Dar es Salaam · Tanzania
Matangazo ya Biashara
Taarifa na matangazo ya wafanyabiashara ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Feeds
baskeli ya mtumba size 24 tunapatikana ilala karume Machinga Complex tunasafirisha popote Tanzania (gharama za usafiri juu ya mnunuzi) 160,000 tsh. mazungumzo yapo 0715859727
baskeli ya mtumba size 24 tunapatikana ilala karume Machinga Complex tunasafirisha popote Tanzania (gharama za usafiri juu ya mnunuzi) 160,000 tsh. 0715859727
Toyota landcruiser amazon inauzwa engine 1HDT DIESEL price mil 56 contact 0789876783
Toyota hilux inauzwa iko vizur engine 2kd year 2014 diesel price mil 43 contact 0789876783
Katlesi karibuni kuweka oda zenu
Karibuni napokea oda za harusi 1pc 1200 ukichukua nyingi na bei inapungua karibun
Ili kupata gari zuri, lenye ubora na linaloendana na bajeti yako, basi sehemu ni moja tu BAX CORPORATION LTD. Kwa taarifa zaidi Tembelea leo ukurasa wetu wa instagram @baxmotors au tovuti yetu www.baxcorporation.com Tunapatikana . ? TMSC Building, Jamhuri & Upanga Street,?TMSC BUILDING, (Next to Haidery Plaza.) Contact us . ?Call/Sms/Whatsapp Sales Executive: ?+255673 421 421 ======== THE NEXT IS NOW =========
Agiza gari ya ndoto yako na Bax Motors ujipatie offer zifuatazo. ?Usajili bure . ?Plate number bure . ?Service bure ?Fire Extinguisher bure ⛽ Mafuta lita 50 bure ?Triangles bure
Utapata kwa Bei nafuu sana
Toyota hilux double kibin inauzwa iko vizur haina tatizo lolote la kiufundi engine ni 5L diesel year 2014/2015 price mil 36 contact 0789876783
nauza nyumba IPO mbagala chalambe nyumba ya vyumba vitatu viwili master sitting room jiko na inafrem kubwa ya biashara..ukubwa wa eneo ni 40 kwa 27 bei ni mil 40 maongez yapo..contact 0789876783
nauza nyumba IPO kkoo mtaa wa kongo ukubwa wa eneo ni square feet 2500 price mil 650 neg ....contact 0789876783
Tunauza mayai ya kienyeji kutoka singida...,15000Tsh kwa trei moja kwa reja reja na 13500Tsh, Kwa jumla .... karibuni kwa Oda...
EAGLE FASHION DESIGNER kabla ya kushonewa vazi lako tunahakikisha tunashauriana aina ya vazi kulingana na tukio husika Lengo kuu ni kuhakikisha UNAVAA NA KUPENDEZA PIA PIA tuna ofa MC kwa wale wenye sherehe
Eagle fashion designer, huwa tunatoa ushauri namna ya kupangilia uvaaji wako kulingana na tukio husika lakini pia baada ya kushonewa utapata usaidizi kuanzia kiatu,mkanda,aina ya tai na kadhalika Lengo letu NI UVAE NA UPENDEZE
print nasi sasa kwa bei nafuu na ubora wa hali ya juu
FRAMES ZA MIWANI UNAWEZA VAA KM UREMBO AU UKAWEKA LENS 20000 TU DAR UNALETEWA ULIPO 0655297947
min wallet 10000 jumla 8000 kuanzia 3 0655297947 mikoani tunatuma delivery kwa dar
Price 22M Contact/ 0713 580888 Mistubish Outlander Engine Cc 2360 Petrol Automatic Year 2006 Seven Seat Full A/C Full option Imported from Japan Sports Rims Dvd player Free registration Location ( Dar es salaam)
Kalibuni wateja tunaagiza kuuza na kufanya exchange za magari ya aina zote tupo mliman city dar es salaam tupigie au what sapp 0717139333 kufatilia matangazo ya bidhaa zetu Tembelea page zetu kwenye mitandao ya kijamii on instagram use name NICK_MOTORS_ on facebook use name NICK MAGAR kama unataka kuuza gar yako kwa alaka zaidi or kufanya exchange na gar mpya or kuagiza gar contact/ call/what sapp 0717139333 contact 0788003976
