Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
hakika ice cream machines ltd
Inajihusisha kuuza mashine mbali mbali mfano mashine za kutengenezea ice cream, chokostic,barafu,juice,nk
Est: 2019,
buguruni sheli
gypsum decoration
ujenzi
Est: 2017,
natumia mtandao kutangaza bizaa zangu inster gram,fb kwajinala omary magypsu
MACH7DESIGNER
Tunadesign na kuprint vitu mbalimbali kama. Logo, lebo za wajasiriamali, banners, flyers, sticka, business cards, wheelcover n. k. Pia tunatengeneza video ndogo ndogo kwa ajili ya matangazo ya mitandao.
Est: 2012,
banana
Dagaa wa nyama au UONO ( Zanzibar)
karibu ujipatie dagaa wa nyama kutoka Zanzibar, kwa Bei pouwa kabisa sifa za hizi dagaa 1.kwanza Ni watamu na wasafi kabisa 2.wanachumvi tayari 3.Hawana michanga kabisa 4.umaweza kutafuta hivi hivi 5.wanaweza kukaa hata miezi 3 hadi 4 bila kuharibika tunauza kwa Bei ya jumla....kilo ni 7500/= ....pia tunapima sado na debe
Est: 2020,
Ubungo- kibo
neoma craft
Neoma craft ni watengenezaji wa picha za sanaaa zinazotumika kwa ajili ya zawadi za matukio mbalimbali ya maisha Kama harusi,birthday, graduation n.k pia kupendezesha nyumba,ofisi na kadhalika
Est: 2019,
Temeke
IMANI PLUMBING WATER POINT
IMANI PLUMBING WATER POINT najihusisha na utengezaji wa ma Bomba majumbani viwandani
kwenye Company n.k,karibu sana
Est: 2009,
UKONGA MOMBASA
DEX SOLUTIONS LIMITED
We design and build unique IT solutions that turn ideas into products, opportunity into competitive advantage, and Make IT clients into category leaders. We bring more than skill and experience to the table. We enrich every client engagement with a level
Est: 2016,
Konoike Road
ALLIANCE IN MOTION GLOBAL
tunatoa elimu bure na tunauza dawa za kutibu magonjwa sugu Kama vile strock presha ya kupanda na kushuka kisukari na magonjwa mengi zaidi ya 100
Est: 2018,
mikocheni karibu na shule ya FEZA
FRIJI MAGOMENI
Tunauza friji kubwa na ndogo aina zote Bei poa kabisa, tunapatikana magomeni mikumi,karibu Sana.
Est: 2020,
Magomeni
Madawa ya magonjwa sugu kutoka kampuni ya AIM GLOBAL UFILIPINO
Tunatoa elimu bure na tunauza dawa za kutibu magonjwa sugu Kama vile strock ,presha ya kupata na kushuka kisukari na karibia magonjwa 100 tunatibu kwa kutumia dawa si zaidi ya miezi miwili unapona na kusahau
Est: 2018,
Kinondoni
Dynasty Beach View Apartments
It is a private apartment with yr own entrance to three bedroom apartment, which is ground floor of kitchen, dinning, laundry, living room and guest toilet. The bedrooms are on the first floor. Then there the balcony at the top floor for extra outside seating, excellent seaview, meat braai, and hanging your washed linen. There is a spare generator and vehicle parking for two. 24hrs security, free water usage.
Est: 2005,
Ghuba Road-Near Msasani fish Markert
training online
Trainer,meal plan, supplements and healthy come we offer you training on arobic, cardio and help you to build and maintaining your body to be in good shape your welcome
Est: 2019,
magengeni
Baaron car deallers
uuzaji wa magari mapya na yaliyotumika tz aina zote, minada ya hadhara pia
Est: 2015,
kimara mwisho
vifaa vya usafi
bidhaa za usafi kwa ajili ya
-Kuoshea vyombo na kuondoa shombo
-Kusafisha siti za magari
-Kuogea
-Kusafisha tiles, sinki na vyoo
-Kusafisha oven, microwaves, jiko la gesi, jiko la umeme
-Kutibu magonjwa ya meno
-Kutoa harufu mbaya mdomoni
Est: 2018,
gongo la mboto, bus stand
Tunaweza
Kutengeneza mabango, fliers, posters, business card, logo na pia kusambaza virutubisho vya mwili
Est: 2018,
Duka la njano
saloon
make up, kusuka, kufanya steaming, kuweka nywele dawa, kuweka rangi nywele
Est: 2018,
mtambani
Computer Sales and Repair
Tunauza computer kwa bei nafuu. Computer mpya refurbished na used. Pia tunatoa huduma ya matengenezo ya laptop aina zote.
Est: 2018,
China Plaza/ mobile plaza
Pablo_Watches_showroom
Dar es salaam Trusted E_commerce
Wauzaji wa saa original,kutoka Brands Mbalimbali
Est: 2017,
Makumbusho
Crips/Bites
UTENGENEZAJI NA UUZAJI WA BITES... (potato Crips, banana Crips,Tambi za dengu,Tambi za mihogo,chauro,Magimbi,karanga roasted). Instagram @anko_temba @ackley_temba
Est: 2019,
Tabata shule
Nody welding & fabrigation works
Natengeneza kaz zifuatazo maget aina zote,madirisha ya chuma aina zote pamoja na milango ya chuma,vitanda pamoja na funiture mbalimbali eg kitchen table nk
Est: 2007,
Mabibo hostel
trillhappy beauty point
kusuka nywele styles tofauti make up na urembo kwa ujumla
Est: 2019,
mabibo mwisho
Excellent International services (EIS)
EIS global tunajihusisha na kusaidia kupeleka Wagonjwa kwenda nchi za nje zikiwemo India,Uturuki,Ugerumani,South Africa na Kenya.(Medical tourism) kwa lugha ya kitaalamu. Tunasaidia kuanzia Pass ya kusafiria,Madactari wa Nchini na Nje ya Nchi,Visa za nchi husika,Malazi, Chakula,Dawa na Matibabu.kwa Maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia number 0789707973 au 0787683134 kwa kupiga au WhatsApp karibuni.
Est: 2012,
Mlimani tower 2floor opposite mlimani city
GIFTED HANDS SPECIALIZED DENTAL CLINIC
-Oral&dental care/Kinga na tiba kwa magonjwa ya kinywa na MENO.
Est: 2019,
River side-Mchichani
Visima vya kisasa
Mussa Mbaruku Tunausika na uchimbaji wa visima vya maji pamoja na kufunga pmp pamoja na kufunga mabo.Uchimbaji wa visima vya kisasa kwa bei nafuu mikoa yote Tanzania Tunapatikana chanika Buyuni Dar as salaamu nyote mnakalibishwa
Est: 2012,
Chanika Buyuni
Luckie _glam
hair dressing. Makeup za aina zote,
Tunauza accesories za mabibi harusi.
Est: 2019,
Tabata shule green light hotel
Simpag CS company limited
》security services
( Huduma zote za ulinzi )
》Cleaning services
(maofisini, Hotel, majumbani, Hospitali etc)
Est: 2019,
mikocheni
Ubuyu products
Jipatie ubuyu mtamu kutoka zanzibar ubuyu wa babu issa nauza jumla na rejareja
Est: 2020,
Kisemvule
healthy & beauty
Natibu magonjwa yote sugu kwa kutumia virutubisho lishe kutoka marekani vilivotengenezwa kwa mfumo wa dawa
Est: 2020,
mlimani city