Mtaa · Dar es Salaam
Biashara za Sinza
Tunasambaza Trei ya Mayai ya Karatasi ya Mboga ambayo ni rafiki kwa mazingira iliyotengenezwa kwa karatasi ya kuchakata tena.
Selling Electronic Devices mostly Wireless Earbuds/Earphones at affordable prices
Kwa Ujenzi Wa BWAWA LA KUOGELEA (Swimming Pool) SAUNA Na SPA. Wasiliana Nasi Leo.
Tunauza nguo za mtumba za kike aina zote kwa bei rahisi kabisa duka letu lipo mawasiliano karibu kabisa na chuo cha sheria au follow instagram page yetu @Harper clothing store.
Wood and metal decor Interior and exterior design Pergola, patios and furnitures
merymaturo6@gmail.com
Nauza bidhaa tofauti tofauti Kama Mavazi ya kike na kiume, viatu vya Kike na kiume pamoja na VIPODOZI
Home accessoriesFrom Sitting room to Bathroom We got you Covered!
angelmsuya07@gmail.com
Tunasuka nywele mitindo yote kwa bei nafuu Tunafanya makeup zote na kupamba maharusi kwa ustadi mzuri
kupangisha nyumba
Urembo
Urembo
Tunauza Jeans za kike na kiume,cardet,t shirt na shirts kwa bei nafuu na tunakuletea mpaka ulipo bure
kutangaza Fursa kwa vijana na wamama walionyumbani tegemezi na waajiriwa wenye matamanio yakupata kipato cha ziada
jumaahabdallah1@gmail.com
keki keki keki keki zetu ni tamu sanaa ,zina ubora, zina viwango,ni laini na zimechambuka sanaa tunafanya delivery popote ndani ya Dar es salaam
Piga picture kwa na fuu
Biashara hii inahusu habari za watu maarufu Tanzania na nje na taarifa mbalimbali na pia unaweza kudownload miziki mbalimbali ya wasanii
Nauza nguo mbalimbali za watoto na watu wazima
tunatoa huduma ya usafi majumbani, maofisini, shuleni, hospitali, vyuoni, viwandani na sehumu zote zinazohitaji usafi, tunapuliza na kunyunyiza dawa ya kuondoa wadudu wasumbufu kwenye mazingira ya ndani na nje kwa kutumia dawa rafiki za mazingira.
Nauza nguwo online Delivery ipo natuma mikoani Kote nipo k koo whatsspp number Kailibu nku udumie ##0788489392
We offer best service
Ni wauzaji wa games ps5 , ps4, ps3, ps2 pamoja na vifaa vyake vyote kama pad, cd pamoja na cable zake zote pia tunachip game zote pamoja na kutia game kwenye ps zote kwa mawasiano zaidi call/WhatsApp 0717336610
Tembelea bongomusicskytz kwa habari zote zinazohiti
Quality goods for USA Instergm kisho_kenzo
Kalibun wasaf h founture bishala zetu tunatengeneza kwaoda yasku 7 adivansi tunakutokana nakaz uliyoipenda pia adivans ina anzia 150000 Kalibun Wasaf h founture tunapatkana ubungo maziwa
Bags leather
Bags leather
patrickj107@gmail.com
Kwa accessories zote za kike kuanzia hereni, cheni, bracelet, miwani, wallet na mikoba utapata kwetu. Karibu
Tunauza saa za aina zote,wallets na glasses kwa bei nafuu sana. Tunafanya delivery kwa dar na mikoani kwa uaminifu mkubwa ?. Karb tukuhudumie ??
Ni wauzaji wa perfume aina ya oilbased perfume jumla Na rejareja pia tunatoa ushauri Na mafunzo yote kuhusu biashara hii Iwapo Mteja atakuwa tayari kuanza biashara hii Na kununua bidhaa kutoka chloe fragrance .