kaz saf
karibu amudi furniture ujipatie kabati kwa bei 280000 kabati langua tupigie au. WhatsApp 0710940985
jipatie showcase TV kwa bei poa kabisa 0710940985
NI POPAX SOAP KWA 5000 TU=%=%=% =%INAONDOA CHUNUSI =%INAONDOA MADOA SUGU =%INAONDOA RASHEZ =%INAONDOA MAKUNYANZI =%UNAONDOA MAFUTA USONI =
Kwa maitaj ya furniture za kisasa za chuma na maget madilisha tuchek 0653098688
jipatie sitend ya viatu kwa bei pow sana kalibuni namba 0718048875
Price 25.5M contact /0713 580888 Subaru Foresta(XT) Unregistered (Chasis No) Engine Petrol Automatic Year 2011 Km 89000 2wheel Driver Full A/C New tayre Sports Rims Full option Side Mirror Endicator Location (D,S,M)
Price 45M contact /0713 580888 Rosa Bus Engine 4N50 Diseal Manual Imported from Japan Full A/C New tayre Location (D,SM)
karibu tukutengenezee kwa Bei raid kabisa na kwa material uliyo Bora zaidi pia unaweza tutembelea page zet za Instagram kwa jina @ trademark aluminium co.ltd pia unaweza wasiliana nasi 0657255970 0759127778
Jipatie material safi na yenye kupendezesha nyumba yako , weka chuma zuri isiyo pauka Kwa bei nzuri na nafuu zaidi Jipatie bidhaa bora kutoka kwetu Kama ,milango ,madirisha ,makabati, n.k pia unaweza tengeneza muonekano mzuri wa ofc yako Kwa maelezo na msaada zaidi unaweza tupigia 0657255970 0759127778 Popote pale ulipo Au unaweza tufollow Instagram @trademark aluminium co.ltd
CCTV CAMERA za kisasa kabisa na zenye uwezo mkubwa (2MP, 4MP, 8MP......) kutoka brand maarufu zaidi duniani ( HIKVISION & DAHUA )pia tunatoa huduma ya Intastallaion kwa punguzo kubwa Mikoani pia tunafika Tupigie :0746647254/0652159099 Watsapp :0652159099 Tupo kariakoo, uhuru We provide the best!
tunatengeneza bidhaa bora kabisa za ndani oficen na madukan,kwa bei poa kabisa yenye pungizo aslimia 10, kwa kila mteja, tunapatikana maeneo ya tabata shule,kwa mawasiliano zaid piga cm no 0699337333
tunatengeneza bidhaa bora kabisa za ndani oficen na madukan,kwa bei poa kabisa yenye pungizo aslimia 10, kwa kila mteja, tunapatikana maeneo ya tabata shule,kwa mawasiliano zaid piga cm no 0699337333
tunatengeneza bidhaa bora kabisa za ndani,oficen,na madukan, tunapatikana tabata shule, karibun sana wateja wetu
Cake nzuri tamu na zenye mvuto zinapatikana dreamy party . Karibu tuzungumze kuhusu party yk tukamilishe ndoto yk.
Tell a friend to tell a friend na party bila dreamy party. Tupo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya call. 0628945361
Marylove_beauty_collection tunawakaribisha wateja wetu wa jumla na reja reja, tuna bidhaa zifuatazo:, Vitu vyote vinavyohusiana na kucha, Make-ups, tuna kope og, Lace wig glue na vingine vingi, tembelea page yetu ya Instagram @Marylove_beauty_collection au piga simu no.0672723353 popote ulipo tutakufikishia bidhaa utakayonunua kwetu.
Karibun jinsi kwa bei promoshion kwa bei pow Kama unachukuwa 5nakuendelea ni 19000 rejarej24000
KWA WALE WENYE NGOZ ISIYOSIKIA YAAN MICHUNUS SUGU HII APA KIBOKO YAKO KWA SIKU 5 MATOKEO NJE NJE NI POPAX SOAP KWA 5000 TU=%=%=% =%INAONDOA CHUNUSI =%INAONDOA MADOA SUGU =%INAONDOA RASHEZ =%INAONDOA MAKUNYANZI =%UNAONDOA MAFUTA USONI =
Tunachora picha aina mbalimbali kwenye canvas.