch kipindi cha mvua au kawaida, Tuna hamisha Dish kutoka sehemu moja kwenda Nyingine. Pia tuna uza Spare za madishi/ kama kifaa kime haribika bas tutakuuzia kinginecha Dizaini hiyo. * Pia tuna funga Tv ukutani(Tv bracket wall mount) *Pia Tuna Funga Madishi Aina zote (Azam_Tv, Dstv, Zuku ,Startimes , Ting Hd & Continental)
biashara yangu inahusika na sabuni,vipodozi, afya pamoja na kilimo
uchoraji na ufutaji tattoo
Karibuni sana tunapatikana kariakoo mtaa wa Narungombe na Agrey, tunauza jumla na rejareja mikoani pia tunatuma usafiri juu yako Whatssap No. 0673686719
pochi vitenge nguo za kiume zakike viatu
Karibu duka mtandaoni leo tumeamuwa kuwaletea MAYAI YA KIENYEJI kwa bei poa kabisa kwa trei na unaletewa popote ulipo nyumbani au kazini bila kulipa ghalama yoyote call 0789140979 tukuudumie kwa wakati
Nguo na viatu vya watoto na wakubwa
Gps trackers inasaidia watu mbali mbali wanaomilik magar,pikpik na Lori, bajaji. Gps tracker inatokomeza wizi na pia kujua matumiz mazuri ya chombo chako
Mimi ni fundi fanicha aina zote na ni mtalaam wa rangi za nyumba ndani na nje decorations aina zote na ninatoa ushauli wa ukarabati kwa nyumba zilizochakazwa na fangasi na kuzifanya mpya
Tours&Safari ZanzibarTanzania. *SerengetiPark *SaadaniPark. *NgorongoroPark *SelousPark *TarangirePark *ManyaraPark *MikumiPark *NationalPark *StonetownTour *SpiceTour *MnembaIsland *BlueSafari *JozaniForest *DolphinTour *FishingGame *villageTour *NungwiSunset *NungwiTour *Therock&PongweRestaurant *NationalMuseums *Visit Local Hospital&School
uuzaji wa maziwa fresh ya kupima na Lita ni 2,000/= tu popotee nakuletea ndani ya Dar es Salaam
Wakala wa 1.Mpesa 2.Tigo Pesa 3.Airtel Money 4.Halopesa
Samaki wabichi sangara toka MWANZA bei Tsh 6000 @1kg
vyakula kama kuku wa kisasa kuku wa kienyeji,mchele,mafuta ya alizeti
cap, sweter, prove, track, pens, sock, t-shirts
Dlb_fishmarket_tz niwauzaji na sambazaji wasamaki fresh wa maji chumvi na maji baridi toa order yako mapema ufurahie mali iliyo bora welcome dlb_fishmarket_tz ufurahi together we can
tunauza laptop desktop Electric Pressure Cooker
MAGARI....NYUMBA...
Tunauza nguo mbalimbali
Karibu kwa viatu na handbag
nauza nguo za mtumba aina zote kwa rejareja naviatu
Mikopo ya Ujenzi Mikopo ya vyombo vya mot Mikopo ya viwanja Mikopo ya mkopo
kuuza viatu vyenye ubora wa grade A vya watoto na wakubwa
Biashara yangu inajihusisha na uuzaji wa mitandio ya quality nzuri na nguo ..sambamba na manukato ya mwili na vipochi vizuri
We are selling premium T-shirts (100% cotton) and other products. Online store through this link https://shop.spreadshirt.com/dcnclothesshop/
Biashara online product mbali, mfano mini perfume,lation,na nguo
UCHIMBAJI WA VISIMA VYA KISASA KABISA KWA UBORA WA HALI YA JUU,TUNASAFISHA VISIMA KWA MASHINE ZA KISASA KABISA NA TUNAFANYA SERVICE YA PUMP,TUNAUBORA WA HALI YA JUU KABISA.. TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM,KWA MAWASILIANO UNAWEZA KUPIGA NAMBA.0657 485 084. AU UNAWEZA KUTUTAFUTA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII KWAJINA LA WASAFISHAJI VISIMA
Nauza DStv sh99000 ufund sh 20000 kifurushi cha family BURE mwezi mzima
karibun mpendeze na Lily beauty products