Dar es Salaam · Tanzania

Matangazo ya Biashara

Taarifa na matangazo ya wafanyabiashara ndani ya jiji la Dar es Salaam

🔐
Please sign in to post updates about your business.

Filter Feeds

Latest Updates Page 45 of 164
SMART DADAZ
SMART DADAZ
Est. 2020 30 Jun 2021 · 02:13

UMEKUA UKIHANGAIKA KUPATA DADA WA KAZI ANAEJITAMBUA BILA MAFANIKIO KARIBU KATIKA KAMPUNI YETU YA SMART DADAZ TUKUHUDUMIE KWA UAMINIFU, TUNATOA HUDUMA YA WADADA WA KAZI ZA MAJUMBANI WALIOPATIWA MAFUNZO YANAYOMSAIDIA KUJITAMBUA NA KUFANYA KAZI ZAKE KWA UFANISI TUNATOA WADADA KWA MKATABA KUANZIA MWAKA1 NA KIWANGO CHA MSHAHARA WA DADA KINAANZIA ELFU80 KWA FAMILIA NDOGO YENYE WATU WAWILI AU WATATU NA LAKI1 KWA FAMILIA KUBWA KUANZIA WA4 NA KUENDELEA. TUNAPATIKANA DSM MWANAGATI KITUNDA TUPIGIE, SMS AU WTSP NAMBA0676070591 AU NJOO WTSP GROUP KWA MAELEZO ZAIDI=G=G=G https://chat.whatsapp.com/HD0AGLYLnGC2w4BJpQgsWt

mm ni fundi wa kunyoosha gari na kupiga rangi. kwamasiriano pg cal 0717035247.

uyo no fundi wa kunyoosha na kupiga rangi kwamasiano piga 0717035247

uyo apo no fundi rangi na kunyoosha gari kwamasiriano yake pig 0717035247

Uuzaji wa hisa
Uuzaji wa hisa
Est. 2016 28 Jun 2021 · 14:11

Jatu ni kampuni inayojishugulisha na kilimo masoko viwanda mokopo kwa sasa tu katika campaign ya uuzaji wa hisa kwa mda wa siku 45 hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Umuhimu wa kumiliki hisa JATU ▪️Kushiriki kwenye miradi ya kilimo ▪️Kupata gawio Kila mwaka ▪️Kupata fursa za uwakala ▪️Hisa za Jatu zinapanda bei kila siku, hivyo unaweza ukauza na kupata faida kwa bei ya juu ▪️Kupata cheti cha umiliki wa hisa na kutumika kama hazina ▪️Mikopo ya kilimo bila rib kutoka Jatu Sacoss na mengine mengi zaidi tembelea www.jatukilimo.com / www.jatu.co.tz NUNUA ZAIDI, UFAIDIKE ZAIDI ?0769238185 ?0782436391 #buku5inatosha

BAN paints center
BAN paints center
Est. 2019 28 Jun 2021 · 14:07

Tunatoa usafiri bure ndani ya dar es salaam. Mikoani tunatuma

fredi Furniture
fredi Furniture
Est. 2020 28 Jun 2021 · 13:04

tupo kwa ajili ya kufanya kazi nzur piga sim 0718048875

fredi Furniture
fredi Furniture
Est. 2020 28 Jun 2021 · 13:03

jipatie kitanda kizur kwa 200000 tu 0718048875

Jumbe nzuri kwenye Tshirts
Jumbe nzuri kwenye Tshirts
Est. 2021 28 Jun 2021 · 12:36

Tunakudizainia vizuri na kukuprintia kwenye Tshirts kali utakayoipenda ujumbe wowote. Hivyo utaweza kupendeza huku umevaa mavazi yenye ujumbe mzuri unaoutaka. Tshirts za rangi zote zipo pamoja na aina yeyote uitakayo.

BIDHAA ZA USAFI
BIDHAA ZA USAFI
Est. 2010 28 Jun 2021 · 10:10

Sabuni kiboko ya uchafu wasiliana nami 0782921680 offer hii isikupite kabisa

BIDHAA ZA USAFI
BIDHAA ZA USAFI
Est. 2010 28 Jun 2021 · 10:08

SUPER 10 ni bidhaa bora ya usafi ambayo inasaidia kuondoa uchafu sugu ,sabuni hii huacha nyumba ikiwa na harufu nzr ya manukato ,njoo ujipatie kwa bei rahisi

zakibeautycollection
zakibeautycollection
Est. 2021 28 Jun 2021 · 00:52

zuchu earrings

FUNDI TILES
FUNDI TILES
Est. 2013 27 Jun 2021 · 20:17

kama unahuitaji wa mafundi =I Tiles/malumalu, peving block ,marble Designs & Rangi WA UHAKIKA AMBAO HUTOJUTIA PESA YAKO Tutafute kwa namba =

FUNDI TILES
FUNDI TILES
Est. 2013 27 Jun 2021 · 20:01

HII NI ZAHANATI IPO KISIWA CHA KWALE < kwa mahitaji ya mafundi Tiles/malumalu, peving block, marble Designs & rangi (tutafute kwa namba zifuatazo) Ni: ?0653998544 ?0693369019 TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM nabei zenu ni nafuu tunawathamini maboss wetu kwa kuwafanyia kazi zenye viwango?

uchimbaji wa visima
uchimbaji wa visima
Est. 2017 27 Jun 2021 · 13:07

Kisima Cha Maji || Water Well || =

car accessories
car accessories
Est. 2021 27 Jun 2021 · 11:07

JM Car music..tunauza security alam redio,natunafunga music system

E classic phone & accesories
E classic phone & accesories
Est. 2021 27 Jun 2021 · 10:50

=%<

E classic phone & accesories
E classic phone & accesories
Est. 2021 27 Jun 2021 · 10:48

