Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
Winnie2nyi_collection
Ni wauzaji wa mavazi ya wanawake wanene (plus size)
Est: 2016,
Bigbon Bon -kariakoo
Kidumu Video Library
Nauza cd , cover za simu protector,chaji earphone, tunafungua acount whatsap, instagram, twitter, facebook n.k
Pia tunasajili line aina zote
Bila kusahau tuna instal windo aina zote karibuni.
Est: 2010,
Kwa bundala msumi mbezi
Westson Computers
Ufundi wa computer, wauzaji na wanunuaji wa laptop na vifaa vya laptop
Est: 2019,
Machinga complex Karume
KIMARA POULTRY
Tunatoa BURE ushauri wa ufugaji wa kuku wa kienyeji, taratibu za chanjo na Tiba. Tunauza kuku wa Kienyeji aina ya Kuroila kuanzia vifaranga vya Wiki Mbili (2) na kuendelea kwa wafugaji na Walaji. Tupo Kimara Dar es Salaam, Mawasiliano: 0683230514.
Est: 2019,
KIMARA TEMBONI
Apopo usafi na afya
Jipatie vifaa vya usafi wa majumbani kwa bei poa.
Est: 2020,
Online business (Tabata)
Suley Curtains and home decor
Ninahusika na kuuza Mapazia aina zote ,neti aina zote na vitu vingine vya ndani kwa mapambo.
Est: 2020,
Kisemvule
Simusolar LTD
Wauzaji na wasambazaji wa pumpu za maji za solar kwa ajili ya visima na kilimo cha umwagiliaji. Pampu zinapatikana kwa Bei nafuu ikiwemo kwa mikopo hadi miaka miwili
Est: 2015,
Mikocheni na pia mikoani tupo
Singe Ltd
Tunauza/kusupply mbao,marine board, nondo, misumari,wires,mabati na vifaa vinenevyo vya ujenzi
Est: 2017,
Dar es salaam
Setflix
Setflix is an online streaming platform, where by people register to watch unlimited movies and TV shows worldwide
Est: 2020,
Best bite road
AXEL TAILORING SOLUTIONS
TUNASHONA NGUO AINA ZOTE
| SUITS | WEDDING & SEND-OFF DRESS | CASUAL OUTFITS | CORPORATE UNIFORMS |
Est: 2016,
AXEL TAILORING SOLUTIONS
Furniture za ndani
watengenezaji na wauzaji wa furniture zote zandani na kwa bei nafuu kabisa
Est: 2020,
tabata bima umoja road
CHUSY HOME MINDING
HAPA NI UBORA TU.Hebu jitahidi upate hata ushauri ili ununue kitu Cha kudumu Nina uzoefu was zaidi ya miaka 13 Nina uhakika ukinitafta nitazngatia UBORA nawewe utafurahia bidhaa zangu na mungu akujalie kipato uje tena,Ahsanten.
Est: 2007,
Manzese darajani karibu na st,monica hospital
msuva alluminium window and door
Tunatengeneza madirisha pamoja na milango ya aluminium kwa bei nafuu kabisa na tunakukabizi kwawakati bilarongorongo na bilakusahau mteja akitoa kazi afanyiwe madirisha ya chooni ni ofa atochajiwa kiasi chochote.mteja kwetu ni mfalme karibuni wote
Est: 2020,
mazuru mbezi
MC & MUZIKI
MC MZURI MWENYE KUCHANGAMSHA SHEREHE MWENYE KUKUPA BURUDANI PIA ANAJALI MUDA
Est: 2020,
dar es salaam
Neolife Eagle
Selling health products with Nutrients required with human body from Neolife
Est: 1958,
Kigamboni
PTACTY MAZAGAZAGA
ONLINE MARKETING
POPOTE UNALETEWA KWA GHARAMA ZA MTEJA
NA MKOA TUNATUMA
JUMLA NA REJAREJA
Est: 2016,
Ulipo tupo
Chaku Studio
We deal with professional and classic Photo & video shoots (graphics and designs)
Est: 2016,
Sinza Mori near Wanyama Hotels
G-NICE ASILI PRODUCT LTD.
WATENGENEZAJI NA WASAMBAZAJI WA VIPODOZI ASILI. KWA WALE AMBAO NGOZI ZAO ZIMEAHIBIKA KWA VIPODOZI VYENYE KEMIKALI.
Est: 2014,
MKABALA NA LANGO LA MAGEREZA UKONGA
wallpaper
Pendezeaha nyumba yako office, saloon kwa kuweka wallpaper Kali na nzur kutoka kwetu,
tunazo kila Aina za wallpaper
roll moja ya wallpaper elf 25
Gundi pakti moja elf 10
ufundi elf 20 kwa kila roll moja
Mawasiliano zaid 0656 535646
Est: 2020,
kariakoo
Chinga tz
Tunauza Pamoja na Kudisign
?Pazia
?Wallpaper
?Bomba za Mapazia
?Mashuka
?Carpet
?foronya
Delivery tunafanya popote pale uliko.
☎+255 6927o7o64
Est: 2019,
Mabibo
Fazoneti Products
Deaalers in Food processing,
Distribution,Wholesale and retail. Product and services
Est: 2019,
Ada Estate
AFRIASTUTE LIMITED
Real estate consultancy, estate agency, facilities management, cleaning services for ground and kitchen hoods, fumigation, maintenace and Ac service.
Est: 2017,
Hekima garden
GREEN WORLD
Tunatoa fursa kusaidia watu kujikimu kiuchumi pia tunatoa tiba kwa magonjwa ya sio ambukizi kwa kutumia tiba lishe.
Est: 2014,
Mlimani city mpakani
Coconut Furniture Mart
Tunatengeneza furniture za mbao aina zote
kwa gharama naafu zaidi njoo kwetu upate unachokipenda,
Est: 2016,
Tupo Kinondoni mkwajuni karibu kabisa na Mwongozo Primary Shool
Alisia furniture
watengenezaji wa fenicha aina mbalimbali
Est: 2020,
changombe temeke ...usalama kituo
Pure oil
Pure castor oil /mnyonyo ni mafuta ambayo hayajachanganywa na chemical yoyote
Husaidia kukuza nywele,kuondoa mba, mapunye, rashes kuifanya ngozi kua laini√Pure coconut oil √ husaidia kuondoa michirizi,√ hufanya mtoto asipate miwasho√ huondoa mba√
Est: 2019,
Tabata segerea
JuliusOnlineBusiness
Mimi ni mfanya biashara wa online unaweza kujipatia chochote kile kutoka kwangu mf.nguo Gari pikipiki na vyombo vya nyumban kwa mawasiliano piga cm 0654168126 popote ulipo tunakufikia
Est: 2020,
Julius online business
Gotrack Company Limited
Tunafunga GPS kwenye Pikipiki,Bajaj,Magari, Tv na Computer.
Baada ya Kufungiwa GPS utapata application kwenye smartphone yako itakayokuwezesha kupata taarifa ya chombo chako. taarifa hizo ni pamoja
KUONA LIVE UELEKEO, SPIDI ,KILOMETA, MIPAKA YA KAZI N.K
Est: 2019,
Changombe Maduka Mawili