Dar es Salaam • Tanzania

Orodha ya Biashara

Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam

Filter Biashara

Please sign in to add your business profile to this directory.
All Businesses Page 59 of 70
Alisia furniture

watengenezaji wa fenicha aina mbalimbali

Est. 2020 changombe temeke ...usalama kituo
Pure oil

Pure castor oil /mnyonyo ni mafuta ambayo hayajachanganywa na chemical yoyote Husaidia kukuza nywele,kuondoa mba, mapunye, rashes kuifanya ngozi kua laini√Pure coconut oil √ husaidia kuondoa michirizi,√ hufanya mtoto asipate miwasho√ huondoa mba√

Est. 2019 Tabata segerea
FURNITURE KALI

sofa + meza + TV cabinet ( Tshs..1,300,000/=)

Est. 2020 kinondoni studio
JuliusOnlineBusiness

Mimi ni mfanya biashara wa online unaweza kujipatia chochote kile kutoka kwangu mf.nguo Gari pikipiki na vyombo vya nyumban kwa mawasiliano piga cm 0654168126 popote ulipo tunakufikia

Est. 2020 Julius online business
Gotrack Company Limited

Tunafunga GPS kwenye Pikipiki,Bajaj,Magari, Tv na Computer. Baada ya Kufungiwa GPS utapata application kwenye smartphone yako itakayokuwezesha kupata taarifa ya chombo chako. taarifa hizo ni pamoja KUONA LIVE UELEKEO, SPIDI ,KILOMETA, MIPAKA YA KAZI N.K

Est. 2019 Changombe Maduka Mawili
mimor fashion lane

online business

Est. 2020 mimor shija
Abdul madhila carpets

Kwa mahitaji yote ya muonekano mzuri wa nyumba, chumba au ofisi yako kwa zuria au plastic carpet nzuri tutafute 0767866232/0712866232

Est. 2015 gerezan/kariakoo
Pecy Kids Essentials

Kids wear and essentials

Est. 2018 Shabiby garage sinza
Michie plumbing limited

We are best in plumbing & applying aterial for water installation

Est. 2010 Omari Londo &Swahili
Waasili asilia ltd

wazalishaji wa bidhaa bora zangozi kama vile viatu,mabegi,mikanda na Batiki

Est. 2016 Tegeta salasala mabadnda mengi, uwanja wa magofuni
Mpoya builders

Fundi wa ujenzi wa majengo ya kisasa kuanzia msingi wa nyumba ,kuinua kuta,kupaua,wall plaster,gypsam decoration,tiles na rangi za kisasa

Est. 2010 Dar-es-Salaam
My daily choice

Njooni ujifunze njia nane za kujiongezea kipato cha uhakika bila kuathiri shughuli zako zingine, tunakaribisha watu wa kada zote.

Est. 2014 Derm plaza makumbusho near tigo headquarters
onpoint solution

Printing and Graphics Designing

Est. 2020 printing and Designing
Fay Fashion Tanzania

We make the highest quality leather, fabric and canvas products, including travel bags, male and female bags, office bags and hotel/restaurant menu and corporate products.

Est. 2018 Globally
mishymudy_collection

Tunafanya delivery na mikoani tunatuma

Est. 2019 Mlango mdogo lugalo
Valor Africa Limited Co.

We sell shoes, jewelry and accessories, perfumes and watches in retail and wholesale. We are at Mwananyamala kwa kopa. Karibuni sana

Est. 2018 Mwananyamala kwa kopa
Arrazaaqustudio

Tunapiga Picha na Video za Sherehe Mbalimbali kama Harusi sendoff Kitchen Party BirthdaysBridal and Baby Shower Corporate Events kama Seminars Mikutano na Matamasha.. Documentary Mbalimbali Matangazo ya Biashara na Vipindi vya Tv na Video za Muziki n.k

Est. 2020 Arrazaaqustudio
Jsk international

Health and nutritional care

Est. 2018 Mikocheni
TUJARI AFYA ZETU KWANZA

Matatizo mbalimbali kama Kisukari, Pressure,uvimbe kwenye kizazi,tezi dume, cancer aina zote, matatizo ya macho, matatizo ya moyo ,magojwa yote ya uzeeni kama (kuvimba miguu, miguu kuuma ,mgongo kuuma)...................n.k