Tunasambaza gas kampuni zote majumbani,mahotelini,wauza chips,bar n.k kwa bei nafuu kabisaa na usafiri ni bure
Uuzaji wa viwanja Mbezi Kibaha Kigamboni Bagamoyo
Tunaprint jumbe zozote utakazohitaji kwenye Tshirts kali. Pia utapata kwa rangi yeyote utakayoipenda. Mikono mirefu au mifupi. Bei ni Tshs 20000 kama ni moja, kama utatoa oda kuanzia Tshirts 5 basi bei inapungua mpaka 17000. Karibuni sana.
tunauza nguo za kike jumla na rejareja kwa bei nafuu kabisa pia mikoani tunatuma kwa uaminif.. lakni hatujawasahau wateja wa dar tunafanya delivery kwa garama ndogo ..duka letu liko ubungoRiverside karibuni sana Tupigie/WhatsApp 0659877741 or 0757858726
athumanikhadija231@gmail.com
TRAVEL & TOURISM
Tunatengeza website , blogs, na company profile
Tunakodisha magari aina zote kwenye Send off ,, Harusi ,,, Kwenye makampuni au masirika au msiba pia tuna safili mpaka nje ya nchi karibuni Sana au Tupigie kwa no 0672914661
DEMT,niwajasiliamli wa dgo wanao toa hudum zao kwa kiwango kizuri na ubora wa Hali ya ju,na kujali thamni ya mteja
mganwacecy70@gmail.com
nguo za kuogelea
Tunauza nguo kutoka uturuki,Material ? quality,Tunapatikana sinza Makaburin opposite na shell ya lake oil
wajeryloyd@gmail.com
Mimi ni mfanya biashara wa “SAA” za mkononi saa za aina zote
virutubisho vya afya ya binadamu
biashara yangu ni bora na ya uwakika
TUnatengeneza cake za aina zote na mikate na vyitafunwa mbali mbali kwa order tu Tunafanya hivyo ili kukuwezeshe wewe mteja wetu kupata vitu fresh Karibuni
Sellinq and Buyinq Property,Property Advisor,Proprty Management, Property Marketing,Property Development, Project Marketing, Real Estate Aqents,Planninq and Land Surveyinq, Selling and Buyinq Plots,Lqnd Leqal Documents Processinq,Land Leqal Consultation
WAUZAJI WA BIDHAA TOFAUTI TOFAUTI ZINAZITOKA DUBAI, CHINA NA THAILAND
Nasajili laini za aina zote tigo, vodacom, halotel, TTCL na Airtel kwa bei nafuu kabisa.
blesilamihale99@gmail.com
Duka la nguo. Tunauza nguo, vitenge, viatu na mabegi aina zote. Bidhaa zetu ni kwa jinsia zote.
Tunauza blouse za wanawake wa maumbo yote
tunauza magari pia tunafanya exchange ya magari
Tunauza Viatu vya aina zote (kike, kiume na Watoto) Bei nafuu kwa jumla na Rejareja.
Ni biashara ya ndege na wanyama wafugwao, madawa ya mifugo, ujenzi wa mabanda ya Mifugo, Elimu na ushauri wa mifugo, mashine za kutotolesha mayai. nk Na mambo mengine yote yanayohusiana na mifugo.
wauzaji wa saa za kike na kiume wallets za kike na kiume handbags shoes ubuyu wa zanzibar
Agiza bidhaa china kwa bei ya kiwanani karibuni WhatsApp 0762279477
mmtebeny633@gmail.com
Tunatengeneza kucha Kubandika kucha Kupaka rangi za gel na za kawaida Tunafanya scrub
Mikopo ya kwa dhamana ya kadi ya gari wasiliana nasi 0689558959
Tunasuka nywele Style zote Tunafanya makeup
Bidhaa za mwilini.
Cash
Kuuza maziwa fresh na mtindiiii.. Pia ni mshereheshajii wa shughulii mbalimbalii(Mc) na Host wa vipindii
Karibu tukusaidie kuagize bidhaa mbali mbali kutoka china ??
Mashuka na nguo za mitumba
Natengeneza na kudesign Logo pamoja na brand za biashara. Pia natengeneza posters and flyers kwa Bei nafuu kabisa.
