Dar es Salaam · Tanzania
Matangazo ya Biashara
Taarifa na matangazo ya wafanyabiashara ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Feeds
Tunazo pampers wipes pads pia tunazo pampers bkwa ajili ya wat wazima Kwa mawasiliano piga 0717166535
Tsh.10000/= tu unanukia vizuuri perfume hii n nzurii agiza sasa toka kwetu tukuletee mahali popote ulipo buree kabisaa
tunatengeza sofa na kulipea aina zote karbun sana
iPhone 11pro max bei 2400000 full box ?
Karibu Sana, Ofisi zetu ziko mbezi kwa msuguri. Tunauza viwanja vizuri vilivyopimwa. Tunafanya kazi kila Siku. Ukianza Safari ya kuja tujulishe. Garama ya kupelekwa site ni elfu kumi tuu.0659 972868/ 0759 461893
Rangi ya pamba
JE UNATAMANI KUONA VITU VYAKO KAMA -KAVA LA GODORO(MATRES) - SEAT ZA GARI - CARPET -SOFA VINANGAA MUDA WOTE KAMA VIPYA NA HUJUI NINI KITAKUSAIDIA??? EPUKA GHARAMA OKOA MUDA TUNA BIDHAA BORA NA ZINAZOFANYA KAZI BILA KUMWAGIA MAJI VIFAA VYAKO... NDANI YA DAKIKA 45 UTAENDELEA KUTUMIA VIFAA HIVYO KWANI UNATUMIA POVU TU NA VITARUDI KUWA KAMA VIPYA KARIBU UWEKE ODER YAKO KWA SIMU NAMBA 0659794259 POPOTE ULIPO TUTAKUFIKIA
TNY tshet Price 25 Kinondon studio Call 0719786062
Viatu Bei ni 60 ni .org Size 37,38 Kinondon studio Call 0719686062
Wapendwa wakazi wa Dar es salaam, Kigamboni na kote, karibuni sana Tuleeswear- Kigamboni, mnadani mjipatie nguo kali za kike za mtumba, kwa bei nafuu kabisa. Duka linakua wazi kila siku ya jumatatu hadi jumamosi kuanzia saa 8:30 asubuhi mpaka saa 19:00 jioni. Na siku za jumamosi kwa wateja wetu watatu wa kwanza kufika dukani na kununua nguo 2 watajipatia moja buree. Karibuni sana 0742 060910
blender heavy duty inapatikana kwa Bei ya 120000 tu original kabisa Kenwood na silver crest chaguo n lako. ukihitaji nichek kwa 0676324688 watsap au normal text/ call tunakufikishia mpaka ulipo
Karibu Sana, Ofisi zetu ziko mbezi kwa msuguri. Tunauza viwanja vizuri vilivyopimwa. Tunafanya kazi kila Siku. Ukianza Safari ya kuja tujulishe. Garama ya kupelekwa site ni elfu kumi tuu.0659 972868/ 0759 461893
Bima Chapu Chapu..tupigie tukuhudumie au kukupa ushauri kuhusu Bima:tunatoa Bima za Haina zote
Kwa mahitaji ya vyakula mbalimbali utapata kwa haraka.karibu mteja nikuhudumie popote ulipo tunakufikia.Delivery service inapatikana.
