Dar es Salaam · Tanzania
Matangazo ya Biashara
Taarifa na matangazo ya wafanyabiashara ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Feeds
Tv showcase ya kisasa.. Bei yake 750,000/= coffee table 400,000/=
meza ya chakula ya viti sita.. ya mbao ngumu (mkongo au mninga) 1600,000/= ya softwood 1100,000/=
kitanda kwa vipimo vyote 6
sofa ya L yenye muonekano mzuri wa kupendezesha seble yako..ina siti za kukalia 7 Bei yake ni 950,000/=
kitanda sita kwa sita full kitanda na droo zake mbili Bei 1200,000/= bila droo side 900,000/=
kitanda kizuri cha sofa kama kinavyoonekana, kinapatikana kwa ukubwa wote YANI 6
sofa ya a kisasa.. seti yake inakuwa ya watu 7 YANI 3+2+1+1 Bei yake ni 2,700,000/= kwa full set
meza ya chakula ya viti nane.. imeundwa kwa mbao,na viti vimechanganywa mbao, godoro na kitambaa.. meza ni nzuri kama inavyoonekana
Tunauza na kubandika wallpaper WALLPAPER 20000 Ufundi 15,000 kwa roll GUNDI 10000 INABANDIKA ROLA 3 #TUNAFIKA ULIPO NDANI YA DSM WALLPAPER BILA FUNDI NI 30000 kwa kila roll #0744255178 ? whatsapp
Toyota coaster on sale engine 1HDT Bei mil.73 WhatsApp 0653489299
Toyota RAV4 Ina sunroof Bei mil 20.5 WhatsApp number 0653489299
Kali ujipatie gali Kali Bei powa kabisa, WhatsApp number 0653489299
karibun kwa pompom stick kwa sh 5000 tu zikiwa 7 kama unavyoziona hapo hupendezesha nyumba yako na ofisi yako na kufanya pawe tofaut na pakuvutia wasiliana nas kwa sim no 0752058898 unaweza pia tuwasap kwa no hio hio karibun sana
stick paperflowers ndo hizo na vase yake kwa gharama ya sh 1000 stick paperflowers na hiyo vase yake ni sh 3000 tu ambayo pia tunatengeneza kwa kutumia paper (manila) karibun sana wapendwa wangu call/whatsp no 0752058898
karibun kwa mapambo ya ndan yaan paperflowers ambayo hupendezesha mahala popote pale ....iwe una shughuli yoyote ama unataka kupendezesha nyumba yako , ofisin,kwa dressing table pale kwa juu, salon na kwa wale pia wa kufanya makeaup majumban pia inawahusu tunabandika kama wallpaper na kufanya kupendeze karibun sana wasiliana nas kwa no 0752058898 tu Call/whatsp
hellow wapendwa karibun kwa stick paperflowers kwa gharama ya sh 1000 tu na vase yake ni sh 30005000 .....stick paperflowers tunatengeneza kwa kutumia karatas za manila na hudumu kwa muda mrefu hapo nyumban kwako unapoyaweka ama mahali popote = = contact no 0752058898 whatsp / call karibun sana..
Kwa Mahitaji ya kuku wa kienyeji Wenye Chanjo kwa Ajili ya kufuga na kwa Ajili ya Nyama usisite kututafuta Tunapatikana Tabata- Bima Na Tabata-Baracuda Tupigie Sasa Tukuhudumie kwa Ukaribu. 0768-685395(Whatsaap) Instagram: Pata_kuku_wa_kienyeji Facebook: Pata kuku wa kienyeji
Karibuni tukupatie mbegu bora za mahindi 0694036646 karibu tukuhudumie.
Kitanda kikali Tsh650
Sofa safi Tsh1.7M set
Tunafanya Delivery free kwa yoyote atakaye Agiza package yoyote Seven days offer only
karibu sana 0710940985
karibu jipatie bidhaa zetu nzuri kwa bei kuanzia elfu tano kwa plate weka order yako 0765291807
Tunauza magodoro ya Aina zote , Spring Orthopedic (wagonjwa wa mgongo) Foam
mkate wa mchele inapatikana piga simu or whats up 0714675707
karibuni amudi furniture 0710940985
Electrical Instillation works kwa Kazi zenye ubora zinazofanywa kwa kuzingatia vipimo Usisite kututafuta mteja kwetu ni mfalme
kwa mifumo Bora ya umeme majumbani na viwandani usisite kututafuta tunatoa ushauri kwa Mteja bila malipo yoyote Kazi zenye ubora zinazofanywa na mafundi makini (professional works)
Price 30.5M Contact/ 0713 580888 Harrier New Model Engine 2AZ Cc 2360 Automatic Petrol Full A/C Dvd player Full Option Sports Rims Imported from Japan Year 2005/6 65,000KM Exchange Allowed Free REGISTRATION Location Dar es salaam
Vitabu vinapatikana kwa Bei punguzo.
