Orodha ya biashara ndogo ndogo na za kati Dar
You need to login to be able to create your business profile
Sonholisticpoint
Nawasaidia wanawake wenye matatizo ya viungo pamoja na misuli kutatua matatizo yao bila ya kwenda hospital kupitia Tiba ya Hijama/ Cupping therapy.
Est: 2017,
Temeke Usalama
MORTECH SOUND
Tunatoa huduma ya kukodisha music system kwa sherehe aina zote Mfano
Harusi | Birthday | mikutano
Huduma zetu ni mzuri kwa bei nafuu sana _
Est: 2010,
Dar es salaam
Seti za mwari
Tunauza vyombo vya jikoni na mashine zakupikia....mapazia na urembo wa majumbani
Est: 2020,
kijichi ccm
Beauty care & health_fitness
deal with
-uzito uliopitiliza
-Mfumo wa uzazi
-Vimbe kwenye kizazi
-Bawasili
-Nguvu za kiume
-Mfumo mmenyenyo wa chakula
Est: 2020,
Makumbusho Vitoria
Alpha super Diamond
Ninahusika kuwasaidia watu wenye changamoto ya vidonda vya tumbo
Est: 2018,
Mikocheni
Crafts by secky
Stringart ni bidhaa inayotumia mbao,misumari na uzi hutumika kama mapambo ofisini hata majumbani,unaweza pia kutoa kama zawadi katika shughuli mbalimbali. Karibu upate kitu cha tofauti
Est: 2019,
Sinza whiteinn
MKAA BORA
Tunauza mkaa Bora zaidii ambao hutunza mazingira, huwaka Sana na kwa mda mrefu zaidi na Ni gharama nafuu sana ukilinganisha na mkaa wa kawaida.
Tupigie kwa namba hizo kwenye bio tukufikishie uli
Est: 2019,
TEMEKE
G&G
Online business that deals with the selling of girls/women clothes,shoes and accessories
Est: 2019,
Ubungo
K MAGARI USED
KWA MAHITAJI YA KUUZA NA KUNUNUA GARI
WASILIANA NASI 0713930503/0759234237
Est: 2015,
Tanzania
Florahhyboutique
Tunauzaaa Jumla na Reja Reja mkoani tunatumaaa kwa uaminifu kwa watu wa dar deriverd ipo
Est: 2017,
Kariakoo Dar es salama
Marcelypaperflowerdecor
Marcdecor tunatengeneza na kusambaza maua kwa kutumia karatasi.
Pia tunapamba shughuli
Birthday, Bridal Shower, Baby Shower, Engagements, Wedding, Baptism, Anniversary, Sendoff, Commnio. n.k
Est: 2019,
Bunju B
gee collection2020
tunadili na mitupio, vikoi og, scarf, na mitandio ya kila aina, kwa jumla na rejareja. karibuni sana
Est: 2020,
Magomeni Kagera
Majoys Devine Cakes
Tunatengeneza keki za aina zote kwa shughuli mbalimbali na gharama zetu ni nafuu sana.
Mfano: Send Off, Kipaimara, Harusi, Mahafali, Kitchen Party na Birthdays.
Est: 2016,
Tabata Changombe
Faith Online Store
we deal for selling smart watch smart bracelet, Bluetooth earphone, wireless gamepad etc
Est: 2017,
POLICE POST MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM
TUPOKARIAKOO
Ni wauzaji wa nguo za kike na za kiume pia tunauza viatu vya kike na vya kiume pamoja na pochi za akina dada
Est: 2019,
KARIAKOO CONGO TOWER
Mwanamke kipato
tunawasaidia kuwafundisha wanawake kutengeneza kipato cha ziada kwa mtaji mdogo saaana
Est: 2020,
Kalenga Road
Ramani za nyumba za kisasa bei nafuu
tunachora ramani za nyumba za kisasa aina zote,kwa bei nafuu,nyote mnakarbishwa..,
Est: 2014,
sinza legho
Benzo Electronics
Online Shop for Home appliances & Electronics like Tvs, Home theatres, Fridges, Gas Cookers, Microwaves etc.
Est: 2018,
Kanisani kwa Pinda
Yamee
Order Food & Groceries on Yamee & pay via Tigo Pesa. Get the App on iOS https://bit.ly/yameeapp & Android http://bit.ly/yameeafrica
For more information call 0677 840 840
Est: 2019,
Online Food Delivery Service
TOTO DOGO PESA MINGI
Tunajihusisha na uuzaji wa Nguo mbalimbali na viatu, tunapatikana Kariakoo karibu na Msimbazi Polisi
Est: 2013,
Kariakoo - Msimbazi Polisi
Healthy lifestyle Neolife Tanzania
Tuna deal na bidhaa za:
- Afya kwa wote watoto, wanawake, wanaume
- Usafi (eco friendly products)
- Kilimo
Est: 1958,
ITV Mwenge
Afya bora
usambazaji Wa bidhaa za Afya kwa kutoa elimu mbalimbali, namna ya kujikinga na magonjwa mbalimbali
Est: 2020,
lizzy
Eagles international
Msimuu wa kilimo ndo huu
Unahitaji kilimo cha faidaa vuna kwa faidaa kwa kipato endelevuu...
Mkulima pata kichocheo cha ubora wa mazao yako ya aina zote ili kupata mavuno boraa, mengii, mazito na safiii ...
Faida ya mavuno mara 2 adi 3 ya kawaidaaa
Est: 1996,
Opposite mliman city
shopnasi mobile phone
dealer in mobile phone brand new and used phone from abroad
Est: 2013,
kinondoni studio
NEOLIFE INTERNATIONAL COMPANY
Naomi international company imechagua kukuhudumia kwa upande wa AFYA KILIMO USAFI NGOZI na UZITO
Est: 1958,
Sinza madukan gorofa la Emirates
Rica sunflower oil
Rica sunflower oil its a pure sunflower oil from Singida cholesterol free it doesnt consist cholesterol at oil its clean and advisable to use for health purpose.
Est: 2019,
Dar es salaam
G smile collection
We are selling iphones
Phones accessories
(Covers, earphones,protectors and chargers)
Est: 2019,
Mbezi mwisho
MMJ INSURANCE
We provide all kinds of insurance and and free consultation
Est: 2015,
Muafaka butcher
LUESA TRAVEL & TOURS
We offer
~ Air Ticketing
~Visa (Dubai,Oman etc)
~Hotels Bookings
~Safaris Tours
~ Honeymoon Package
~ Vacation
~Airport PickUp
Est: 2013,
Mbezi Beach
LUESA CLEANING & FUMIGATION SERVICES
We offer Cleaning & Fumigation services:
* Commercial and Residential cleaning
*Carpet Cleaning
*Sofa Cleaning
=
Est: 2015,
MBEZI BEACH AFRICANA
Qali furnitures
Dealing with Selling Sofa sets , sofa repair and design all type of furnitures (eg. dining tables,, beds etc )
Est: 2016,
Bunju
jsofa furniture
Tuna dili nautengenezaji Wa furniture zote za ndan pia kurekebisha furniture zote kam sofa set,bed sofa,armchair,tvshowcase,kitchen cabinet,dressing table nk
karibuni saaana
Est: 2020,
jsofa