Est. 2019 Mlimani city
Dream Vision Studios

Tunapiga Picha na Video za Sherehe Mbalimbali kama Harusi,Send off,Kitchen Party,Birthdays,Bridal and Baby Shower,Corporate Events kama Seminars,Mikutano na Matamasha..Documentary Mbalimbali,Matangazo ya Biashara na Vipindi vya Tv na Video za Muziki n.k

Est. 2011 Mwenge kwenye Vinyago
CENTRE OF GRAVITY ELECTRICAL TEAM

DEALS WITH: ELECTRICAL INSTALLATION /WIRING

Est. 2018 KIBAMBA
FUNDI DSTV

0710317215 0758112411 PIGA SIMU TUKULETEE DTV HADI NYIMBANI KWAKO KWA GHARAMA NAFUU ZAIDII NA UFURAHIE CHANELL MBALIMBALI NA UTAPATA OFFER ZA KUTOSHA KAMA VILE KIFURUSHI,UFUNDI,USAFIRI NA UTAJIPATIA OFFER ZA KILA MWEZIII KARIBU MALIPO NI BAADA YA KAZII KUKAMILIKA.

Est. 2020 DSTV TANZANIA
Nawabu katuli

Ni uduma za upambaji kwenye masherehe

Est. 2013 Decoration
Gifted fragrance

We sell Brand Designer Perfumes, Unique Brand Designer Perfumes, Arabic Perfumes and Deodorants both retail and wholesale We do delivery in Dar es Salaam and offer courier services upcountry

Est. 2019 Mombasa
Bright Castor Oil

Haya ni mafuta ya Nywele yanayo tengenezwa kwa kutumia mbegu za mnyonyo. Mafuta haya ni Asilia hayana chemical yyte

Est. 2020 Chuo Cha Mipango
Enrique_boutiques

Dealing with famous brand

Est. 2017 Best Bite
batiki na vitenge

tunauza batiki na vitenge original karibuni sana

Est. 2020 ferry
Hellen _Usafi_Kilimo

kwa kilimo bora na cha kisasa tumia mbolea ya Super GRO ili upate mazao Mengi. Pia kwa usafi wa majumbani na Hotelini tuna dawa nzuri kabisa ya kusafishia uchafu uloshindikana karibu tukuhudumie 0719739504

Est. 2020 Maweni Mbuyuni
Chamgongo Aluminium work shop

tunadiri na kutengeneza Madirisha milango na makabati ya Aluminium kwa bei nafuu tupigie simu No 0659557284

Est. 2020 Tandika mtoni madafu
jadelina hairstyle

jadelina hairstyle tunasuka style zote #bradelmakeup#sendoffmakeup#simplemakeup pia tunapokeaa wanafunz wanaotaka kujifunza makeup

Est. 2020 #Buzakanisan
Ley Mitumba

Shuka za cotton mtumba grade one

Est. 2020 river side
Brian Hommie Graphics

We offer the Graphics Designing at affordable price and as quality as user desires. Tunatoa huduma za Graphics designing kwa bei nafuu na kwa kiwango cha hali ya juu. karibu tukuhudumie

Est. 2018 The United Africa University of Tanzania
Ukombozi African Design

Tunatengeneza vitu vya Asili

Est. 2016 Tataba
DALALI HAKWEYA

Dalali wa nyumba

Est. 2020 chamazi
GATENDE JUMA

Nunua DSTV kwa beii nafuu zaidii na utajipatia offer nyingi sanaa kama usafiri,kifurushi,ufundi n.k

Est. 2020 DSTV MAUZO
WISE VISION T LIMITED

Customized T-shirt available now minimum Order 50 pieces in New design - Caps and hats,beanies - Bags - Keyrings - Mobile Accessries - T-shirts and Aprons - Flags & holiday gifts - Bottles,pens,can holder,umbrella.0718 12 22 36

Est. 2007 PAMBA HOUSE SECOND FLOOR 227
Hellen Kilimo cha kisasa

Kwa kilimo bora cha kisasa tumia mbolea ya Super GRO ili upate mazao Mara 3. Super GRO ni mkombozi wa Wakulima 0719739504

Est. 2020 Kigamboni - Maweni
aluminiumglass7

Kalibu kufanya kazi nasi tukupe punguzo

Est. 2013 Tegeta kwa ndevu
MASASI FARMING AND AGRO BUSINESS

Consultation

Est. 2017 Madale mwisho
Havan_tz

Mchele wetu ni msaf umechambuliwa na kupepetwa Kilo 5 13500 Tupigie au WhatsApp 0764512666 Hutajutia kununua

Est. 2020 Magomeni sokon