Habari Tanzania,niwalewale Mafundi Waliobibea ktk kazi hizi Usisumbuke walakuhangaika kwakutafuta Mafundi wasiokuwa wajuzi na kazi hizi Tunahusika na gypsum board decoration,Sikiming,brandaling,Rangi n.k Kwabei Nafuu Tupigie 0789974091 WhatsApp 0789974091 Tupo jijini Dar es Salaam, Tanzania Popote tunafika na Mkoani tunafika
Habari Tanzania,niwalewale Mafundi Waliobibea ktk kazi hizi Usisumbuke walakuhangaika kwakutafuta Mafundi wasiokuwa wajuzi na kazi hizi Tunahusika na gypsum board decoration,Sikiming,brandaling,Rangi n.k Kwabei Nafuu Tupigie 0789974091 WhatsApp 0789974091 Tupo jijini Dar es Salaam, Tanzania Popote tunafika na Mkoani tunafika
Kampuni ya *BF SUMA* ni kampuni ya kimarekani inayojihusisha na *Utafiti,uzalishaji na usambazaji wa bidhaa za chakula lishe duniani* *BF SUMA* ni kifupi cha maneno yafuatayo *BFSUMA NI?* B- BRIGHT F- FUTURE S- SUPERIOR U- UNIQUE M- MANUFACTURE OF A- AMERICA. *KWA KISWAHILI?* Ni kesho inayongaa kutokana na watengenezaji wa kipekee wa Marekani Kwa nini ni wa kipekee?? Hii ni kutokana na ubora wa bidhaa zake na masharti nafuu KTK kupata bidhaa. Mtu yoyote anaweza kutumia bidhaa za kampuni hii na kupata matokeo chanya. Kwa nini kesho inayongaa??? Hii ni kutokana na mfumo wa biashara ulovyowekwa na kampuni na kuwezesha muuzaji kujipatia faida zaidi ya 7 hivyo kuwa na maisha angavu/ yanayongaa kwa kuwa na kipato endelevu, Tutaona huko mbele? *ILIANZA LINI?* Ilianza mwaka 1993 huko *Marekani* *HAPA TANZANIA ILIFIKA LINI??* Hapa Tanzania ilifika 2012 leo miaka 8 lakini tutaona namna watu walivyobadili maisha kwa maiaka 5 tu *OFISI AFRIKA ZIKO WAPI?* Ofisi Afrika zipo GHANA,CHAD,KENYA, NIGERIA,UGANDA, NAMIBIA,ZIMBABWE, AFRIKA YA KUSINI, CONGO,ZAMBIA,MALAWI SUDAN NA HAPA TANZANIA *OFISI ZA BF SUMA TANZANIA ZIPO WAPI?* Hapa Tanzania ofisi zipo Dar es salaam ( mlimani city ndio makao makuu ya kampuni ) Ubungo, Mbeya, Iringa, Dodoma, Arusha, Tabora, Manyoni, Shinyanga, Kahama, Bukoba,Mwanza na Ngara Kampuni ina malengo makubwa mawili *1.Kuboresha uchumi na kuwa na kipato endelevu* 2. *Kuboresha afya* Kwa nini afya? Kwa sababu palipo na uzima yote huwezekana, huwezi ukawa na pesa huku uko unaumwa au ukawa mzima pesa huna dunia ya sasa ukiwa na pesa,afya na Mungu ,hakika wewe ni mfalme duniani. Hiyo ndiyo maana fupi ya kampuni yetu ya *BFSUMA*. *JE UNATAKA KUJUA NAMNA GANI KAMPUNI INAJIHUSISHA NA AFYA NA KUINUA VIPATO VYA WATU...? ENDELEA KUFUATILIA SOMO HILI HAPO CHINI* Kwa upande wa Afya Kampuni ya *BF SUMA* inazalisha *virutubisho lishe (Food Supplement)* kwa ajili ya kuzuia na kutibu Maradhi tofauti tofauti ndani ya Mwili wa Mwanadamu *MIFUMO YA MWILI AMBAYO KAMPUNI INAZALISHA VIRUTUBISHO* *?* *MFUMO WA MIFUPA NA JOINTS* Hapa huzalisha VIRUTUBISHO vinavyohusika na kuhakikisha Mifupa inakuwa katika hali nzuri wakati wote yaani kuzuia na kutibu Maumivu ya mifupa,kiuno,mgongo na kwenye Joints. ? *MFUMO WA UZAZI* Hapa kampuni inazalisha bidhaa ambazo zitamsaidia *Mwanaume* Na *Mwanamke* katika mfumo mzima wa uzazi Kwa upande wa Mwanaume inamsaidia kuepukana na maradhi tofauti tofauti kwenye uzazi kama vile nguvu za kiume,Ngiri,Tezi dume na kwa upande wa Mwanamke