Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
tops-point 1
tunauza nguo za kike kwa bei rahis kabisa kwa size zote na lika zote
Est: ,
magomeni mapipa
Portable/Mobile/Movable Toilets
Vyoo vya kukodisha kwenye mashuhuli, misiba, matamasha, bonanza,mihadhara na kila aina ya matukio yenye mkusanyiko wa watu wengi.
Bei ni 200,000/= kwa choo kimoja
Na 180,000/= kwanzia vitatu
Usafiri ni bure kabisa bila kujali umbali uliopo.
KARIBUNI SANA=O
Est: 2020,
meditomeddyclever@gmail.com
MAGILAZ INVESTMENT
Ni kampuni iliyojikita katika masuala yahusuyo TEHAMA (ICT). Kama ifuatavyo WEBSITE DESIGNING & HOSTING, NETWORKING, SOFTWARE & HARDWARE SOLUTION, DATABASE DESIGN, ANDROID APPs DEVELOPING, Pia tunauza vifaa vya Computer pamoja na Computer zenyewe.
Est: 2016,
Makumbusho
Phones and laptops
Sisi ni kampuni inayouza simu Mpya na Used ,laptops mpya na Used na pia tunafanya exchange au top-up za simu karibuni sana ??
Est: 2019,
kigamboni Ferry
Maisha_fitnes
uuzaji wa vifaa vya mazoezi na mikanda ya kupunguza tumbo
Est: 2020,
allyadam63@gmail.com
Mamilo shopping
Tunauza bidhaa mbali mbali kama elektroniki, mavazi, virutubishe tiba vinavotibu magonjwa yaliyoshindikana mahospitalini kama kisukari, shinikizo la damu, cancer, pressure, nk
Est: 2020,
Mjimwema, kibugumo
Mchele quality number moja usio na mawe wala chenga
Mchele safi namba moja kwa bei safi kulingana hali za uchumi wetu wa sasa 1700 kwa kilo hadi 1600 kwa kilo nyingi nitafute sasa kwa bidhaa bora ya mchele
Est: 2017,
Kariakoo
Kibamia_juice
Watengenezaji na wauzajibwa juice za matunda mbali mbali..
Est: 2020,
Kigamboni darajani
Afya ni mtaji
Bidhaa za Kutibu na kuondoa changamoto zote za Afya... ikiwemo..Pressure, Vidonda vya tumbo, Uzazi kwa ujumla mke &mume, cancer (saratani) ,Mifupa na mengineo
Est: 2020,
shayosalome7@gmail.com
Culture and accessories
Nauza bidhaa zote kwaajiri ya sherehe mbali mbali hata kuvaa popote.niko dar mbagala
Est: 2017,
Mbagala
Bests Cars Tanzania
Wauzaji wa Magari na vifaa vya Magari, imported na yaliyopo Tanzania.
Est: 2020,
Kunduchi Mtongani
furniture
Tunatengeneza furniture pamoja na kurepair furniture zote karbun sana.. 0786468111
Est: 2020,
sinza
VIPODOZI ASILI
Vipodozi hivi vinatengenezwa kiasili havina Chemical,
Vinaweza kutumiwa na watu wote na jinsia zote.
Havina madhara kwa mtumiaji.
Tuna-:
LOTION YENYE CREAM
LOTION ISIYO NA CREAM
SCRUB
SABUNI
SHAMPOO
STEAMING
CASTOR OIL
VITAMIN E SERUM
TUPO TABATA KIMANGA NJIA PANDA
SIMU NO.0713145135
WHATSAPP NO.0684901331
DELIVERY IPO KULINGANA NA SEHEMU ULIPO
Est: 2020,
Tabata Kimanga
chupi_nzuri_center
Chupi aina zote, Boxer aina zote, Taiti aina zote pia kuna Night dress,Brazia single full Brazia,Sinlend,Bwanga,Stocking nk
Est: 2017,
fredrickmrema9@gmail.com
Jojoz beauty salon
Tunatoa huduma za kusuka,make up kwa maharusi na watu wa kawaida na pia tunaset nywele
Est: 2016,
Jojoz beauty salon
Ramso_jhr-Collection
WAUZAJI WA NGUO JUMLA NA REJAREJA
NO refund (exchange allowed)
Delivery mikoani na nje ya nchi kwa uaminifu
Est: 2015,
Shimoni k.koo
Korosho
Nauza korosho jumla na rejareja,1kg 18000,nipo dar natuma popote karibuni.0714950606,delivery unalipia
Est: 2020,
Kituo kinaitwa chama
JITIBU NA DR.MAPANDE
Matibabu ya magonjwa sugu kama presha, kifafa, vidonda vya tumbo,ngiri, pumu nk
Est: 2017,
jipimeafya@gmail.com
Emman IT solution
computer repair | network | CCTV
software installation | web design
Computer spare & home services
Est: 2020,
emmandavid92@gmail.com
Wallpaper za simu
Habari
Jipatie wallpapers za simu zenye kuvutia zinasaidia kupunguza matumizi ya chaji ya simu yako na pia kuipa muonekano wa kuvutia.
Wallpapers hizi unatumia kama
•lockscreen wallpaper
•Homescreen wallpaper
•Chat wallpaper n.k
Est: 2020,
Kimara
FELANO ELECTRONICS
Wauzaji wa vifaa vya elektroniki kama computer, laptops,radio,TV, vifaa vya jikoni na gadgets ndogo ndogo.
Est: 2017,
Ubungo njia panda ya chuo kikuu
Tircky Bussnes
Tuuza vifaa vya video production vya haina zote na vyakisasa pia tunatoa huduma ya upigaji picha za mnato na jongeo.
Est: 2010,
kinondoni studio
Samara Oils
Ni watengenezeji wa mafuta ya nazi yenye ubora na kwa bei rahisi..pia tunatengeneza coconut body butter,coconut hair food,coconut shower gel,coconut shampoo,coconut bar soap
Est: 2017,
kwa Nyerere
Neha Smart Collection
Tunauza bidhaa kama nguo za kike na kiume,pochi,viatu na vijora
Est: 2019,
Online
safe cleaness
Tunauza bidhaa za usafi wa majumbani zisizo na kemikali
Est: 2020,
dycharity266@gmail.com
Uriel safe price shop
Ninauza lotion, nguo za wanawake za mtumba kuanzia 500, nguo za watoto na mambo ya urembo wa wanawake kwa ujumla.
Est: 2019,
Nunua mtumba kuanzia mia 500