kerkerry28@gmail.com
Mimi nifundi wamagari pia nafanya mobile garage namfata mteja popote alipo
kambij55@gmail.com
Tunauza Balo nzuri sana za mtumba za China, UK, Canada
Tunajihusisha na Upigaji Picha wa Matukio Mbali Mbali
Making Women and Men Suits, Selling Men cadets, Tshirts, Shirts, Jeans
Bidhaa Bora sana za usafi wa dhamani zote za ndani na nnje ya nyumba. Bidhaa zetu hazina chemical Ambazo Ni atari kwenye mazingira Wala kwa mtumiaji Bidhaa hizo Ni *G1laundry sabuni inayofua nguo yenyewe *Carpet glow Inasafisha carpet sofa NK *Super 10 ya
Youtube online Tv
Tunahusika na ku Design nguo za harusi na send of suit kiume na zakike pia tunapokea tenda
nguo za watoto,viatu
Najihusisha na biashara ya kuuza viatu vya kiume online
Tunauza shorts, playsuits na tops za kike kwa bei nafuu
Tunauza spear za magari used kama nissan,Toyota,suzuki n.k karibuni sana tunapatikana Tandale mkabala na Mtanzania Hotel
Je unachangamoto ya kupata bidhaa nzuri za kufanya usafi wa nyumba yako? Je changamoto ya wadudu ndani kama mende , mbu sisimizi imekua ni kero kubwa isiyo isha ndani kwako ? Suluhisho la uhakika ni Kutumia super 10 Kwa kutumia super 10 utasafisha Tiles Masink Ukuta Madirisha Fridge Usafi wa ndani kwa ujumla Wadudu wote ndani wataisha na nyumba itabakia safi Utasahau habari ya Mende Mbu Sisimizi Nzi Kunguni Follow @triceusafi @triceusafi @triceusafi Toa Oda yako sasa 0752694959
Tunauza bidhaa mbali mbali kama nguo za watoto,mapochi,viatu,vyombo n.k
tunauza nguo za mtumba gradeone kwa bei nafuu
Sofa na vitanda vya sofa vya kisasa,viti vya dining na Meza,navingine vingi.
Karibuni wote,tunaagiza mizigo mbalimbali kutoka china kuja Tanzania mikoa yote,tunatumia usafiri wa Meli na ndege kusafirisha mizigo kupitia kampuni za uhakika.utaratibu ni tunachangia order zote mbalimbali ikitimia order tunafanya manunuzi na kutuma bongo...usafiri wa meli unatumia siku 30-35 kufika TZ,usafiri wa ndege unatumia siku 10-14 wanacharge U$13 kwa Kg 1 kufika TZ,lakini kutokana na gharama za usafiri wa ndege na ukosefu wa ndege za mara kwa mara kwa sababu ya janga la korona wengi tunawashauri kutumia meli.ukiwa na order yako full tunakuagizia moja kwa moja bila kusubiri order zingine, tunapatikana kimara mwisho karibuni sana =O. bonyeza ikupeleke WhatsApp Bei sawa na bure kabisa sio sawa na kariakoo https://chat.whatsapp.com/GLQJd1MdzgD3700qEcfmWK
earphones, smartwatch na vifaa vya technology
PAZIA,SHUKA,NETI,MIKOBA,VITENGE,VIATU,ULEMBO WA NDANI
Tunauza nguo, viatu na vifaa vya watoto.
Job headlights clinic ni wataalamu wakusafisha taa za magari kwa technology mpya ya kisasa Tanzania inayo safisha na kuondoa UKUNGU na UNJANO na inafanya taa zako kua na mngao upya na kuziacha na kinga dhidi ya miale ya jua kwa WARRANT MWAKA MMOJA.
tunatengeneza nguo za kisasa suts n.k
tunashona nguo za aina zote za kike na za kiume na za sherehe mbali mbali
Uuzaji wa kuku wa aina zote
Tunauza mashuka ya cotton nzito,size 7×8, Shuka mbili mbili folonya nne. Unaletewa ulipo Kwa gharama zako.Pia kuna cover za sofa,mapazia, mito,net n.k bei karibu na za kiwandani.
mabingwa wa kushona nguo za kike
Salon ya kisasa. Tunatengeneza Nywele aina zote,kusuka na kutengeneza mawig, kucha (manicure pedicure) gel na kawaida, massage, makeup simple na bridal, waxing,facial. Kwa wanaume na wanawake.