mashuka nimazuri sana bei 25000 size: 6x6 mteja akinunua shuka zaidi ya tatu atapelekewa bure popote alipo watsapp: 0654708350
tuna kuletea popote ulipo kwa beii na tunauza jumla na reja reja
shuka mbili foronya nne beii 50k size 6x6 shuka moja foronya mbili beii 25k size 6x6
mashuka high quality kwa beii nafuu
Nauza Mashuka ya mtumba high quality kwa beii nafuu
Nauza mashuka ya mtumba high quality kwa beii nafuu
Hii ni Router ya tofauti na tulizoea, ni Router bora kabisa kwa matumizi ya ofisi au Nyumbani. Hii inakuja na Bettry ndani hupati shida hata umeme ukikatika unaendelea kupata Internet kwa sababu ina betry yake ndani inakaa na charge kwa mda mrefu. na kwa wale wapenda ku download au kucheza online Games hii Router ndio solutions yenyewe. Unapata speed ya Internet bila kukwama Unaipata kwa Tsh 220,000/= Tunapatikana Dsm Mbezi beach Africana 0735907555 au 0757907555
Gojeho Travel: Tunakodisha magari aina zote kwenye Send off,, Harusi,, Kwenye makampuni au Masirika mbali mbali ,,, Tunatoa Huduma zetu kwa ubora karibu tukuhudumie. Kukuhudumia ndio fahari yetu.
FreshAllDay Tshirt new collection available now kwa bei poa kabisa ya TSh 15K tuh
UPDATE YOUR SWAGG KWA KUVAA TSHIRT YA FRESHALLDAY NOW KWA BEI POA KABISA YA 15K ZIPO KILA RANGI NA KILA SIZE NAPOKEA ORDER YAKO YA NDANI YA DAR ES SALAAM NA MIKOANI PIA TUNATUMA WASILIANA NASI KWA 0677203250 KARIBUNI SANA NA ASANTE KWA SAPORT YAKO Copyright@freshallday_brand #FreshAllDay4Life4Ever
Njoo ujipatie viatu vikali na kwa bei poa njoo tukupendezeshe
Mafunzo ya Graphic design. Jiunge na mafunzo ya graphic design. katika kozi hii utajifunza mambo mbalimbali kama kutengeneza vipeperushi, business card, logo, vyeti, mabango, vitambulisho, kava za vitabu, posters, Flayers na mengine mengi. Pia utapewa na offer ya program ya adobe photoshop bure kwa ajili ya kujifunza kwa vitendo.karibu jiunge leo kwa offer ya punguzo la asilimia 50. kwa mawasilisno zaidi piga +255 717850979
Juice Bar ni watengenezaji na wasambazi wa juices na smoothies ain zote, agiza kiasi chochote utakacho na tunafanya delivery free kwa maeneo ya karbu. Tunatengeneza juice na smoothie zenye ubora kwa kujali afya ya watumiajii,wale wa detoxing,weightloss na kadhalika tupo kwajil yenu karibuni sana _Juice Bar
Tunaagiza magari toka Japan/Dubai/UK call/whatsapp 255716384958
DEMT
Available T shirt Kali sana Bei Tsh22000 Size M-Xxxl wtsp#0716347489
Free delivery
Ukinunua ngua kuanzia tatu ndani ya dar unaletewa ulipo buree
Ndani ya dar esalam ukinunua nguo kuanzia tatu tunakuletea ulipo bureeeee
Karibuni Dagaa wa mwanza watamu sana, wametoka ziwani na kukaangwa, unawala kwa ugali, wali hata kuwatafuna tu, nauza kwa package 3000 ila ukihitaji kwa ujazo wa kilo unapimiwa pia karibun sana, unaletewaa popote usafiri unalipia
taa ya IST upande wa kulia ina creck kidogo sana bei ni sh.50000 simu 0769487891 mbezi dar es salaam
Amra products ni wauzaji na wasambazaji wa sabuni za kuogea zisizo na kemikali zinazotumia matunda mbegu na mimea ni sabuni zinazolinda ngozi kwa afya na maendeleo mazuri ya ngozi yako dhidi ya magonjwa ya ngozi
feeding nighties / Dera special kwa ajili ya feeding ina zip na buttons
feeding nighties / Dera special kwa ajili ya feeding ina zip na buttons
karibuni sana kwa kazi nzuri Kama hii kwa bei lafikii
vimebaki viwanja 9 tu. Wahi Sasa uweze kujipatia chako. Bei Ni 17,500/= Wastani wa mil 7+ kwa kiwanja. Malipo yanafanyika ndani ya Miezi 6 baada ya kutangaliza 25%e