Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar


You need to login to be able to create your business profile

Buyxpress
Tunauza cm na vifaa mbalimbali vya simu na computer kwa bei nafuu sanaa.
Est: 2017, buyxpress

nguo za watoto mtumba
Tunauza nguo za watoto mtumba grade 1. Tunapatikana Mbezi ya Kimara DSM. karibuni sana wateja.
Est: 2020, Mbezi karibu na CRDB Bank

shushu fashion and ubuyu & juice
biashara yangu ni online unaweka order nakuletea popote ulipo
Est: 2020, kinondoni

Koko dafu
Hii ni brand inayojihusisha na uuzaji wa madafu katika jiji la Dar-es-salaam tunauza madafu ya zaidi ya aina tatu na cocktail maalumu zinazo tengenezwa kwa madafu,pia tunafanya delivery sehemu zote ndani ya jiji karibuni Sana.
Est: 2018, Millennium Tower (Makumbusho)

Neatlux organizing services
Cleaning/Decluttering and organizing services
Est: 2019, Sinza kwa Remy

CATH CARE CLEANING SERVICES
Tunauza na kusaply dawa za usafi wa Aina zote hapa dar es salaam , dawa za chooni, sabuni za kufulia,kuogea,kuoshea vyombo, dawa za sofa na tiles, sofa wash na carpet wash, Dawa za madoa yaani (JIKI), hand wash jelly, shampoo za nyewe, Hand Sanitizer, Shower jelly,Window cleaner nk
Est: 2018, Kimara Mwisho

Gold_Products_Online
Jipatie Mashuka ya kisasa, Neti nzuri za kisasa, wallpapers, picha za ukutani living room ? na Pazia zinazoenda na wakati ?tunadeliver? ndani ya Dar es Salaam pia tunatuma mikoani kwa uaminifu mkubwa karbuni sana ??
Est: 2019, Gold_Products_Online

vinkid outfits
WAUZAJI WA MAVAZI TZ <
Est: 2020, karikoo na kimara

Narscent Fresh Food
Hizi ni karanga za mayai, zenye ladha nzuri kabisa. Zina mayai, sukari, chumvi na ngano kidogo.
Est: 2016, Changombe TRA

Graphics Design & photography
Tuna tengeneza cartoon aina zote kwa bei poa na pia tunapiga picha kali za location kwa bei rahisi pia na kila kitu kinacho husu graphics kama mabango t-shirt , busses card na mengine mengi, karibuni sana.
Est: 2018, Dar es salaam & Zanzibar

G smile Collection
Njoo ujipatie simu za aina zote na accessories za simu aina zote ( iphones) kama chargers, covers, earphones na protectors
Est: 2019, Gods Lodge and pub

Tz chocolatier
We sell customized chocolates. Tunauza chocolates na kuandaa package za zawadi kwa kuambatanisha vitu utavyovihitaji vimfikie mhusika. We prepare gift packages and deliver!
Est: 2020, Dar

mama_abou2204
Ninadeal na nguo za mitumba za watoto kuanzia 0month mpaka 12years
Est: 2020, mama_abou2204

samaki watamu
Nauza samaki Aina ya perege jumla na reja reja pamoja na kambale na dagaa wa mwanza waliokaangwa
Est: 2020, Gongo la mboto

MBAO
Ninauza MBAO za aina zote kuna MKONGO,MNINGA,MTONDOLO,MKANGAZI,MNANGU na kazalika saizi zote kwa bei nafuu kabisa karibuni wateja nipo keko toroli kwa mawasiliano namba 0653741563/0786171581
Est: 2007, KEKO TOROLI

kiabo online business
Clothing and various accessories distributor
Est: 2017, Upanga

Wauzaji wa Strawberry
Kwa mahitaji ya Fresh Strawberry Mullberry Raspberry Gooseberry blackberry blueberry na zabibu karibu @strawberry_tz tukuhudumie
Est: 2016, Morogoro&Dar Es Salaam na Dodoma

Health_weightconsultanttz
Health and beauty#am strong#am healthy#I look good# I attracts# am more beautiful/handsome#
Est: 2007, Victoria

