Matangazo mbalimbali ya wafanyabiashara wadogo na wakati Dar
You need to login to be able to post your things about your business


E classic phone & accesories Est: 2021 - 6/27/2021 10:48:17 AM
KWA SIMU ZOTE =9.Iphone =9. ANDROID

MR MAPIKI PIKI Est: 2019 - 6/27/2021 2:33:41 AM
TUNA HUSIKA NA UUZAJI WA PIK PIK USED, BAJAJI USED, PAMOJA NA MAGARI USED =I OFFICE ZETU ZIPO MBAGALA ZAKHEM DAR-ES-SALAAM =IKWA MAWASILIANO ZAIDI NIPIGIEE KWA NAMBA ZIFUATAZO 0787734417 OR 0658332307 MILIKI SASA KWANI BEI ZETU NI ZAKAWAIDA SANA NB TUNA FULL DOCUMENTS ZAKE. =I FOLLOW ME INSTAGRAM MR MAPIKI PIK ILI KUONA KAZI ZANGU ZAIDI @mr_mapik_pik @mr_mapik_pik

Lilies online store Est: 2021 - 6/26/2021 7:28:21 PM
Handbags available 38000

Lilies online store Est: 2021 - 6/26/2021 7:25:56 PM
Earrings and handbags available delivery ipo juu ya mteja kwa bei rafiki

Furahisha Electronics Est: 2021 - 6/26/2021 5:00:47 PM
Iphone 6 plus 300,000/= 64gb used comes with its box and accessories used one month with one year warranty No fingerprint

Furahisha Electronics Est: 2021 - 6/26/2021 4:49:21 PM
Samsung S8 Plus 560,000/= Brand new full boxed With all accessories Black,Gold,Maroon and Blue in color Duka letu lipo Makumbusho Bus Stand

d furniture Est: 2015 - 6/26/2021 1:36:27 PM
karibuni d furniture tukuhudumie tupo buza kanisani sofa za aina zote zinatengezwa kwa order pia za kununua zipo ofisini buza kanisani kwa bei nafuu pia kazi inaweza kufanyika nyumbani kwa mteja akitaka karibu

iron Solution and general supply Est: 2013 - 6/26/2021 1:18:51 PM
karibu iron solution kwa nahitaji ya furniture zote za chuma na mbao, griils na aluminum,geti tunapatikana kinondoni Biafra na Goba, tufollow kwenye page yetu ya Instagram @iron_solution kwa picha zaidi, kitanda 380,000 dressing table 250,000

asiliproducts Est: 2020 - 6/26/2021 12:04:44 PM
Bei yake ni tsh 10,000/= mafuta ya ubuyu, mafuta ya mbegu za maboga, mafuta ya mnyonyo na Mafuta ya Mlonge

Scentscity store Est: 2020 - 6/26/2021 7:35:49 AM
Deodorant ya kuondoa harufu mbaya kwenye viatu sasa inapatikana kwa TZS 10,000 tu

Bliga Courier Services Est: 2020 - 6/25/2021 9:10:04 AM
Tupigie sisi kwa namba 0787461006 kuajili ya huduma ya delivery kwa bei ndogo sana.

HALA International Agency Ltd Est: 2019 - 6/25/2021 3:47:50 AM
HALA International Agency Ltd is a growing commercial cleaning and fumigation services provider located in Dar es Salaam Tanzania. We provide a range of cleaning services for commercial and industrial clients and we also work along with real agents in order to arrange end of lease clean ups for residential properties. HALA International Agency Ltd brings a fresh and professional approach to cleaning and fumigation services our goal is to exceed the expectations of every client by offering outstanding customer service, exceptional quality, and add greater value for the service. You are kindly reminded to submit your order on time and get immediate services on time

TRUST PROPERTIES Est: 2021 - 6/25/2021 3:02:44 AM
Viwanja vya makazi vinapatikana Kigamboni Mbutu Viko karibu na huduma zote za jamii Malipo ni kwa miezi 18 Call/Whatsapp 0656 490 496

TRUST PROPERTIES Est: 2021 - 6/25/2021 2:59:42 AM
Viwanja vya makazi vinapatikana Kigamboni Buyuni ni beach plots Bei ni Mil 6 kwa kiwanja kimoja Malipo ni ndani ya miezi 12 Call/Whatsapp 0656 490 496

rashidi fundi Est: 2021 - 6/25/2021 12:59:57 AM
finishingi ya comix kwenye nyumba yako nicheki kupitia =

Queens jewellery Est: 2020 - 6/24/2021 5:29:07 PM
Free delivery kwa daressalaam

Luckystar_houseof qualities Est: 2021 - 6/23/2021 3:04:54 PM
Karibuni kwa nguo tofauti tofauti za kike Jipatie nguo nzuri na zenye ubora wa hali ya juu kutoka kwetu @Luckystar_houseof qualities

