Dar es Salaam • Tanzania

Orodha ya Biashara

Biashara ndogo na za kati ndani ya jiji la Dar es Salaam

Filter Biashara

Please sign in to add your business profile to this directory.
All Businesses Page 26 of 70
LillyDs cakes

Tunatengeneza keki za birthday, graduation, kipaimara

Est. 2020 Mbezi beach kwa zena
FineCollection

High heels & fashion

Est. 2019 FineCollection
HATIKUKU

Habari,karibuni sana wateja tunajiusisha na uuzaji wa kuku,vifaranga va chotara na hata broiler pia tuna jenga mabanda ya kisasa ambayo unaweza kufuga kuku wengi katika eneo dogo karibuni sana.

Est. 2019 Kwa msangi
plumbing service

MIFUMO BORA YA MAJI SAFI PAMOJA NA MAJI TAKA KWENYE JENGO LAKO

Est. 2015 ukonga markaz
CLASSIFIED FARM

WAUZAJI WA KUKU WA KIENYEJI NA MAYAI YA KIENYEJI

Est. 2019 Goba
mchaganaduka

Electronics, Bakery/Hotel/Restaurant items & All furnitures -High Quality, Reliable & Affordable products/services.

Est. 2021 aggrey na likoma
Joseph magodoro na vitanda

Nauza magodoro na vitanda vya chuma mbao pamoja na vya sofa. Magodoro Aina zote

Est. 2019 Joseph magodoro
private

Vitu mchanganyiko

Est. 2020 0653670252
Archiez Beauty Bar

Bidhaa za mwilini.

Est. 2016 Sinza
Clevers baking powder company limited

Tuzalisha baking powder kwaajili ya ya bekary za mikate maandazi keki.

Est. 2020 Temeke pire
mwana msusi

nasuka mitindo yote ya nywele

Est. 1999 nomino/street (dar es salaam
furniture

mwaisoloka@gmail.com

Est. 2001 0624001754
Agnessantony4

Online & delivery shop...popote nakufata Kwa hapaa mjini Ila Tu Kwa GARAMA za mteja..MKOANI natuma Kwa bus. Karibuni

Est. 2016 Kimara suka bwawani
furniture

napatikana keko, Mwaisoloka@gmail.com

Est. 2010 0624001754
Baraka Gadgets

Mobile phone accessories and gadgets

Est. 2021 Online
phone and phone accessories

nauza iphone original pamoja na vifaa vya cm kama covers (phone case) charge earphones and earpods screen protector kwa bei rahisi

Est. 2019 kariakoo
Health consultant & nutrients

Nawasaidia watu wenye changamoto mbalimbali za kiafya Kama vile afya ya uzazi, meno, uzito mkubwa (uliopitiliza), na kuusafisha mwili kwa ndani n.k

Est. 1978 Makumbusho, Dar es salaam
mult auto company

ununuzi ,uagizaji na uuzazi Wa magari

Est. 2020 sokoni
Kings transport

tunasafirisha mizigo isiyozid tani 10 ndani ya tanzaniaa

Est. 2018 kings transport
fundi urembo

Kutengeneza madirisha,nguzo,kona,na michoro kwa kutumia mchanga na cement

Est. 2010 madale
Mabembea ya kisasa

Tunatengeneza mabembea ya dizainizote pia tunauza yalikokotayari napia tunapokea Oda

Est. 2015 Kinyerezi shule
Dstv sell

Offa offa Jiunge na kisimbuzi chako cha dstv kw sh 79000tu Upate kuunganishwa na kifurushi chako cha family mwezi mzima bure Ufundi sh 20,000 Usafir ni bure popte Ulipo ndani ya dar es salaam tunakuletea mpka mlangoni kwako malipo baada ya kufungiwa

Est. 2021 Tabata bonyokwa
MO-SEJ ENTERPRISE COMPANY

Mjasiria mali mdogo mdogo wa uzalishaji mafuta halisi ya alizeti

Est. 2020 Gongolamboto
Wizy_magari_tz

Car dealer

Est. 2017 Magomeni Mapipa
Mom Francesco Delights

Tuna tengeneza cakes za all occasions kama Graduation Birthday Engagement Wedding & Sendoff