Mbuzi
Nauza mbuzi wa kubwa kabisa kutoka singida, kuna mbuzi wa supu kuanzia 80000 na wa kuchoma kuanzia 100000 mpaka 130000, karibuni sana
Est: 2019, Ndumbwi

vibubu_beipoa
Haya tupambane na kuweka akiba
Est: 2020, kimara mwisho

hamsan Fashion
Karibu kwa nguo mbalimbali
Est: 2020, nguo

Perfume
Tunauza perfume za kiume na za kike kwa beii nafuu.Pia delivery ipo popote ulipo tunakufikia.Nyote mnakaribishwa kuwekaorder zenu.
Est: 2020, Mabibo

EcoAct Tanzania
Tunazalisha na kuuza mbao/nguzo za plastiki, haziozi, haziliwi na wadudu na zinadumu muda mrefu. Mbao/nguzo zitokanazo na taka za plastiki (100% recycled) zipo katika size tofauti. Zinafaa sana kutengeneza thamani, kuweka uzio, kujenga camp za watalii
Est: 2019, Tegeta Ndevu

sam_shop_carpet
tunauza ma carpet aina zote pia tuna safilisha mikowani na na kwa mkoa wa dar tunatuma free paka kwako
Est: 2020, China plaza

Dr Benson
All forever product are available
Est: 2020, worldwide

Groly shop
Karibu ujapitie bidhaa kama vile Tv , aina zote ,subwoofer aina zote dressing table Rice cooker mafeni ,etc
Est: 2020, manzese darajani

MACK LIQUOR STORE
TUNAUZA VINYWAJI AINA ZOTEKAMA WHISKY GIN VODKA RUM BRANDY AND WINE
Est: 2020, Sinza kwa remy Near Azania Hotel

Amo investment
karibu ujipatie bidhaa bora kutoka kwetu
Est: 2020, pugu,gongo la mboto

NATURAL SUPPLIMENT FROM AMERICA
Tuna toa ushauri nasaha na Dawa za asili kutoka marekani kwa kupambana na magonjwa mbalmbal....Karibu Sana tukuhudumia..au piga simu No,0743526793...Kwa maelezo zaidi au njoo WhatsApp kwa kugusa link hii......http://wa.me/0743526793
Est: 2020, MLIMANI TOWER.GOROFA YA 3

Justine peter mushi magari
Mauza magari aina zote una gar yako tunakuuzia karibu
Est: 1991, Mwenge Dar es salaam

Chinga
Wauzaji wa urembo wa ndani
Est: 2020, Mabibo

Nana Hijabs
Best hijabs sellers. We provide best quality hijabs and head wraps.
Est: 2019, Kinondoni B

WASTEWATER SOLUTIONS
Ni wataalamu waliobobea katika ujenzi wa mifumo ya majitaka kwa kutumia teknolojia ya anaerobia (anaerobic digestion) kwa ajili ya kudhibiti,kusimamia na kuboresha majitaka ili yafae kwa matumizi mbalimbali ya mwanadamu na viumbe wengine.
Est: 2008, Amana

Gavao Holdings
We are dealing with Customs Clearing & Forwarding. we are doing local goods and transit goods. Also we are dealing with Transportation of goods (Local &Transit)
Est: 2013, Mwalimu House

Aluminium_solution.tz
ALUMINIUM & PVC & BALCONY we deal with. Aluminium/pvc door? Aluminium/pvc window Aluminium/pvc partitions Aluminium pharmacy shelfs N.k
Est: 2013, Dar es salaaam

MUGETA DAGAA PRODUCT
Wauzaji wa DAGAA bora wa kukaanga toka ziwa Victoria.
Est: 2019, Mugeta dagaa

Health and beauty
Natoa ushauri wa afya na tiba bora kupitia virutubisho asilia vyenye viini lishe na kutoa ushauri kuhusu magonjwa mbali mbali pamoja na urembo
Est: 2018, Mlimani tower

Mimmy_machinga_store
Skin care, hair treatment and health.
Est: 2017, Mbezi mwisho

UUZAJI WA KUKU WA KIENYEJI
Sisi ni wauzaji wa kuku wa nyama na mayai tuliosajiliwa na kupata vibali vyote vya ufanyaji kazi
Est: 2019, KISUTU

FUNDI Urembo guzo madilisha kona arch skating popote na fika
Fundi Urembo guzo madilisha na kona arch
Est: 2013, Napatakana tandika temeke dar es salaam