hapa kampuni imejikita katika kuzalisha bidhaa ambazo zitamsaidia kuponywa na kuzuia U.T.I sugu, Fungas,Harufu,Miwasho ? *MFUMO WA KINGA ZA MWILI* Hapa kampuni imejikita kuzalisha bidhaa ambazo zinaenda kuongeza na kuzipa nguvu kinga za mwili ? *MFUMO WA USAFI* Hapa kampuni inajihusisha na uzalishaji wa bidhaa zitakazo kufanya uonekane katika uasilia wako hususani katika ngozi na kinywa. Pia Mifumo Mingine ambayo kampuni inazalisha bidhaa ni ➡ *MFUMO WA MMENGENYO WA CHAKULA* ➡ *MFUMO WA DAMU NA UBONGO* Hizo hapo juu ni Baadhi ya Mifumo ambayo kampuni inazalisha hapa ni katika Kipengele cha Afya. Kwa upande wa *KIPATO* Kampuni inahitaji *Mawakala* ambao watakuwa wanafanya kazi pamoja na Kampuni. *WAKALA ATAPATA FAIDA ZIFUATAZO* ➡ *FAIDA ZA REJA REJA ZOTE NI ZAKE* ➡ *MALIPO YA KILA MWISHO WA MWEZI KULINGA NA KAZI YAKE KUTOKA KWENYE KAMPUNI* ➡ *ZAWADI ZA KILA MWAKA KAMA* *#* Safari za kwenda Marekani,China,Dubai na kwingine kwingi kujifunza na kutalii. *#* Magari (Kwa Tanzania sasa imekwisha Toa magari 22 kwa washindi. *#* Nyumba (Nyumba hutolewa ukifika ngazi ya 11 na 12 kwa sababu kampuni ina vyeo vyake 12 kwa mawakala wake) Pia kuna promotion mbalimbali zinazotolewa ndani ya kampuni. Licha ya hivyo kampuni inatoa Mafunzo bure kwa kila wakala wake. *Malipo* *JE HAYA MALIPO YANATOKEA WAPI...?* Katika kila bidhaa ambayo kampuni inazalisha, kampuni imeweka *POINTS* . Hizi points ndizo zinazo tumika kuhesabiwa kila mwisho wa mwezi na mwaka ili mtu aweze lipwa na kampuni pia uweze pata zawadi za kila mwisho wa mwaka. Hivyo basi kampuni kwa kuthamini Mawakala wake ikaonelea vyema ili kila wakala alipwe pesa nyingi ikaruhusu wakala kutafuta mawakala wengine watano watakao jiunga kwa jina lake ambapo sasa huyu aliyetafuta mawakala hao watano naye atakuwa anapata *FAIDA* kutoka kwa wale mawakala kwa mfano wewe umefanya points 100 kwa mwezi na wale wengine wamefanya points 100 kila mmoja kwa maana kuwa wale watano kwa pamoja watakuwa wamezalisha points 500 ukijumlisha na za kwako zitakuwa points 600 hivyo basi kwa mwezi husika hutolipwa kwa pointi 100 ulizo Fanya Bali utalipwa kwa points 600 ukijumlisha na za wale mawakala uliowafanya wawepo kwenye kampuni vivyo hivyo zawadi za kila mwaka pia zinatolewa kulingana na points ambazo umezifanya wewe na mawakala uliowaleta ndani ya kampuni na mawakala walioletwa na mawakala uliowaleta. Hivyo basi unapokuwa na points nyingi kila mwisho wa mwez
kwa mahitaji ya vifaa vya electronics tv ,radio .friji .food processor, kettle no 0655297947 watsup /call
milango ya chooni tunakutengenezea kwa Bei rais kabixa na kufungiwa kwa huduma Zaid wasiliana nasi 0657255970
tengeneza kwa Bei nafuu na nyumba yako inapendezaa karibu tukuhudumie kwa maelezo zaidi wasiliana nasi 0657255970 popote pale ulipo
Jipatie dawa ya meno bila kungoa, fanya meno yako yangae kwa dawa hii toka BF SUMA PRODUCT dawa hii Inauzwa 20,000/= kipindi hiki cha offa tutakuuzia kwa 18,000/= Wahii mapema kabla offa hii haijaisha
Mwezi huu wa tatu na mwezi wa nne tunatoa punguzo la asilimia 20% kwa bidha zetu wahi sasa ili usipitwe na huduma bora na upate matibabu ya uhakika ili kumaliza tatizo ulilo nalo
<
<