Muuzaji wa mchele,mafuta,maharage na unga wa sembe na dona
1.Mafuta ya nazi (virgin na kawaida) 2.Mchele safi kabisa grade A 3.Juice kwa order 4.Mayai (kienyeji na kizungu) 5.kuku (kienyeji na kizungu) 6.vegies kwa order karibuni sana aaa
Wauzaje wa perfumes aina zote na body splash jumla na rejareja,delivery tunafanya na mikoani tutatumia
Tunashona nguo aina zote... wedding dress, sendoff, kitcheparty pamoja na suit za kike na kiume,
uuzaji wa viatu
WE DEAL WITH: IMPORT AND SALE OF CARS ? | ACCESSORIES| SPECIAL VEHICLES| EQUIPMENT& MACHINES|TECHNO.SOLUTIONS PHONE | 0712908015 | 0738921539
Tunauza viatu, handbags na hereni. Jumla na rejareja Delivery ipo unaletewa popote ulipo kwa uaminifu.
mapambo ya ndani,mapazia ,mashuka ,mauwa faniture ,mapambo yote ya ndani
Tunafungulia hotels,makampuni ya utalii ,migahawa na biashara za mitandaoni akaunti za Google my Business,Trip advisr ,Booking .com,Expedia ,Hostel World,Website na AirBnB.Pia tunahifadhi mizigo ya watalii.
Car hire for weddings, corporate companies, ceremonies, trips and special events Kukodisha magari kwa harusi, makampuni, sherehe, safari and matukio maalumu
computer seller
Afya na kipato
We are doing fumigation and pest control with affordable price. Visit us on instagram as efraine fumigation for more photo and video.
clothes Grade A
Huduma za computer :- Mauzo ya Laptop Mauzo ya Desktop Mauzo ya vifaa vya Laptop Mauzo ya vifaa vya Desktop Matengenezo ya Laptop Matengenezo ya Desktop kuweka software mbalimbali
Karibuni tunauza cake za aina mbali mbali Wedding cake,send off, kipaimara, komunyo, baby shower na kazalika. Karibuni sana 062 904 4730 au 0755835359
Frame za Picha za aina zote na ukubwa wowote
Mashine za kusaga mahind kukoboa na n.k
dawa zetu ni za uhakika na azina chemical na azitulizi bali zinatbu kabisa ...wote waliotumia wamepona kabisa
KUNYOA NA KUPENDEZA,NANYOA NYWELE ZA ASILI KWA STYLE ZA AINA ZOTE IKIWEMO KUWEKA RANGI MBALIMBALI ZA NYWELE,WAV,CURL,RUFF DREAD BILA KUSAHAU FACIAL MBALI MBALI KAMA SCRUB,STIMA(MVUKE) SCRUB YA ASILI(ASALI,TANGO,LIMAO) NA REPAIR DREADLOCKS.
Tunatoa huduma za picha na video kwenye sherehe mbalimbali
karibu kwa nguo nzuri
kusuka nywele styles tofauti make up na urembo kwa ujumla
tunauza Mchele super, Maharage,Unga wa sembee na Dona na vyakula vya matumizi ya nyumbani
Tunauza mikoba mizuri. Tunapatikana Sinza Kamanyola,mkono wa kushoto tokea Shekilango baada ya daraja kuna bango limeandikwa Fashion & Beauty
Wakala wa 1.Mpesa 2.Tigo Pesa 3.Airtel Money 4.Halopesa
Tunatoa huduma za utumishi na ajira. Mafunzo kwa wafanyakazi. Kutengeneza sera za utumishi kulingana na sheria as kazi nchini. Tutembelee www.epicbr.co.tz
Hizi ni sabuni nzr sana kwa watu wenye chunusi,harara,wenye harufu kwapan inaondoa pia weusi kwapan na mapajan inaondoa weusi kwa walioungua na cream wenye mba pia hata watoto wenye vipele vya joto inawasaidia kwa akina kaka mapele ya ndevu pia inatoa
Tunauza samaki wa maji baridi kutoka ziwa victoria sato & sangara fresh (jumla & rejareja)
Kwakipindi hichi cha corona Bado naendelea kupokea oda ya mitandio handbag ? vimono
Biashara ya ice cream juice milkshakes na refreshments nyingine
House for rent and sell around ubungo sinza kimara na external
Neideas is a women clothing brand wholly citizen owned focusing on designing and selling African print clothes. Neideas works based on creativity in designing outfits that suit women appearance and enhance confidence.
