Matangazo mbalimbali ya wafanyabiashara wadogo na wakati Dar
You need to login to be able to post your things about your business


Lulu Business Est: 2021 - 9/8/2021 5:43:19 AM
Oda ya saa zenye decor kwa Tsh.30,000/=

➡️➡️MRADI KIGAMBONI⬅️⬅️ ✅MWEMBE MDOGO (nyuma ya chuo cha Afya?? ✅✅MRADI UPO KILOMETRE 18 toka FERRY na Km1 kutoka lami HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA KWENYE MRADI WETU KAMA (maji,umeme na barabara) ??SQUARE METRE NI SHILLINGI 10,000 kwa CASH na 15,000 kwa INSTALLEMENT. KARIBU TUIJENGE KIGAMBONI KWA BEI NAFUU SANA ??MTEJA ATAKABIDHIWA HATI YA UMILIKI PINDI TU ATAKAPOMALIZA MALIPO YAKE KWA 100% ??MTEJA ATALIPA ASILIMIA 50% KWANZA KAMA MALIPO NI YA AWAMU NA FEDHA ZITAKAZOBAKI ZITALIPWA NDANI YA MIEZI AMBAYO MTEJA ATAWEKA MAKUBALIANO NA KAMPUNI. MIRADI YETU IMEPIMWA NA IPO MAHALI AU MAENEO YA KUFIKIKA KWA URAHISI. ??KARIBU PLANET PROPERTY kwa ULIMWENGU MWINGINE WA VIWANJA. KWA MAELEZO ZAIDI FIKA OFISI ZETU ZILIZOPO TANZANITE TOWER (mwenge): (ghorofa ya pili). Au wasiliana nasi kupitia nambari zifuatazo. ☎️☎️0715692163

PLANET PROPERTY TUNAO PATIKANA #MWENGE #TANZANITETOWER FLOW YA #PILI KARIBU TUKUPE USHAURI BURE JINSI GANI YA KUMILIKI ENEO LAKO MWENYEW NA KWA GARAMA NAFUU . ?PIA TUNAFWATILIA HATI ZA VIWANJA NA KUFANYA UPIMAJI NA UPATIKANAJI WA RAMANI ZA MAENEO MBALIMBALI KWA GHARAMA NAFUU ZA MTEJA? ???(UKINUNUA KIWANJA KWETU TUNAKUPA HATI BURE).??? ?MALIPO YOTE YANAFANYWA KWENYE AKAUNTI YA KAMPUNI ILIYOSAJILIWA NA KUTAMBULIKA KISHERIA. MALIPO YOTE YANAFANYWA KA NJIA YA BENKI NA SI VINGINEVYO. ?KWA ADHA YOYOTE AU MASWALI YOYOTE USISITE KUTUPIGIA KUPITIA NAMBA ZIFUATAZO. ☎️☎️0715692163 ☎️☎️0693048253

loson kienyeji chicken Est: 2020 - 9/7/2021 5:16:33 AM
kwa mahitaji ya kuku wa kienyeji,mayai,na vifaranga vya umri wowote ule nicheki ....0756302144

magodoro derivery Est: 2015 - 9/6/2021 8:27:55 AM
agiza mzigo tukuletee 0744037298

Mafuta ya alizeti ya kupikia Est: 2021 - 9/5/2021 1:52:42 PM
Mafuta ya alizeti yanapatikana kwa lita 3 na lita 5 la bei nafuu sana 3L kwa Tsh 18,000/- 5L kwa Tsh 30,000/-

Spare parts Est: 2015 - 9/5/2021 1:16:54 PM
Damascus auto spare parts tunapatikana Ilala mtaa wa lindi na shaurimoyo. Tunadill na Nissan Mitsubish pamoja na Toyota vile vile usisahau na Ford. Mizigo tunatuma bila usumbufu na kwa Daresalam utalipiya endapo utapokea mzigo wako ...tunajal wakat... Kwa mawasiliano zaidi... Call.... Whats app... +255714222412

