Dar es Salaam · Tanzania

Matangazo ya Biashara

Taarifa na matangazo ya wafanyabiashara ndani ya jiji la Dar es Salaam

🔐
Please sign in to post updates about your business.

Filter Feeds

Latest Updates Page 109 of 164
Dagaa wa nyama au UONO ( Zanzibar)
Dagaa wa nyama au UONO ( Zanzibar)
Est. 2020 14 Jun 2020 · 09:28

FURSA KWA WAFANYA BIASHARA Karibu ujipatie Dagaa was nyama kw Bei ya jumla na rejareja. Jumla kilo 6500 kuanzia kilo 50 Ndoo ndogo elfu 30 tu Ndoo kubwa ( Debe) elfu 50 tu. Sado elfu 10 Rejareja kilo elfu 7500 delivery NO.0687437967 AU 0659988432. MIKOANI TUNATUMA MZIGO .

Peramiho Sausage by Anandi
Peramiho Sausage by Anandi
Est. 2015 14 Jun 2020 · 08:30

Sausage tamu kutoka Peramiho Songea karibuni sana.

Reewards Freelancers
Reewards Freelancers
Est. 2017 14 Jun 2020 · 02:45

Tuamini tukuhudumie

@fantasy_beauty_parlour
@fantasy_beauty_parlour
Est. 2020 14 Jun 2020 · 02:05

Chagua kuwa na rangi moja mwili mzima acha kupaka mafuta makali yanayo aribu urembo wako kwanini uendelee kuteseka na sugu, weusi kwenye macho,,na wekundu kwenye mashafu eti kwa sababu tu unapaka CREAM kali ili ungae aya sasa njoi tukupe siri ya kuwa mrembo bila kujichubua bila kupata MAKUNYAZI usoni @fantasy_beauty_parlour Lucyfansy Mhanza Fransisca Daniely kwenye izi page utapata sululisho la urembo wako tupigie sasa tukuudumie 0744066965 TUNAITAJI MAWAKALA WA MIKOA NA SEEMU MBALIMBALI KAMA UPO SERIOUS TUPIGIE SM TUKUPE MAELEKEZO 0744066965 NA KILA WAKALA TUTAMTANGAZA KWENYE PAGE ZETU ZOTE KUANZIA INSTAGRAM MPAKA APA FACEBOOK Karibuni sana @fantasy_beauty

BF SUMA PRODUCTS
BF SUMA PRODUCTS
Est. 2020 13 Jun 2020 · 23:56

Zile fangasi na UTI sugu Kwa wanawake sasa zimepata suluhisho itumie leo femicare Kwa tiba ya uhakika KUMBUKA UTI NA FANGASI ZISIPOTIBIWA MAPEMA HUWEZA KULETA UGUMBA Dawa hii utaipata Kwa 35000 Kwa maelezo zaid piga 0654276649

F R SIGN
F R SIGN
Est. 2013 13 Jun 2020 · 23:20

kwa wenye kuhitaji kofia za kijanja karibuni 0620449421 F R SIGN

fredi Furniture
fredi Furniture
Est. 2020 13 Jun 2020 · 22:46

sitend za mauwa tunatengeneza kwa bei pow 0673039863

fredi Furniture
fredi Furniture
Est. 2020 13 Jun 2020 · 22:45

mez ya chakula tunatengeneza kwa bei pw sana 0673039863

fredi Furniture
fredi Furniture
Est. 2020 13 Jun 2020 · 22:44

coffee table kali sana tunatengeneza kwa bei pow 0673093863 kutupata WhatsApp

vivajr shoesstore
vivajr shoesstore
Est. 2019 13 Jun 2020 · 19:57

viatu vya ngozi grade 1 vinapatikana kwa ofa ya punguzo la 5%(classic leather shoes available with 5% decrease offer)

vivajr shoesstore
vivajr shoesstore
Est. 2019 13 Jun 2020 · 19:54

vivajr shoes store tunauza viatu vya kiume na vya kike kwa lika zote.(vivajr shoesstore we are selling mens and womens shoes based on sneakers and leather shoes of all ages.)

