Dar es Salaam · Tanzania
Matangazo ya Biashara
Taarifa na matangazo ya wafanyabiashara ndani ya jiji la Dar es Salaam
Filter Feeds
HISENSE TV AINA ZOTE AVAILABLE 2YEAR WARRANTY LED Tv=
kwa mahitaji ya perfume mitandio karibu Napatikana bugurun rozana 0713038188 https://chat.whatsapp.com/IfhV7jml97V5k6hdoQKGdg
mil 4 tu wahi ikiwa fursa unayo nipigie kupitia nambari 0654015782
Nauza perfume udi aina zote na mitandio kwa Bei ya jumla na rejareja Napatikana bugurun rozana 0713038188
for the needs of beautiful and interesting sunglass section is just one @og_shades for more info around in our social network we have a very affordable price
sambusa mbichi na zilizokaangwa zinapatikana kias chochote unachotaka karibun
karibu kidilu shop online upate nguo kwa bei nafuu
Tundelee kutangaza biashara zetu kwa kuzingatia maudhui yanayofaa. #ExploreDar #GetDiscovered #Daressalaam
Tuna brand new model samsung A32,A52,A72 kwa punguzo la bei
Chocolate cakes available only for 10000 and 15000 Delivery is available at cheap prices call /whatsup 0714842522
Lenovo thinkpad T450 intel celeron ram4 gb Hdd 500 price 670,000TSH processor 1.8ghz
TUNAUZA VIFUNGASHIO AINA ZOTE NDANI YA DAR ES SALAAM NA NJE YA DAR JUMLA NA REJAREJA PIA TUNAUZA UBUYU WA ZANZIBAR (BABU ISSA) JUMLA NA REJAREJA DELIVERY IPO KWA DAR TUPO BUZA WATSUP/CALL 0718124109
T-shirt kwa bei poa
sambusa mbichi na zilizokaangwa zinapatikana piga simu 0767675769
new car hipo vizuri kabisa kalibun sana au nichek kupitia namba yangu ya 0654015782 bei mil 19 kalibun sana
OG_SHADES inakuletea miwani bomba kabisa kwa bei nafuu tu pendeza nasi kwa -SUN GLASS -FRAME KWA AJILI YA RENS TUNAFANYA DERIVERY 2000/= KWA DAR ES SALAAM MIKOANI TUNATUMA PIA MAWASILIANO- 0787207632 CALL/WHATSAPP
0694036646#Kaributukuhudumie
0694036646Karibu tukuhudumie.
Viatu vya kike aina zoteeee 0766850352
Pata jeans kalii kwa bei nafuu namba ya simu 0766850352
Form six tishet saizi zotee kwa bei sawa na buree kwa wahitaji wasiliana nasii kweny simu 0766850352
Pia kuna na mashart ya mikono mirefu kwa beii nafuu sana kwa maelezo zaidi wasiliana nasii 0766850352
Pata staff jeans kalii kwa bei ya 21000 but jumla tunafanya discount namba 0766850352
Pata mashati ya mikono mifupi saizi zote kwa bei nafuu kabsaa kwa maelezo zaidi wasiliana nasii kweny simu 0766850352
Pata t-shirt kwa bei poa kabsaa kwa shilling 15000 namba0766850352 kumbuka ukichukua jumla tunafanya discount
Biriani ng’ombe na kuku alhamisi hii..Bei ni 5000/= ng’ombe 7000/= kuku Piga simu 0689754729 kuweka oda yako mapema kabla ya alhamis kwa week hii Tunafanya delivery na kukuletea popote ulipo Dar Karibuni sana!
karibu ujipatie kekii nzuri laini na tamu sanaa nitafute kwa. namba 0765291807
karibu ujipatie kekii tamu na nzuri lain kabisa nutafute kwa namba 0765291807
kwa mahitaji ya bajaji magari nyumba ambazo ni used kalibun sana tunapatikana ubungo au piga simu kupitia namba hii 0654015782
nyumba hiyo inauzwa inavyumba 3 kimoja master seble dining room na pablick toilet naitaji mil 38 nyumba inafrem moja kwa mbele nipo Chanika masantula kalibun sana au nichek kupitia namba hiyo 0654015782
Beg Kali za Mtumba zinapatikana sehemu moja tu..Fika dukani kwetu Mwenge uje kujionea Kwa macho.. KARIBUNI SANA.
kabati ya nguo ya milango minne kama inavyoonekana ni nzuri sana Bei yake 1100,000/=
kitchen cabinets tunapima kwa square mitre hardwood square mitre moja 1200,000/ full na Mable yake softwood square mitre moja 950,000/=
sofa set full set inakuwa ya watu 7 YANI 3+2+1+1 Bei yake 1800,000/=
coffee table ya kisasa Bei 450,000/=