Dazzle art design Est: 2021 - 9/5/2021 12:36:35 PM
Pamba nyumba yako kwa design nzuri za kuvutia =

Dazzle art design Est: 2021 - 9/5/2021 12:24:59 PM
Pamba nyumba yako, ofisi yako kwa michoro mizuri ya kuvutia =

Honeey collection Est: 2021 - 9/5/2021 10:15:19 AM
karibu kuagiza bidhaa China kwa bei nafuu ya kiwandan na kwa uaminifu mkubwa tuko dar mbagara 0748468284 https://chat.whatsapp.com/HHuttqGKwt0JdSUCThd3WN link to join group

Honeey collection Est: 2021 - 9/5/2021 10:12:51 AM
karibu kwenye group la kuoda bidhaa China kwa bei ya kiwandan na kwa uaminifu mkubwa tuko mbagara dar https://chat.whatsapp.com/HHuttqGKwt0JdSUCThd3WN join group

Topfix Solutions Est: 2021 - 9/5/2021 8:20:41 AM
Simu ime crack kwa juu kama inavyoonekana kwenye picha ila inafanya kazi vizuri maelewano ya bei hapo

bertha- trend Est: 2018 - 9/5/2021 7:12:21 AM
shati darizi unalipata kwa 18000 tu Tupo k/koo msimbazi karibu tukuhudumie dar tunafanya delivery na mikoani tunatuma pia watsap namba 0673232420

Usisite kunipigia nikupe ofa yangu maana vitu nivingi nacwezi kuvitoleo maelezo vyote napenda kuwakalibisha ofsini muone vitu mbalimbali

psj motors Est: 2018 - 9/5/2021 4:06:52 AM
*Toyota ist* _*mil 9.5*_ *Year 2003* *Cc 1290* *Kms 97809* *Sport Rims* *Forg lights* *Gar kalii* *Navunja na Gar yoyote* piga 0678307836

Simu used zone tz Est: 2018 - 9/5/2021 3:33:37 AM
Iphone clean used from Dubai Battery healt 100 32 gb

IRA distributor Est: 2020 - 9/4/2021 10:44:23 PM
make your home feel amazing and clean cont 0628066236

IRA distributor Est: 2020 - 9/4/2021 10:41:15 PM
kwanini fridge yako ifubae na in uke cont 0628066236 hata aibu kufungua wagen wakiwepo suluhisho IPO hapa

IRA distributor Est: 2020 - 9/4/2021 10:33:27 PM
kwa 10,000 tu jipatie kwa cont: 0628066236

Enrique_boutiques Est: 2017 - 9/4/2021 5:57:05 PM
Tunaleta nguo za kike kutoka Turkey na USA. whatsapp namba zetu 0684227770

S&O Viungo Est: 2020 - 9/4/2021 3:00:19 PM
Iliki

Jay4 Est: 2021 - 9/4/2021 1:35:31 PM
kwa wale mapiskali na watanashat wanaotaka kunukia mda wote JAY4 tunawaletea perfume za kupima kwa jumla na rejareja hata ukifua nguo inabaki na harufu muruaa karibuni sana tunakuletea popote ulipo

Jay4 Est: 2021 - 9/4/2021 1:34:59 PM
kwa wale mapiskali na watanashat wanaotaka kunukia mda wote JAY4 tunawaletea perfume za kupima kwa jumla na rejareja hata ukifua nguo inabaki na harufu muruaa karibuni sana tunakuletea popote ulipo

Jay4 Est: 2021 - 9/4/2021 1:33:50 PM
kwa wale mapiskali na watanashat wanaotaka kunukia mda wote JAY4 tunawaletea perfume za kupima kwa jumla na rejareja hata ukifua nguo inabaki na harufu muruaa karibuni sana tunakuletea popote ulipo

Jay4 Est: 2021 - 9/4/2021 1:16:25 PM
jipatie mayai ya kienyeji kwa bie poa

Centralpick tour and travel Est: 2020 - 9/4/2021 7:32:37 AM
karibuni zanzibar kwa utarii wa ndani na wa nje unahitaji fungate lako uende zenji karibu ufurahi central piick