F R SIGN
F R SIGN
Est. 2013 13 Jun 2020 · 06:41

awords za mezani hasa kwenye office karibuni sana 0620449421

F R SIGN
F R SIGN
Est. 2013 13 Jun 2020 · 06:40

tunakata maua kwenye MDF material.karibuni sana

aifola_collection
aifola_collection
Est. 2020 13 Jun 2020 · 05:55

Nguo za kijanja utazipata kwa @aifola_collection Kinondoni Vijana call/WhatsApp 0718044393 Delivery ipo #rembekanaaifola

aifola_collection
aifola_collection
Est. 2020 13 Jun 2020 · 05:40

Karibu @aifola_collection kwa mahitaji ya nguo nzuri pamoja na urembo wote Duka lipo Kinondoni Vijana Delivery ipo na mikoani tunatuma Call/WhatsApp 0718044393 #rembekanaaifola

Abby Lishe
Abby Lishe
Est. 2018 13 Jun 2020 · 00:44

jipatie unga Safii WA Lishe kwa familia yako. unga wetu unamchanganyiko wa viazi Lishe, mbegu za maboga mahindi Lishe na mchicha Lishe.KG1-5000/tu tupigie 0719478838/0787567759 tupo Tabata kimanga stendi

Fundi majiko ya gesi
Fundi majiko ya gesi
Est. 2019 12 Jun 2020 · 22:37

Mafiga mapya ya Nikai karibu bei n tsh 10000 moja

Fundi majiko ya gesi
Fundi majiko ya gesi
Est. 2019 12 Jun 2020 · 22:34

Nauza jiko zuri la gesi linawaka vzuri mnoo Pia narepair na kuuza vifaa vyote vya majiko ya Gesi karibu nikuhudumie

Eiman Food Point
Eiman Food Point
Est. 2020 12 Jun 2020 · 13:56

unga wa almond available. tunauza kuanzia gram 100 tsh 6000 robo 15000.hadi kilo 42000 Unga wa karanga Lozi au Almonds karanga za kwenye mti. 1. Una kupatia mafuta mengi ya Omega 3 yanayotibia na kukinga na Unene,Homoni kuvurugika, Presha kali, Pumu ya kifua na ngozi. 2. Unatumika ku boost shughuli za mwili na kujenga mwili. Una madini na vitamin zakutosha kama madini ya Mgnesium ambayo husaidia kushusha hata presha ya mtu kama kali sana, Misuli kukakamaa, nk. Pia Zinc selenium vitamins A,D E na K ambavyo husaidia kusafisha sumu mwilini yaani Free radicals. 3.Unatumika kutibia magonjwa ya Lishe kama Kisukari,Shinikizo la damu, Nguvu za kiume, Pumu ya kifua na ngozi,Homoni ,Kitambi nk 4. hujenga afya ya mtoto na kumfanya anawiri awe na uzito usiokithiri, ngozi nzuri na kuongeza hamu ya kula.

Eiman Food Point
Eiman Food Point
Est. 2020 12 Jun 2020 · 13:53

Je, una mtoto ambae ana changamoto ya kuongezeka uzito! hapendi kula na ungependa mwanao awe na afya na kunawiri! karibu @eiman_food_point tumekuletea wewe mama mtoto unga wa mbegu lishe ambao ni mchanganyiko wa korosho, rozi(almond) na pistachio. mchanganyiko huu utampatia mtoto Nutrition za kutosha na kuongeza uzito usio na madhara. order sasa mixed nuts umpatie mtoto wako afurahie chakula na kujenga afya. #ComeToUsAndDoubleYourAppetite

Eiman Food Point
Eiman Food Point
Est. 2020 12 Jun 2020 · 13:51

Mama mjamzito unatakiwa uanze kuandaa mwili wako kwa ajili ya kunyonyesha, @eiman_food_point tumekuletea unga wa mbegu za maboga wenye mchanganyiko wa pilipili mtama. tumia huu unga kabla na baada ya kujifungua kuupa mwili afya na virutubisho vya kutosha , matokeo yake! utapata kiwango kikubwa cha maziwa (milk supply) na maziwa yanakua mazito, mtoto anakunywa anashiba. kunyonyesha miezi sita bila kumpa mtoto chakula inawezekana. #ComeToUsAndDoubleYourAppetite #HaibaguiHaichagui

