Dar es Salaam · Tanzania
Matangazo ya Biashara
Taarifa na matangazo ya wafanyabiashara ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Feeds
apple
Chloe fragrance ni wauzaji wa perfume (oil based long lasting perfume) jumla Na rejareja perfume zetu ni original Na zinakaa kwenye Nguo mda mrefu 72hrs pia tunatoa elimu bure kwa Wateja wetu wa jumla jinsi ya kuchAnganya perfume na jinsi ya kutengeza packaging karibuni saana.
ukiitaji fika dukan kwe2 karia koo DSM au wacliana nac kw 0656628591/Whatsapp 0765279146
ni wau zaji wa bidhaa original pia znawarranty ya huakika miaka miwili 2npatkana karia koo DSM au wacliana nac kw 0656628591
Super 10 ni kiboko ya uchafu, ni sabuni ya kusafishia, nyumbani/ofosini, inasafisha tails, masink, oveni, mabafu, kudekia n.k.
Aman_wallpaper_design ni wauzaji wa wallpaper nzuri na quality Wallpaper 20000 Ufundi 15,000 kwa roll GUNDI 10,000 INABANDIKA ROLA 3 #0744255178 =
Damascus auto spare parts tunapatikana Ilala mtaa wa lindi na shaurimoyo. Tunadill na Nissan Mitsubish pamoja na Toyota vile vile usisahau na Ford. Mizigo tunatuma bila usumbufu na kwa Daresalam utalipiya endapo utapokea mzigo wako ...tunajal wakat... Kwa mawasiliano zaidi... Call.... Whats app... +255714222412
hii ni woter
Karibu Zum Driving School upate mafunzo ya udereva. Unachagua muda wako wa kufundishwa kati ya saa 12 asbh mpaka saa 12jioni. Tupo Kariakoo tunakufuata popote. Tupigie 0742901090
Raba nzuri unaipata kwa 35000 tu badala ya 40000. Ukinunua pair tatu unapata na zawadi
SUBARU IMPREZA
SUBARU IMPREZA
SUBARU IMPREZA
vitanda vya chuma design yoyote karibu sana
mageti design yoyote tunafanya kwa viwango vya juu. karibuni
Karibu samwel master Polk tupo dar es Salam mabibo mwisho Chakula chetu nibora sana karibu tukuhudumie kwa bei poa 0762286009
Mtungi na gas yake kwa 28000 tu ukitaka na vifaa vyake 35000
RJ technology tunakufikia popote ulipo ndani ya dar es alaam kwa ajili ya kukupatia huduma ya kutengeneza TV yako kwa ujuzi wa hali ya juu na unadhifu karibu tukuhudumie 0748027706 au whatsapp 0789684224
huduma ya home service inaendelea Rj technology tunakufikia popote ulipo ndani ya dar es salaam 0748027706 au whatsapp 0789684224
moroccan argan oil
CURREN TZS 60,000 HAIPAUKI TAREHE HAINGII MAJI WARRANTY MIEZI 12 FREE DELIVERY KWA DAR
*AIRMAX* *SIZE 41-45* *PRICE 65,000* *LOCATION NARUNGOMBE NA MSIMBAZI* *KARIBUNI*
Epson printer head cable wire l220,380,382,383,386,390,3010,3050,3060,3070,3111,3150 Bado zipo zakutosha,Kokote ulipo zinakufikia, Call/Whatsap :0686886957
wasiliana nasi kupitia 0717933983
house decoration tz niwatengenezaji wa ulembo wa mjumban kwakutumia cement na supa Sina tunapatikana bunju kinondon dsm kwa mawasiliano Zaid tupigie 0717933983
Bluetooth speaker Ni ya kuchaji Tshs 27,000/= Tunatuma mikoa yote kwa gharama nafuu Call: 0686 886 957
Iphone 6s+ 450000 New 1 year warranty Quality with Trust
Tunatoa huduma ya chakula katika sherehe mbalimbali
Usiumize kichwa kutafakari ni kwa namna gani utafanya tafiti yako...tutembelee TCL tutakupa ushauri na msaada wa kitaalamu wa jinsi ya kuanza kufanya tafiti yako mpaka kuhitimisha...Huduma zetu ni Bora na ni za uhakika...wasiliana nasi leo kupitia WhatsApp/Normal calls/sms +255754244452 +255753169110 +255766211979 au tufollow instagram@Tafiti_consult_ltd
Laptop hard drive ipate leo kwa Tshs 60,000 tu. Call/whatsap 0686 886 957
kisonli USB computer and laptop speaker Tshs 22,000 Call: 0686 886 957
HP gaming mouse Tsh 15,000 0686 886 957
Mawasiliano Call/WhatsApp/text 0686 886 957 #Fundi#printer#photocopy#All brand#Epson master#canon#ricoh#kyocera#xerox#Brother
Karibu Chambuso General Supplier uweze kukutana na mafundi wa printer wenye uzoefu na uwezo wa hali ya juu katika kutatua matatizo mbalimbali ya printer yako, pia spea zinapatikana kwa bei nafuu sana bila kusahau tunatoa huduma ya kufata mteja mkoa wowote ule,karibu tukuhudumie Mawasiliano Call/WhatsApp/text 0686 886 957 @chambuso_general_supplier @chambuso_general_supplier #Fundi#printer#photocopy#All brand#Epson master#canon#ricoh#kyocera#xerox#Brother
Printer head cable wire for Epson L220,L380,L382,L386,L455,L555,L655,L3050,L3060,L3070,L3110,L3150, Call:0686886957
Tunatengeneza printer aina zote.Tunakujali na kukuthamini wewe mteja wetu,karibu ofisini kwetu uweze kupata huduma bora kabisa kwa gharama nafuu, pia tunatoa huduma yakufuata mteja mkoa wowote ulee,kama upo mkoani pia unaweza safirisha printer yako hadi ofisini kwetu, tunafika popote ulipo huduma zetu ni za uhakika, karibu tukudumie Fundi#Printer#Copier#Epson#Hp#Ricoh#Kyocera#Xerox
Karibu upate ushauri wa kitaalam wa namna ya kuandaa tafiti mbalimbali za elimu katika ngazi zote au tafiti za biashara...tuna uzoefu wa kutosha na huduma zetu ni za uhakika. Tutembelee leo upate huduma stahiki.
Karibuni ndugu zangu Asali mbichi lita1= 12,000/- nusu lita =6000 lobo lita = 3,000
Kwa Mahitaji ya Viwanja, Wasiliana na Pango Estate Agency. Tuna miradi ya viwanja maeneo Tofauti, Viwanja vyetu vyote Vimepimwa, Unaweza Kulipia Kidogo Kidogo. Call/WhatsApp 0758 672 833
karibu bmm shoes fashion