MASHUKA HUB Est: 2021 - 6/23/2021 8:23:42 AM
kwashuka nzuri za mtumba nicheki nakulete popote ulipo watsapp 0654708350

rashidi fundi Est: 2021 - 6/23/2021 8:16:31 AM
comix safi kwenye nyumba yako nicheki kupitia =

rashidi fundi Est: 2021 - 6/23/2021 8:09:35 AM
comix safi nicheki kupitia =0692778148

Nguo Est: 2018 - 6/23/2021 4:38:18 AM
Kwa kanzu nzur kutoka oman wasiliana na mie kwa no hii 0773486794

Nguo Est: 2018 - 6/23/2021 4:37:17 AM
Vitambaa kwa bei pouwa na mitandio karibun

Divine gifts Est: - 6/23/2021 3:45:12 AM
Chocolate bouquet with 6 chocolates @ 22,000|=

D shopping China to Tanzania Est: 2019 - 6/22/2021 1:56:57 AM
Ofa Ofa Ofa pata Silver Crest Blander original kwa 85,000 Ofa ii ni ndani ya siku 7 tuu Wasiliana nasi kupitia +255787816878 +255762279477

Haule furniture Est: 2020 - 6/21/2021 7:13:45 PM
Fufua nyumba yako na haule Furniture

Haule furniture Est: 2020 - 6/21/2021 7:11:44 PM
Ofa kwa jiliyako mteja wetu fufua nyumba yako na haule Furniture

Haule furniture Est: 2020 - 6/21/2021 7:09:27 PM
Pata kitanda kwa bei nafuu kabisa

Haule furniture Est: 2020 - 6/21/2021 7:07:20 PM
Kabati za kisasa kabisa kwa bei poa unapata kwetu

Haule furniture Est: 2020 - 6/21/2021 7:03:47 PM
Tunatengeneza Furniture aina zote za ofisin nyumbana karibuni wateja

UMOJA TRAVEL Est: 2019 - 6/21/2021 4:52:28 PM
Utalii wa ndani na @Umoja_travel Unasubiri nini...?> ....................................... Bata looote ni Tarehe 3/7/2021 ndani ya @nyerere_national_park kwa siku nzima. Wahiiii tumebakiwa na nafasiii chache saana=L ............................................ Twenzeeetu Nyerere_national_park Al maarufu (SELOUS GAME RESERVE) Safari itaanza jumamosi hii ya tarehe 03 July 2021 na tutarudi siku hio hio, unakosaje.=

MASHUKA HUB Est: 2021 - 6/21/2021 9:31:37 AM
shuka mtumba cotton size: 6x6 bei. 25000 karubu saba

DODOMA SUNFLOWER MILLS Est: 2017 - 6/21/2021 4:49:41 AM
Karibuni tunauza mafuta ya alizeti asili kabisa kwa bei nisawa nabure ..... *Rejareja* Litre 5 - Tsh 23,000/= Litre 20 - Tsh86,000/= *Jumla* Litre 5 -Tsh 21,000/= Litre 20 - Tsh 84,000/= (Mashudu pia yanapatikana kwanzia tani 1) ..... Tunapatikana #dodoma call #0714007359/ #0622694134=

Gypsum za kisasa Est: 2014 - 6/20/2021 2:10:29 PM
Ipende nyumba yako mwa kuweka gypsum bora za kisasa ktk nyumba yako, tu follow kwenye instagram yetu @gypsumzakisasa

Daniel Mofulu Est: 2018 - 6/20/2021 1:43:33 PM
Crown athletic Cc 2490 low mileage Pearl White 12.5milion

Daniel Mofulu Est: 2018 - 6/20/2021 12:27:52 PM
engine IKR cc 1200 fungus gar bomba kabisa bei 7m

Daniel Mofulu Est: 2018 - 6/20/2021 11:28:12 AM
raum DK bei 7.5milion full AC

Daniel Mofulu Est: 2018 - 6/20/2021 11:25:50 AM
discovery 2 nzuri sana bei 18.5milion

biashara connection Est: 2011 - 6/20/2021 6:51:21 AM
Samsung friji Tsh 355,000 Dar

biashara connection Est: 2011 - 6/20/2021 6:50:44 AM
Samsung Tv inch 43 Tsh 455,000 0746424265 Mabibo

WAUZAJI WA WALLPAPER Est: 2017 - 6/19/2021 7:16:08 PM
TUNAUZA NA KUBANDIKA WALLPAPER 20,000 UFUNDI 15,000 KWA ROLL GUNDI 10,000 INABANDIKA ROLA 3 #TUNAFIKA ULIPO NDANI YA DSM #0744255178 =