Malaika Kitchen Empire
Malaika Kitchen Empire
Est. 2020 12 Jun 2020 · 09:07

Sufuria non stick utazipata kwetu Tupigie uletewe kokote

Malaika Kitchen Empire
Malaika Kitchen Empire
Est. 2020 12 Jun 2020 · 06:49

Very nice Hotpot ,available at our shop , Give us a call

Malaika Kitchen Empire
Malaika Kitchen Empire
Est. 2020 12 Jun 2020 · 06:46

Dispenser hii inapatikna dukani kwetu

Malaika Kitchen Empire
Malaika Kitchen Empire
Est. 2020 12 Jun 2020 · 06:39

Serving dish za uhakika kwa bei ya 280,000 tu za kitanzania

fredi Furniture
fredi Furniture
Est. 2020 12 Jun 2020 · 05:51

tunatengeneza fimbo za pazia nzur kwa bei pow sna tupo mbezi beach kutupata 0673039863

Sina products
Sina products
Est. 2018 12 Jun 2020 · 02:47

Karibu ujipatie asali mbichi na korosho safi

Allmac Tanzania Ltd
Allmac Tanzania Ltd
Est. 2020 11 Jun 2020 · 21:43

Karibu jipatie bidhaa zetu kwa bei nafuu sana 0714333882

Allmac Tanzania Ltd
Allmac Tanzania Ltd
Est. 2020 11 Jun 2020 · 21:42

Karibu jipatie bidhaa zetu kwa bei nafuu sana 0714333882

Allmac Tanzania Ltd
Allmac Tanzania Ltd
Est. 2020 11 Jun 2020 · 21:30

Jipatie Unga wa mikanda na fiber glass kwa bei nafuu sana 0788593334

Allmac Tanzania Ltd
Allmac Tanzania Ltd
Est. 2020 11 Jun 2020 · 21:27

Jipatie Unga wa mikanda na fiber glass kwa bei nafuu sana 0788593334

Allmac Tanzania Ltd
Allmac Tanzania Ltd
Est. 2020 11 Jun 2020 · 21:24

Karibu jipatie bidhaa zetu kwa bei nafuu sana 0714333882

fredi Furniture
fredi Furniture
Est. 2020 11 Jun 2020 · 20:41

tunatengeneza fimbo za pazia nzur kwa bei pow sna tupo mbezi beach kutupata 0673039863

fredi Furniture
fredi Furniture
Est. 2020 11 Jun 2020 · 20:39

tunatengeneza fimbo za pazia nzur tupo mbezi beach kutupata 0673039863

fredi Furniture
fredi Furniture
Est. 2020 11 Jun 2020 · 20:37

tunatengeneza grill za kisasa tupo mbezi beach kutupata 0673039863

DAR EAST FIRM INVESTMENT
DAR EAST FIRM INVESTMENT
Est. 2016 11 Jun 2020 · 09:47

Jipatie Unga Wa Sembe Na Dona Chapa DEFI Kwa Bei Ya Jumla ....Ujazo Ni 25Kg Na 5Kg Contracts Us 0713573756

Nassor sheikh
Nassor sheikh
Est. 2019 11 Jun 2020 · 06:42

Mazulia original kutoka turkey ?? dar es salaam free delivery

Nassor sheikh
Nassor sheikh
Est. 2019 11 Jun 2020 · 06:41

Mazulia original kutoka turkey ?? dar es salaam free delivery

Nassor sheikh
Nassor sheikh
Est. 2019 11 Jun 2020 · 06:41

Mazulia original kutoka turkey ?? dar es salaam free delivery

Ally Auto Garage spare part
Ally Auto Garage spare part
Est. 2010 11 Jun 2020 · 06:06

welcome mivinjen auto garage kwaitaji ya fundi umeme tupigie no 0746667199:07171035247