Centralpick tour and travel Est: 2020 - 9/4/2021 7:28:55 AM
karibuni zanzibar kwa utarii wa ndani na wa nje unahitaji fungate lako uende zenji karibu ufurahi central piick

magodoro derivery Est: 2015 - 9/4/2021 4:40:38 AM
bed sofa 250000 mwananyamala kisiwan shule ya msingi kwa mawasiliano zaid tupigie kupitia namba 0744037298/WhatsApp namba 0782008563 kalibu sanaaa

bm master plan Est: 2018 - 9/4/2021 4:36:12 AM
fundi side mirro. kwa huduma bola wasiliana nasi 0692048228 tupo magomeni pia huduma inafika popote ulipo ndani ya dar

magodoro derivery Est: 2015 - 9/4/2021 3:55:34 AM
godoro dodoma qfl 5x6 inch 10 kwa bei punguzo hadi 310000 na unaletewa popote ulipo ndan ya dar es salaam malipo ni baada ya kupokea mzigo wako agiza tukuletee kwa mawasiliano zaid tupigie kupitia namba 0744037298/WhatsApp 0782008563

bertha- trend Est: 2018 - 9/3/2021 6:09:52 PM
karibu ujipatie miwan kwa 15000 tu unaweza ukavaa kama urembo au ukaweka lens kwa wenye matatizo ya macho tunapatikana k/koo msimbazi watsap namba 0673232420

bertha- trend Est: 2018 - 9/3/2021 6:05:11 PM
shati Kali unalipata kwa 18000 tu shati zetu ni pure cotton tunapatikana k/koo msimbazi watsap namba 0673232420

bm master plan Est: 2018 - 9/3/2021 5:24:55 AM
fundi tunachonga side mirror za magari /pikipki... office zipo magomeni....call 0692048228

bussconnect Est: 2021 - 9/3/2021 4:43:08 AM
set ya sufuria kwa 60,000 dar free delivery

bussconnect Est: 2021 - 9/3/2021 4:37:52 AM
serving dish ya bati, Tsh 18000 tu. call/WhatsApp 0753260266

bussconnect Est: 2021 - 9/3/2021 4:33:11 AM
serving dish za kishua. Tsh 78000. delivery kwa dar ni bureee

bussconnect Est: 2021 - 9/3/2021 4:30:16 AM
sahani kubwa ya kuservia chakula (serving plate) Tsh 8000 moja

MLOWE DESIGNS TZ Est: 2017 - 9/2/2021 12:39:00 PM
?FOUR BEDROOM HOUSE DESIGNS. ✔MASTER BEDROOM. ✔1,SELF ROOM. ✔2NORMAL ROOM. ✔LARGE SITTING ROOM ✔DINNING. ✔STUDY ROOM ✔KITCHEN & STORE. ✔PUBLIC TOILET. ✔BATHROOM. ✔LAUNDRY ROOM ✔ENTRY VERANDA. ✔KITCHEN VERANDA. ✔BACK VERANDA. 0658399422 WHATS APP /CALL PLOT :500sqm

Chapakazitz Est: 2021 - 9/2/2021 7:23:06 AM
Je! Unatafuta Kazi? Umechoka kukaa nyumbani? Kama ni ndio basi usijali, sisi tupo kwaajili yako. Zipo kazi aina zote kwaajili yako... Kama umesoma utapata kazi, au hata kama hujasoma kazi zipo. Ingia chapakazitz, chagua *Anza kuomba kazi* utaona kazi zote. Chagua kazi unayopenda, kisha tuma maombi. Insta: @chapakazi_tanzania www.chapakazitz.co.tz

seat cavar ,roof,dashbod Est: 2020 - 9/2/2021 4:21:25 AM
kwa nahitaji ya seat cava roof,dashbood na milango kiboko yao Ni hapa ....tupigiie cm popote ulipo tunavita viti vyaki vya gari 0787477784