ASSEY ELECTRICAL GROUP Kwa kazi zenye ubora na na muonekano unaozingatia viwango vya IEE. Kazi tunazofanya ni pamoja na -wiring system -power backup -installation of solar power and generator - installation of CCTV Camera (Networking) -installation of automotive gate motor -Eletric fence
our services 1 BUSSINESS REGISTRATION via Brela 2 Business Name registration via Brela 3 Influencer marketing 4 sponsored ads 5 business google map location
nguo za kike aina zote
Cleaning/Decluttering and organizing services
All forever product are available
TUNAUZA VINYWAJI AINA ZOTEKAMA WHISKY GIN VODKA RUM BRANDY AND WINE
Natoa ushauri wa afya na tiba bora kupitia virutubisho asilia vyenye viini lishe na kutoa ushauri kuhusu magonjwa mbali mbali pamoja na urembo
tunashughulika na ufundi wa furniture za kisasa kama masofa,makabati,vitanda,meza za chakula(dinning table), showcase, cafe table na decoratin mbalimbali za majumbani pia tunafanya repears za furniture zote za maofisin na majumbani karibu sana tukuhudumie!....
tunadeal na madirisha ya chuma vitanda mageti car parking n.k
Kids wear and essentials
Shuka za cotton mtumba grade one
shoes and T-shirt
Keezy Corp. Service Provision in vast categories
Duka LA vinywaji Retail off. Tunapokea oda za maharus, birthday, Misiba na Send-off
Mafundi na wauzaji wa vifaa vyote vya solar system
sellind different ladies product at a reasonable cost
Bidhaa bora za usafi wote wa nyumbani
UJASIRIAMALI, BIASHARA YA MTANDAO TUNAUZA VIRUTUBISHO LISHE(FOOD SUPPLEMENT)
Computer and phone accessories dealer
Tunauza mashuka,maduvets,saa,vases, wall pictures, towels n.k vitu vyote vinavyohusu urembo wa nyumba
sales of simple shoes
barbershop & beauty salon
Shule ya secondary Huria
SPORTS STORE
leather and culture shoes from former industry in Tanzania WOP
computer seller
deal with -uzito uliopitiliza -Mfumo wa uzazi -Vimbe kwenye kizazi -Bawasili -Nguvu za kiume -Mfumo mmenyenyo wa chakula
Legal Services
Stringart ni bidhaa inayotumia mbao,misumari na uzi hutumika kama mapambo ofisini hata majumbani,unaweza pia kutoa kama zawadi katika shughuli mbalimbali. Karibu upate kitu cha tofauti
Naomi international company imechagua kukuhudumia kwa upande wa AFYA KILIMO USAFI NGOZI na UZITO
Tunajenga nyumba bora za kisasa na kukarabati za zamani. tofali moja Tunajenga kwa 700/= punguzo lipo kwa kazi kubwa, plaster nyumba nzima ya Vyumba vitatu million2.5 /=
Based on photography, videography, graphics designing industry
Jipatie bidhaa za usafi wa tiles, masink, ukutani, magari, masofa aina zote, friji, mabagi, viatu, kuzibua vyoo, pamoja na sabuni ya kufulia.
Wauzaji wa MAGAUNI ya Harusi Jumla na Reja Reja na kukodisha kwa bei NAFUU, Tunafanya custom order gauni lolote lile, iwe unanunua au unakodi, Vifaa mbali mbali vya bibi HARUSI.
Mitandao mizur ya kila rangi kuanzia 8,000 karibuni sana
Mafuta ya mnyonyo kwa jumla na rejareja had lita 20. Bei mls 250-10000 jumla 7500 kuanzia 6. Hukuza na kujaza nywele, huondoa mba na miwasho, hujaza nywele, hupendezesha nywele na kuzifanya nyeusi, Huondoa mvi, Hutumika kufanyia masag, Husaidia kutb bawas
We are dealing with Beauty cosmetics and personal care we are dealing with Hair Facial Nails Make up microblanding and Lashes
Specializing in all baby products Quality is our motto all your childs skin and related matters guaranteed to be met @ affordable prices.
Tunasambaza bidhaa za afya ya uzazi mahususi kwa wanaume na wanawake. Tunalo suluhisho la matatizo yooote ya Uzazi
Welcome nauza perfumes Jumla na Rejareja 25mls Free delivery na mkoani tunatuma Whatsapp number -0689253701
Tunauza vifaa vya magari kama vile seat cover cover za stearing tafanya service kumwaga oil na matengenezo madogo madogo
Kavs latest movies and series tunapatikana sinza mori opposite na Lachaaz Pub price of movie HD 720 1080 single movie 1@1 000 = Single series 1@2000 =. Free delivery 0717571347
Tunauza na kununua magari (new old) pia tunavunja (Exchanges) kwa aina ya gari yeyote na kwa bei nafuu
Tazama biashara za mtaa mwingine
Biashara Zote →