Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
Francis logistics
Tunahusika na utowaji wa mizigo bandarini clearing and forwarding agents
Est: 2020,
Francis logistics
Vyombo vya nyumbani
Tunauza vyombo vya ndani na mashine ndogo za jikoni. Online store
Tunatuma ndani ya Tz kwa gharama za mteja ?
?0659829799
Est: 2019,
Online Business
vrom_urembo
Tunauza nguo za watoto kuanzia wachanga,wakubwa,vipodozi,cheni,Hereni.Na nyinginezo kutoka na mahitaji ya wateja wetu.
Est: 2019,
KITUO GARAGE MKABALA NA BL PARK
Viwanja-Nyumba-Vipando
SuperLand Tanzania tunahusika na uuzaji wa viwanja,nyumba na vipando kama vile gari,bajaji,pikipik n.k kwa bei nafuu kwa Dar es salaam na maeneo jirani. Pia kama unahitaji tukuuzie bidhaa yako basi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo
0747141871
0623013237
Est: 2020,
Viwanja,Nyumba,Vipando
Security systems service
Tunatoa huduma za uwekaji mifumo ya ulinzi Kama vile CCTV camera ,Electric fence,Gate motor,Electrical installation,Video intercom systems pamoja na Alarm systems (intruder na fire)
Est: 2020,
Kibada hospital
miraculous looks
Wauzaji wa nguo za mtumba grade A kama vile scarf, mashati ya ofisini na mitoko ya kawaida magauni, na masweta
Est: 2020,
mlimani
Alsubhi Elegance
Gift wrapping and Bouquets.
Mauwa ya biharusi (bridal bouquets) kutumia Fresh Flowers pamoja na bouquets za aina mbali zinapatikana kwetu.
Pia tunafunga na kupamba zawadi za shughuli mbali mbali ikiwemo harusi, mahari, birthday, anniversary nk.
Est: 2019,
Kariakoo, mkunguni na livingstone
Tuma delighted bekary
Tunatengeneza keki za aina mbali mbali kwa upande wa decoration cakes kwa mfano
Birthday cake, wedding cakes n.k.
Plain cake, cup cakes, cookies aina mbali mbali pia na bites zinapatikana.
Est: 2018,
Mgeninani kijichi
Mamaiya_Cakes
Tunatengeneza cake za aina mbali mbali kama vile vanilla,chocolate,redvelvet,blackforest n.k
kwa bei nafuu kabisa kuanzia 30,000/=
Est: 2020,
Mzambarauni
totolishe
Karibu Tujifunze Kwa Pamoja, Kuhusu Lishe Mbali Mbali Za Watoto, Bure Bila Malipo. Karibu Tukuhudumie Kwa Mahitaji Ya Bidhaa Za Watoto
Est: 2020,
Kwa Anna Makinda
Ks_home_accessiories
Tunauza mapambo ya ndani
Mapanzia
Duvet
Mauwa
shuka
Viyoo vya kujitazamia
Mito yakulalia na ya sofa
Bomba za kufunga panzia
Est: 2017,
Uhulu na skukuu
Masai sandals
Kwa wale wauzaji wa rejareja njoo tukuuzie kwa bei ya Jumla Na nafuu zaidi Wasiliana nasi whats App +255712144146
Est: ,
Machinga complex
Mashuka Ya Kudarizi
mashuka ya kudarizi, vitambaa vya kudarizi na viforonya vya mito vya kudarizi
Est: 2014,
Shule ya msingi sokoine
ASH NATURALLY (HEO )
Ash naturally (HEO)
Ni mjuisho wa
1.H -honey
2.-E-egg
3.-O-oil (sunflower)
Natoka huduma ya bidha kama ilivyo hapo juu
ASALI MBICHI TU
MAYAI YA KIENYEJI NA YAKAWAIDA
MAFUTA YA ALIZETI NA YAKAWAIDA
tunakuletea popote ulipo
Est: 2020,
Kinondoni mkwajuni
DTS logistics company limited
Greeting from DTS.
Hope you are well,
I wanted to introduce you to our DTS logistics company limited.
We sell high quality spare parts with reasonable and competitive prices
We are working hard to earn your trusts.
Est: 2018,
TRA
Computer saler
Tunauza Computer bora na accessories zake imara kwa bei nafuu kabisa karibun sana
Est: 2015,
Kongo
Urembo
biashara inahusika na urembo wa nywele uso pia tunapamba maharusi pamoja na kuuza bidhaa za kina dada mfano pochi za mtumba wallet marashi
Est: 2016,
Kimara Temboni
furniture
furniture aina zote makabati vitanda meza za chakula meza za kusomea sofa aina zote
Est: 2006,
mwenge
MSHIKAMANO BEST CHICKENS
MSHIKAMANO TUNATOA HUDUMA YA VIFARANGA NA KUTOTOLESHA MAYAI KWA BEI NAFUU KWA KILA MTU.
Est: 2018,
KIBAMBA CCM
mremi furnitures
kutengeneza furniture/ kuuza /kurper nakudizain pia tunapokea order
Est: 2018,
kennedymremi24@gmail.com
furniture
furniture aina zote vitanda aina zote sofa meza za chakula meza za kusomea makabati
Est: 2007,
mwenge
ESSENTIALS TZ MARKET
Biashara hii itajihusisha na uuzaji wa BIDHAA kutoka NCHINI UINGEREZA hukoo kwa malkia Elizabeth
pia chocolates
snacks
bites
milk
electronic machines
phones
laptops
Yani kiujumla Kila biashara nitafanya kupitia app hii
Est: 2015,
amulikedeograciousbarlow@gmail.com
Flora denim trends
Nauza denims coats za aina mbalimbali Kama vile shirts, oversized, boyfriend,cropjeans, ripped na nyinginezo za aina mbalimbali kwa Bei nafuu Sana!
Est: 2020,
Mwenge
PGM Home Furnitures Point
Sofa na vitanda vya sofa vya kisasa,viti vya dining na Meza,navingine vingi.
Est: 2012,
Makutano
Liver_collectionss
Karibuni liver_collections mpendeze...chochote agiza utapata
Est: 2020,
Mwananyamala, kituo cha daladala msaada gereji
Rosello bags collections
Tunauza mabegi aina zote na sanduku Original kwa bei ya jumla na rejareja, tunafanya delivery bure na tunatuma mzigo popote pale ulipo kwa uaminifu
Est: 2019,
Mabegi jumla mwenge
Dalali_kigamboni_01
Uuzaji wa Kiwanja/Viwanja,Nyumba,Beach plots,Pia tunapangisha nyumba nzima au vyumba kwa ujumla kwa maeneo ya kigamboni na viunga vyake
_____________________________
kutana na dalali_king_kigamboni
______________________________
Mawasiliano:0734-003-525
:0627-617-691
:0693-886-781#Whatsup
-Instagram: @dalali_kigamboni_01
Est: 2020,
kigamboni
wauzaji_wa_magari_usedd
KWA MAHITAJI YA KUUZA AU KUNUNUA MAGARI KARIBU @WAUZAJI_WA_MAGARI_USEDD
Est: 2018,
CHAMAZI