Est. 2021 Salasala Little Star
Cornwell Tanzania Naturopathic Clinic

Visit our Clinic at Tanzanite Park Victoria, Dar es Salaam and Kimbiji Kigamboni. We are committed to provide the best natural health care solutions with our own manufactured Natural Medicine and food supplements. Our product are made out of natural substances and not artificial. Our clinical services include: - Full body checkup/Body screening, to find the source of the problem. This enable us to establish the best possible treatment protocol according to your condition. We work with the most modern technology. We treat conditions like: - Diabetes - Blood pressure - Limbs - Musculature - Digestion - Cardiovascular system - Hyper/Hyperthyroidism - Stroke and related disorders - Stress related disorders - Allergies - Addictions - Infertility - Hormonal disorders - Prostate enlargement - Urinary tract infection (UTI) - Pelvic Inflammation Disease(PID) - Men`s weakness - Arthritis - Kidney and liver disorders - List not exhaustive please request if your condition is not listed We practice> TENS-Therapy, Acupuncture, Cupping, and other treatment methods of Traditional Chinese Medicine (TCM), Naturopathic Treatments, Naturopathic Nutritional and other Holistic methods of Treatments. Our German and Tanzanian Medical Naturopathic Doctor`s will help you to find the solution on any medical health condition. Cornwell Tanzania Naturopathic Clinic together with Brinkmann Institute we offer short and long courses in Alternative Medicine, Integrative Medicine and Complementary Medicine Anatomy/Physiology/TCM 4years Anatomy/Physiology/Naturopathic Medicine 4years TCM 2years Naturopathic Medicine 2Years Nature Pharma 3Month Reflexology 1Month Iris Diagnostics 1Month Ear Acupuncture 1Month Long course start in January 2021. Short course Started since July 2020 visit our office at Tanzanite Park Victoria Bagamoyo Road for more information. Or contact us on whatsapp We are a company that strives to create an environment of safety and efficiency by providing services and products that are unique and without the backlashes of the usual conventional means.

Est. 2021 Victoria Tanzanite Park gorofa ya pili
ZENJ HR CONSEIL

it is HR firm which dealing in giving expert advice or consultation in all Human Resources related topics

Est. 2019 Peace Area,
VIWANJA

TUNAUZA NAKUKOPESHA VIWANJA VILIVYOPIMWA VINAPATIKANA CHANIKA MBEZI YAKIMARA & MADALE MBOPO VIPOSEHEMU ZURI KWAMAKAZI HUDUMA MUHIMU ZAKIJAMII ZINAPATIKANA BEI ZETU CHANIKA 20*20 KUANZIA MIL 2 HADI 3 MBEZI 20*20 KUANZIA MIL 5 / 6 & 7 MADALE MBOPO 20*20 MIL 4 UKUBWA UPOMBALIMBALI 20*20 20*40 40*40 UNAPATA KULINGANA NAMAHITAJI YAKO Cont: 0716 260263 Wsp +255 716 260263 Follow insta @mchomvu_dullah

Est. 2021 mbezi yakimara
*DALALI HUSSEIN MAPINGA* *REAL ESTATE SERVICE AGENT*

REAL ESTATE SERVICE AGENT ~>HOUSE RENT ~>APARTMENTS ~>PLOTS ~>HOUSE SALES

Est. 2016 DALALI HUSSEIN MAPINGA
HATUNA BEI HOME STYLISH

Tunafanya gypsum decorations za haina zote na tv cabinet and unit za haina zote pia tuna tengeneza na kuuza fenicha za haina zote ( vitanda, meza, makabati nk )

Est. 2019 kariakoo ndogo
double s cleaners

ni wauzaji wa bidhaa za usafi,tunasafisha sink ,tiles, sofa,mazulia,nguo,tunasafisha nyumba nzima,ofis,hotel,nk.kwa kutumia bidhaa zetu matokeo ni =

Est. 2020 kivule
Mkonyole Online Store

DUKA LETU NI ONLINE TU Tunauza bidhaa mbalimbali Kuanzia mavazi Bora ya kike, kiume, watoto, viatu aina zote, mashuka, mapazia, neti za mbu, vifaa vya michezo na mazoezi, vipodozi, vyombo vyote vya ndani, mashine za aina mbalimbali kama vile popcorn n.k.

Est. 2020 ONLINE STORE
Yuda Breylee

Yudajoseph@gmail.com

Est. 2015 yudajoseph@gmail.com
frenki mushi

shous dizaina zote

Est. 2018 MziMbazi bi
New Machozi Troupe

newmachozitroupe@gmail.com

Est. 2020 0758453195
Marcgenius furniture

Tunatengeneza na kuuza thamani za majumbani pamoja na maofisini kwa jumla na rejareja

Est. 2018 Mtaa wa hananasifu
MK KATONDO PRODUCT

Usafi wa majumban,maofisin,na watu binafsi

Est. 2020 kelvicleo@gmail.com
Bike

Cash

Est. 2020 Kibo
Chef Nagib Cakes

Mimi ni mpishi wa cake napika cake za harusi birthday party send off kitchen party

Est. 2020 Nomino street Alimaua
Furniture

Natengeneza furniture kwa bei nafuu zaidi zenye uimala usafili bure

Est. 2015 Kisiwani