KWA SIMU ZOTE =9.Iphone =9. ANDROID

MR MAPIKI PIKI
MR MAPIKI PIKI
Est. 2019 27 Jun 2021 · 02:33

TUNA HUSIKA NA UUZAJI WA PIK PIK USED, BAJAJI USED, PAMOJA NA MAGARI USED =I OFFICE ZETU ZIPO MBAGALA ZAKHEM DAR-ES-SALAAM =IKWA MAWASILIANO ZAIDI NIPIGIEE KWA NAMBA ZIFUATAZO 0787734417 OR 0658332307 MILIKI SASA KWANI BEI ZETU NI ZAKAWAIDA SANA NB TUNA FULL DOCUMENTS ZAKE. =I FOLLOW ME INSTAGRAM MR MAPIKI PIK ILI KUONA KAZI ZANGU ZAIDI @mr_mapik_pik @mr_mapik_pik

Lilies online store
Lilies online store
Est. 2021 26 Jun 2021 · 19:28

Handbags available 38000

Lilies online store
Lilies online store
Est. 2021 26 Jun 2021 · 19:25

Earrings and handbags available delivery ipo juu ya mteja kwa bei rafiki

Furahisha Electronics
Furahisha Electronics
Est. 2021 26 Jun 2021 · 17:00

Iphone 6 plus 300,000/= 64gb used comes with its box and accessories used one month with one year warranty No fingerprint

Furahisha Electronics
Furahisha Electronics
Est. 2021 26 Jun 2021 · 16:49

Samsung S8 Plus 560,000/= Brand new full boxed With all accessories Black,Gold,Maroon and Blue in color Duka letu lipo Makumbusho Bus Stand

d furniture
d furniture
Est. 2015 26 Jun 2021 · 13:36

karibuni d furniture tukuhudumie tupo buza kanisani sofa za aina zote zinatengezwa kwa order pia za kununua zipo ofisini buza kanisani kwa bei nafuu pia kazi inaweza kufanyika nyumbani kwa mteja akitaka karibu

iron Solution and general supply
iron Solution and general supply
Est. 2013 26 Jun 2021 · 13:18

karibu iron solution kwa nahitaji ya furniture zote za chuma na mbao, griils na aluminum,geti tunapatikana kinondoni Biafra na Goba, tufollow kwenye page yetu ya Instagram @iron_solution kwa picha zaidi, kitanda 380,000 dressing table 250,000

asiliproducts
asiliproducts
Est. 2020 26 Jun 2021 · 12:04

Bei yake ni tsh 10,000/= mafuta ya ubuyu, mafuta ya mbegu za maboga, mafuta ya mnyonyo na Mafuta ya Mlonge

Scentscity store
Scentscity store
Est. 2020 26 Jun 2021 · 07:35

Deodorant ya kuondoa harufu mbaya kwenye viatu sasa inapatikana kwa TZS 10,000 tu

Bliga Courier Services
Bliga Courier Services
Est. 2020 25 Jun 2021 · 09:10

Tupigie sisi kwa namba 0787461006 kuajili ya huduma ya delivery kwa bei ndogo sana.

HALA International Agency Ltd
HALA International Agency Ltd
Est. 2019 25 Jun 2021 · 03:47

HALA International Agency Ltd is a growing commercial cleaning and fumigation services provider located in Dar es Salaam Tanzania. We provide a range of cleaning services for commercial and industrial clients and we also work along with real agents in order to arrange end of lease clean ups for residential properties. HALA International Agency Ltd brings a fresh and professional approach to cleaning and fumigation services our goal is to exceed the expectations of every client by offering outstanding customer service, exceptional quality, and add greater value for the service. You are kindly reminded to submit your order on time and get immediate services on time

TRUST PROPERTIES
TRUST PROPERTIES
Est. 2021 25 Jun 2021 · 03:02

Viwanja vya makazi vinapatikana Kigamboni Mbutu Viko karibu na huduma zote za jamii Malipo ni kwa miezi 18 Call/Whatsapp 0656 490 496

TRUST PROPERTIES
TRUST PROPERTIES
Est. 2021 25 Jun 2021 · 02:59

Viwanja vya makazi vinapatikana Kigamboni Buyuni ni beach plots Bei ni Mil 6 kwa kiwanja kimoja Malipo ni ndani ya miezi 12 Call/Whatsapp 0656 490 496

rashidi fundi
rashidi fundi
Est. 2021 25 Jun 2021 · 00:59

finishingi ya comix kwenye nyumba yako nicheki kupitia =

Queens jewellery
Queens jewellery
Est. 2020 24 Jun 2021 · 17:29

Free delivery kwa daressalaam

Luckystar_houseof qualities
Luckystar_houseof qualities
Est. 2021 23 Jun 2021 · 15:04

Karibuni kwa nguo tofauti tofauti za kike Jipatie nguo nzuri na zenye ubora wa hali ya juu kutoka kwetu @Luckystar_houseof qualities

MASHUKA HUB
MASHUKA HUB
Est. 2021 23 Jun 2021 · 08:23

kwashuka nzuri za mtumba nicheki nakulete popote ulipo watsapp 0654708350

rashidi fundi
rashidi fundi
Est. 2021 23 Jun 2021 · 08:16

comix safi kwenye nyumba yako nicheki kupitia =

rashidi fundi
rashidi fundi
Est. 2021 23 Jun 2021 · 08:09

comix safi nicheki kupitia =0692778148

Nguo
Nguo
Est. 2018 23 Jun 2021 · 04:38

Kwa kanzu nzur kutoka oman wasiliana na mie kwa no hii 0773486794

Nguo
Nguo
Est. 2018 23 Jun 2021 · 04:37

Vitambaa kwa bei pouwa na mitandio karibun